Mwakyembe:Tukio la uvamizi Clouds ni la jinai

Mwakyembe:Tukio la uvamizi Clouds ni la jinai

Mwakyembe asema tukio la uvamizi Couds ni jinai hivyo haliwezi kuachwa lipite tu.

Kumbana Makonda kwa maswali tisa.

Chanzo:

Nipashe

Huyu kaamua kujilipua tu au ametumwa na mkulu?

Je,wameanza kumgeuka baada ya kugundua anawagharimu?

Au hii ni episode tu kama zingine zilizopita?

Wacha tusubiri.
Chabrumaaaaaaaaaaaaaaa
 
Mh.mwakyembe hata sisi wenyewe tunajua ni jinai..ishu ni achukuliewe hatua kama wahalifu wengine...umechukua hatua gani?! Yani bashite anaogopwa kwel alijisemea yeye ni mungu wa daslam
 
Wewe unadhani akiulizwa na Wabunge kuwa wewe kama Waziri umechukua hatua gani katika suala la uvamizi wa Clouds atakuwa na jibu gani?. Ni lazima ajifanye alilifanyia kazi ati!
 
Kama kweli waziri anakiri lilikua kosa la jinai nafikiri hili swala inabidi lipelekwe mahakamani. Nawaza kama hili lingefanywa na mtu ambaye sio kiongozi kesi yake ingekua ipo hatua za mwisho kuhukumiwa mahakamani
 
= deal

Lugha za watu hizi, au hautaki Waswahili wenzako waelewe ulichokiandika?
not a big deal!! Hata wenzetu huboronga kiswahili lakini huwa tunaishia kucheka. But kazana ukijitahidi kukosoa waezateuliwa waziri wa kingreza maana nikero kuliko maji...hata bingwa wa kuteua kinamzingua.
 
kwa kusema tu inatosha ,kwani Nape alifanya nini huu ni ujumbe tosha kwa "Msema kweli ni Mpenzi wa Mungu"
Hakuna kitakachofanyika, ni zuga tu.
Wanasema hivyo ili kuwapumbaza wabunge wasilivalie njuga.
 
Mwakyembe anazuga tu, hawezi Fanya chochote anajua nguvu ya sizonje ndio ilompeleka bashite studio kupora flash.
 
Mwakyembe asema tukio la uvamizi Couds ni jinai hivyo haliwezi kuachwa lipite tu.

Kumbana Makonda kwa maswali tisa.

Chanzo:

Nipashe

Huyu kaamua kujilipua tu au ametumwa na mkulu?

Je,wameanza kumgeuka baada ya kugundua anawagharimu?

Au hii ni episode tu kama zingine zilizopita?

Wacha tusubiri.

Hawa wasomi wetu ni balaa kabisa,
Sasa yeye aliikataa ile ripoti ya mwanzo akasema atafanya uchunguzi mpya, anachokisema ndio matokeo ya huo uchunguzi?

Hapa kuna "muvi" inatengenezwa
 
Hapa kuna kitu, sio bure.
Nadhani lengo ni kuwahi kumpeleka mahakamani ili bunge lisiweze kumjadili kwa kuwa kesi ipo mahakamani, na pia mkulu kaiweka mahakama mfukoni hivyo ni rahisi kuipangia maamuzi kuliko bunge ambako wote wamevurugwa vichwani mwao.

Ngoja tusubiri next epsode
Inaonesha wewe ni mtabiri mzuri sana[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Mwakyembe asema tukio la uvamizi Couds ni jinai hivyo haliwezi kuachwa lipite tu.

Kumbana Makonda kwa maswali tisa.

Chanzo:

Nipashe

Huyu kaamua kujilipua tu au ametumwa na mkulu?

Je,wameanza kumgeuka baada ya kugundua anawagharimu?

Au hii ni episode tu kama zingine zilizopita?

Wacha tusubiri.
hii movie mpya hii ngoja tusubiri kama starling atakufa
 
Inaonesha wewe ni mtabiri mzuri sana[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Sio utabiri mkuu, ila kama ni mwelewa wa hawa watu ni rahisi kujua nini kitafuata au kwa nini wafanye hivi.

Shortly, hawa jamaa wanatumia akili ndogo sana katika kuandaa hizi sinema zao za kurekodia kwa simu za tecno za batani(keypad)
 
Da wamesanukiwa mkuu
 
Mnayemwamini Huyo Dr Mnajisumbua Sana
Huyo Hakuna Kitu
 
Mwakyembe asema tukio la uvamizi Couds ni jinai hivyo haliwezi kuachwa lipite tu.

Kumbana Makonda kwa maswali tisa.

Chanzo:

Nipashe

Huyu kaamua kujilipua tu au ametumwa na mkulu?

Je,wameanza kumgeuka baada ya kugundua anawagharimu?

Au hii ni episode tu kama zingine zilizopita?

Wacha tusubiri.
mwakyembe ameshachelewa alipaswa kuliona mapema,watanzania wengine wote waliona jinai katika tukio lile mapema sana na ndiyo maana Mhe.Nape akachukua hatua na Mkuu wake wa kazi akamfukuza kazi kwa kuwa ametimiza majukumu yake....
 
Hawa jamaa ni wanafiki kuliko maelezo!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom