Robato
JF-Expert Member
- Jun 5, 2012
- 383
- 233
Acha watu tufanye kazi, kama lengo lako ni mapato fuata kanuni na taratibu dhibiti mapato, sasa hata kuingiza meli tuombe ruhusa wizarani? Bandari iko wazi meli zimejaa nje, mpaka mbumbumbu fulani wizarani atoe amri ndo tufanye kazi. Watu wanamshangilia huyu mtaka msifa, subirini mtakuja kuona.