Mwali twende out

Forget about your ex Preta...sign me in, you not gonna regret it. Am damn loaded with Sangara/Sato money. Kama hutaweza kidhi mahitaji yako hapa Mwanza, basi ntakupeleka Paris!.

asante Yegomasika.......lakini moyo wangu ushavunjika vipande vipande.....sina hamu ya kupenda tena.....

Last edited by a moderator:
JF kubwa @Ivuga......sijui hata ni nani aliyepeleka fitna.....nimeachwa hivi hivi....

sijakuacha bebii...bana..
asante Yegomasika.......lakini moyo wangu ushavunjika vipande vipande.....sina hamu ya kupenda tena.....

..bebi usiseme hivyoo..

Pole sana da Preta.. Nani aliyekuibia mtu wako? Mtaje twende kumzodoa

Shem Judgement...huwezi amini mtu chake ameniacha....tena basi nafuu ingekuwa kimya kimya....hadharani shem kweli huo ni uungwana....?....najuta kupenda mimi.....

...mie bado niko na wewe..sitokuacha..kiapo chetu ni hadi ahera. Preta
 
Last edited by a moderator:
lucky you Mwali.....I wish my ex mtu chake angekuwa ananijali hivi......
...My bebii Preta..cjakuacha bana..ila naniii aliniudhi sana...mimi penda wewe sana..hata dada Cantalisia anajua. Mwali bado niko na Preta mayb yeye ndio anipige kibuti

Forget about your ex Preta...sign me in, you not gonna regret it. Am damn loaded with Sangara/Sato money. Kama hutaweza kidhi mahitaji yako hapa Mwanza, basi ntakupeleka Paris!.
... Yegomasika..ni ushauri gani huo unampa my bebiii..mie niko naye huyo...

Preta, hiyo Ex kwa mtu chake ya lini ?
Mbona mi ndo naiona sasa ?
Kulijiri nini tena ?

...hata mimi naiona muda huu....ila cwezi kumuacha Preta hata ije Tsunami

Preta, hiyo Ex kwa mtu chake ya lini ?
Mbona mi ndo naiona sasa ?
Kulijiri nini tena ?

...hakuna kitu@Judgement..sie hatujaachana...No one like Preta...
 
Last edited by a moderator:
...My bebii Preta..cjakuacha bana..ila naniii aliniudhi sana...mimi penda wewe sana..hata dada Cantalisia anajua. Mwali bado niko na Preta mayb yeye ndio anipige kibuti

... Yegomasika..ni ushauri gani huo unampa my bebiii..mie niko naye huyo...

...hata mimi naiona muda huu....ila cwezi kumuacha Preta hata ije Tsunami

...hakuna kitu@Judgement..sie hatujaachana...No one like Preta...
Preta,kweli hata mie najua namna kaka yangu mtu chake anavokupenda na kamwe hajakuacha,
Plz preta trust my broo he still love u sana!!!!
 
Last edited by a moderator:
Wifi yangu Preta mbona hayo madogo sana kwa kaka yangu mtu chake!!!,
Kwanza nina furaha sana na nakushukuru kwa kuirejesha furaha ya kaka yangu,upya!
Kasema anakupeleka mpaka Hawaii,
Chezea my broda !!!

..na hivi sasa nafanya booking ili twende kwanza Germany kuchek Fainali ya Uefa Champion League...Chelsea na Bayern Munich....then tunaingia huko Hawii na Honolulu. Preta. Cantalisia..@ Saint Ivuga..
 
Last edited by a moderator:
Mwali it is time you start confiding in your auntie too, when did you get back to him? Si uliniambia vimeisha? Dah! Mie confused kabisa. lol

Hata mimi am totally flabbergasted love...what the hell is going on?
 
Back
Top Bottom