Mwali twende out

Kidding nini sasa? we si umesema unataka kama yeye?
Kwa nini uandikie mate na wino upo? Kamata orijino ...

Jamani naona umechukulia na kuelewa vibaya dada mwali mm sio wakiivo na mm nachukulia mambo yote humu ndani kawaida sana tu…..cjapenda ulivotumia neno kamata original mana yake ndio nn sasa mana nimekuweka image yako na uandishi wako wa daily unavokua unajiexpress na kubehave nikawa nimekueka ktk kundi flan ivi la watu wanaojiheshimu ila naona umekasirika mpaka umeshindwa kuendelea kuficha makucha yako umeyatoa …………ndio mana wahenga husema ukitaka kumjua mtu undani wake mkasirishe kupita kiasi hapo lazima original yake uione live
Happy to know u mwali
1.Ushauri wa bure kama ww ndio original wake hapo sawa nitakuheshimu as long as JF iko online ila kama ni mshika mapembe wa humu jf tu I feel sorry for u girl mana original anakamua maziwa daily
2.mda mwingine kabla hujamjibu mtu msome kwanza ktk uandishi wake kua anamaanisha ama lah! Kabla hujatoka povu.
Mm nilichukulia poa tu kama nimekukwaza kwakweli sorry.sijui utanielewa tena au utaelewa vibaya tena ila I hope safari hii utanielewa vema tu

Hahha nimelipenda sana hili neno original ni nzuri sana na lina sound smooth and so so soft
 
Back
Top Bottom