Mwalimu na John

Mwalimu na John

Speaker

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2010
Posts
6,324
Reaction score
2,244
Mwalimu alimuuliza John darasani,

"Ukiwa mkubwa, utataka nini?"
John akajibu;
"Nataka niwe na pesa, nioe mke
mrembo; tuwe tunaogelea pamoja,
niwe nikifanya mapenzi nae mara tatu
kwa siku, niwe...... .."
Mwalimu akamkatiza asiendelee,
kisha akamgeukia Happy na
kumuuliza,"Na we unataka uwe nani
ukiwa mkubwa?"
Happy akajibu,"Nataka niwe mke wa
John!
 
hahahahaha.......happy unaniabisha wajina la mwanangu....duh ndo unataka niwe mkwe wa john.
 
hahaaaaaaaaaaaaaaa nimecheka hapa mpaka basi, sometimes ndio maana unaweza sema wanawake wana akili sana, short answer but clear.
 
hahahahahahahahahahaha dah.

  • :target:
 
Back
Top Bottom