MWALIMU: Uliza kuhusu kituo ulichopangiwa

MWALIMU: Uliza kuhusu kituo ulichopangiwa

Jamani wale mliopangiwa wilaya ya chunya,tutafutane au kama ww ni wa huko chunya naomba unipe overview ya huko
 
wilaya iko vizur sana kwenda moshi mjin nauli 1000 .maji. umeme. usafr. vyakula. kilimo n full n ww tu ushindwane na wamachame
 
Kama wew umepangwa Newala Au rukwa tuwasiliane kama mpo
0689978650
 
Naomba kujuzwa kuhusu bunda huko mara,kwa anayeijua sehemu hiyo msaada
 
Naomba kujuzwa kuhusu bunda huko mara,kwa anayeijua sehemu hiyo msaada

Bunda ni wilaya iliyopo mkoa wa Mara pako safi,maji yapo na vijiji vingi usafiri upo pia umeme upo maeneo meng.Kama unatokea mikoa mingine ukifika Mwanza panda magari yanayoenda Mwanza au Tarime yote yanapita Bunda ukifika watakushusha.Nenda kalitumikie taifa mwalimu.
 
Nimepangwa kufundisha halmashauri ya wilaya bukoba. Ningependa kufahamu mambo mbalimbali kuhusu halmashauri hiyo kwa wanaoifahamu.
 
We nenda mkuu lakini bukoba vijijini mhhh kuna baadhi ya sehemu ziko powa lakini nyingine majanga,,,maana unaweza pelekwa huko bugabo,kasharu hayo ni baadhi ya maeneo ambayo ni mabovu saaana,
 
wadau naomba kupewa maelezo ya ntare secondary ktk halmashauri mpya ya kyerwa kagera.je iko mazingira gan.miundo mbinu.na vtu vngne
 
Habarini wadau, nahitaji kujua zaidi kuhusu vijiji vilivyopo wilayani Tandahimba, vina maji na umeme pamoja na huduma nyingine za jamii au ni chenga?
 
We mpuuzi acha ubishoo kafanye kazi, ajira zikitoka unachagua sehemu ya kufanya zisipotoka mnalalama ajira hakuna.
 
Back
Top Bottom