Mwakyembe:Tukio la uvamizi Clouds ni la jinai

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
48,673
149,860
Mwakyembe asema tukio la uvamizi Couds ni jinai hivyo haliwezi kuachwa lipite tu.

Kumbana Makonda kwa maswali tisa.

Chanzo:

Nipashe

Huyu kaamua kujilipua tu au ametumwa na mkulu?

Je,wameanza kumgeuka baada ya kugundua anawagharimu?

Au hii ni episode tu kama zingine zilizopita?

Wacha tusubiri.
 
Siasa siasani.
Utoilet paper ni mwingi sana katika si-hasa.
Yaani wanataka waanzishe episode nyingine ile wapate front page.
Very ridiculous, tantamount, boring and useless rubish to deals with politicians.
 
kama ni kweli kweli bwana Halison kasema hayo bhas kachoka ajira yake maana anataka kufukua kabuli lililommeza ndgu yetu mtoto wa kimakonde toka masasi ambalo mzimu uliomo ndani ni wa msukuma asiyepangiwa,asiyejalibiwa wala kushaulika!!!!
 
Kama ni kosa la jinai, tunataka tumuone mhalifu Bashite akiwa akiwa ktk za vijana wa kamnda Siro, akisubiri kupelekwa mahakamani.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Mwakyembe asema tukio la uvamizi Couds ni jinai hivyo haliwezi kuachwa lipite tu.

Kumbana Makonda kwa maswali tisa.

Chanzo:

Nipashe

Huyu kaamua kujilipua tu au ametumwa na mkulu?

Je,wameanza kumgeuka baada ya kugundua anawagharimu?

Au hii ni episode tu kama zingine zilizopita?

Wacha tusubiri.
Naona Mheshimiwa ameamua kulimaliza hili suala la Makonda ili arejeshee heshima yake kitaifa na kimataifa.
 
Mwakyembe asema tukio la uvamizi Couds ni jinai hivyo haliwezi kuachwa lipite tu.

Kumbana Makonda kwa maswali tisa.

Chanzo:

Nipashe

Huyu kaamua kujilipua tu au ametumwa na mkulu?

Je,wameanza kumgeuka baada ya kugundua anawagharimu?

Au hii ni episode tu kama zingine zilizopita?

Wacha tusubiri.
Si anasema report ya kamat ya nape haikuwa na Natural Justice?
 
Si anasema report ya kamat ya nape haikuwa na Natural Justice?
Yy mbona ktk repot ya richmond alihoji wote mpaka akaenda marekani lakini akashindwa kumhoji waziri mkuu mh mh Edward lowassa ofisi za bunge Na ofisi za waziri mkuu hazina umbali.... Au lengo lilikuwa ni uwaziri mkuu wa lowassa... Tunataka baahite ashughulikiwe sawasawa Na matendo Yake...
 
Aisee kakumbana na nn tena huyu mzee? Au anaogopa kufukuzwa uanachama wa TLS? Tundu Lussu kashafanya yake nn!!!!!,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom