Mwakyembe, Sitta 'walisafisha' nini Bandarini?

Mwakyembe, Sitta 'walisafisha' nini Bandarini?

The Boss, sababu za kumsimamisha zipo, ni sahihi kabisa kumsimamisha.
Kwanza, kitengo kilichovurunda kipo chini yake. Maofisa waliovurunda wapo chini yake, hivyo makosa yao ni makosa yake..indirectly.
Pili, Taarifa za upotevu wa hayo makontenna, na kutolipiwa kodi alikuwa nazo, hakuzifanyia kazi ipasavyo. Kwa mujibu wake, alisema walikuwa wanawasilina na PCCB ili kufanya uchunguzi. Lakini pia walimpiga fine mkuu wa ICD 12B na ndio amelipa 2.5B.
Kwa nini hakuwachukulia hatua maofisa walioko chini yake? Ameulizwa na kukiri live kabisa, we huoni kosa lake?




Kuwachukulia watu hatua inabidi urudi kwenye sheria
labda alikosa nguvu ya kisheria,hatujui
umesikia serikali inataka ibadili sheria za ajira...
kama alisharipoti pccb basi makosa yapo pccb
 
The Boss ulifuatilia zile conversations kati ya PM na Bade?
Inawezekana tukawa tunajadili ishu ambayo Wewe hukuelewa vizuri.

Mkuu kwenye media unahojiwa na waziri mkuu
mbele ya camera....asingeweza mpa majibu ya 'kumuonesha boss wake'
hajui kitu.....

wapo watu wengi wakihojiwa na ma boss wao hawawezi kujieleza vizuri hasa mbele ya Camera
 
Kuwachukulia watu hatua inabidi urudi kwenye sheria
labda alikosa nguvu ya kisheria,hatujui
umesikia serikali inataka ibadili sheria za ajira...
kama alisharipoti pccb basi makosa yapo pccb
Hilo la ajira, binafsi naliunga mkono 100%. Watu wanatafuta gov't security ndio maana wanatafuta ajira za kudumu serikalini.
Kwa vile kamishna hajafukuzwa kazi, ngoja uchunguzi ufanyike, huenda kabisa hizo containers zilipitishwa kwa vimemo, anything is possible in this country.
 
Binafsi nahisi ni movies mbili tofauti na sterling wake ni tofauti kabisa. Ila tatizo linabaki wa watazamaji, ni movie ipi inatuletea ukweli kama ulivyo?

Bado nina mashaka na utendaji wa serikali zetu!
 
Mtoa mada, hawa walikuwa wanajua utashi wa Boss wao na wasingeweza kufanya kinyume chake. Mafanikio unayoyaona sasa, ni kwa sababu Mh Rais JPM anataka kuondokana na malalamiko yasiyokuwa ya lazima kwa wananchi wake.
Ila kwa jinsi walivyokuwa wanajitambulisha kuwa wapambanaji, nilitegemea wangejiuzulu kulinda heshima yao, lakini waliendelea kukomaa tu!
 
Mkuu kwenye media unahojiwa na waziri mkuu
mbele ya camera....asingeweza mpa majibu ya 'kumuonesha boss wake'
hajui kitu.....

wapo watu wengi wakihojiwa na ma boss wao hawawezi kujieleza vizuri hasa mbele ya Camera

Sasa tunajadili nini kama aliongopa kwa kujitetea?
Wewe unaujua ukweli ambao Bade alitakiwa aseme off media?
Acha ahukumiwe kwa alichokisema,either aliongopa au la
 
Mkuu kwenye media unahojiwa na waziri mkuu
mbele ya camera....asingeweza mpa majibu ya 'kumuonesha boss wake'
hajui kitu.....

wapo watu wengi wakihojiwa na ma boss wao hawawezi kujieleza vizuri hasa mbele ya Camera

Waliocheza huo mchezo wanajulikana (Kitengo cha ICT TPA,Walinzi na maofisa wa TRA) na inaonekana mchezo ni wa siku nyingi sana watu wakajisahau damage ikawa kubwa zaidi.
Bade amesimamishwa kwa kutochukua hatua zinazostahili kwa uzembe wa idara yake
 
Sasa walinzi wa TPA ndio kamishna wa TRA afukuzwe?
unaona ni busara?

TRA wameadhibiwa kwa kushindwa kuwachukulia hatua wahusika kwa wakati huku wakiwafahamu..hata Bade alikiri ilie report anaifahamu.. Mchezo mzima kama ulivyosema uko bandarini
 
something is wrong somewhere, tatizo viongozi wetu wanadili na matokeo badala ya kudili na source, loopholes zilizopo ambazo hata akiwekwa bosi mkali kiasi gani still zinabaki palepale.
 
Hapo hilo linawezekana bila kamishna wa TRA kujua
maofisa wa chini waka forge documents...na walinzi wa TRA wakaruhusu kontena zipite
na wenye kontena kama hawajalalamika it means wanahusika...
kamishna kaonewa..yeye kazi yake kuu ni kukusanya mapato nchi nzima
sio kulinda makontena bandarini

Majina ya wenye container yapo na inawezekana wamelipa ushuru kabisa sema Clearing agents kama yule aliyefilisika October wakawa wamepiga hiyo pesa.

Hii issue itaisha kimya kimya kama ile ya EPA kuna sehemu watafika itabidi wakae kimya.
 
Sasa tunajadili nini kama aliongopa kwa kujitetea?
Wewe unaujua ukweli ambao Bade alitakiwa aseme off media?
Acha ahukumiwe kwa alichokisema,either aliongopa au la

Umuhimu wa kujadili upo mkuu
labda tupunguze ushabiki
labda tunachokiona sio kilivyo
na labda tuache kupongeza sana vitu ambavyo viko complex

ndo maana thread nimeuliza kina Mwakyembe walisafisha kitu gani hadi tukawasifia?

Hizo kontena zisingeweza kupotea bila watu wa TPA ambako tunaambiwa Mwakyembe na Sitta walisafisha
kuna vitu vingi hatuvijui bado.....
 
Hao walikuwa mawaziri wa uchukuzi sio wizara ya fedha.
Bandari kwenye sakata hili inaonyesha walifanya kazi yao. Sehemu iliyobaki ilikuwa TRA. Waziri mmoja hawezi kuingilia wizara nyingine ndiyo mgawanyo wa kazi.

Ndiyo ile orodha Majaliwa kaipata bandarini. Inaelekea watu wamefanya reconciliation, wakaona madudu sehemu ya TRA.
Kweli mkuu, bandari wanaonyesha kupokea makontena kadhaa, lakini TRA imeonekana kupokea kodi za makontena idadi pungufu kwa 349 ya makontena yaliyopokelewa bandarini. TRA haiko chini ya wizara ya uchukuzi iko chini ya wizara ya fedha.
Kuna kipindi ilishawahi kutokea katika mafuta kwamba EWURA katika tozo wanazotoza kwa kwa kila litre inayouzwa ilionekana kupokea tozo toka kwenye litre nyingi kuliko zile ambazo TRA imetoza kodi ya kuingizia nchini. Siwezi kukumbuka takwimu vizuri lakini naomba nitoe mfano Ewura katika tozo zao walionekana kupokea tozo toka kwa 1, 000,000 ltrs wakati TRA wanaonyesha kupokea Tozo import charges kiasi cha 600,000 (hizi takwimu si rasmi bali zimetumika kuelezea)
 
Majina ya wenye container yapo na inawezekana wamelipa ushuru kabisa sema Clearing agents kama yule aliyefilisika October wakawa wamepiga hiyo pesa.

Hii issue itaisha kimya kimya kama ile ya EPA kuna sehemu watafika itabidi wakae kimya.

Na siku wakikaa kimya
itakua wamemdhalilisha tu Bade...na wao wamekula ujiko wa bure
 
The Boss hoja yako haijaeleweka vizuri. wao wanadhani unabeza utendaji kazi wa Magufuli kumbe unahoji kama hatua zilizochukuliwa ni endelevu kitaasisi au ni sifa za muda mfupi za mtu? Watu badala ya kujadili maudhui yanayojenga hoja yako, wao wanajadili mtiririko wa uandishi wa hoja yenyewe.

Pia umetoa hoja ya msingi sana. Hivi nchi kama Marekani, Japani, nchi za Scandinavia,Ulaya na nyinginezo zilizoendelea za Asia zikiongozwa na Uchina, nchi zao ziliendelea kwa viongozi wao kufanya mbwembwe hizi zinazofanywa na viongozi wetu?
 
Last edited by a moderator:
Si kwamba Bandari hakuna madudu. Lakini hili suala la makontena haliwahusu. Nu Saada Mkuya na TRA yake.
Mimi Nadhani Bandari inabidi iwe na mamlaka kamili. Yaani wakusanye tozo zao pamoja na kodi na kuipeleka hazina moja kwa moja. Kwanza itapunguza urasimu. Hiki bandari,kile TRA kwa mzigo huo. Iwe desk moja tu. Tozo na kodi hapo hapo.

Mkuu ingelikuwa ni bandari pekee tu inafanya shughuli zote hata hiyo faulo tusingeijua. Maana wangelikuwa smart katika kufanya reconciliation ya figure.
 
Sasa walinzi wa TPA ndio kamishna wa TRA afukuzwe?
unaona ni busara?

.......Huwezi kuwa Kiongozi halafu hujui chochote kinacho endelea. Kumbuka wakati wa kampeni Mh. Magufuli alikuwa akisema wazi kuwa kuna Makonteina yanatoka Bandarini bila kulipiwa na mengine yanaleta Spare parts lakini documents inaandikiwa imeleta viatu vya Yebo Yebo !
Kama mtu wa nje anajua kinachoendelea, wewe uliye pewa dhamana upo wapi !!? ..... huyu somebody Masamaki alikiwa akilalamikiwa kila mahali na tuhuma zake zilikuwa wazi wazi, ina maana Bade hajui !?? ... cha ajabu huyu Masamaki alipandishwa cheo kuwa Kamishna kamili. Hata kamati ya Bunge ilihoji hatua hiyo.
Bade anaponaje hapo kwa mfano !!?

Hiyo ni chain ya ulaji na hao walinzi wa Getini ni watu wadogo sana ! The Boss
 
Last edited by a moderator:
Tulikuwa tunampa hongera na sifa nyingi humu Mwakyembe tukisema 'aliisafisha bandari' na ni 'mchapakazi' na wengine wakiomba ateuliwe kuwa Waziri mkuu ili alete Hiyo kasi na uchapakazi lakini tunakumbuka Sitta alipom replace na yeye Sitta akala 'ujiko' wa kuisafisha bandari na kuondoa madudu.

Kumbe in reality hakuna walichokifanya au walichokifanya hakikuwa na manufaa sasa tena sasa tunashingilia Magufuli na Majaliwa 'kuisafisha 'bandari na kuondoa madudu....

Maswali ya kujiuliza Sitta na Mwakyembe 'tuliwasifia' kwa nini hasa? Na kinachofanyika sasa tuna uhakika ndo soluhisho la kudumu? Kama sifa tulizowapa Mwakyembe na Sitta huko nyuma zilikuwa za makosa na hizi sifa tunazo mwaga sasa je? Hivi haiwezekani nchi hii mambo yakaenda bila kiongozi 'kutikisa' na 'kutingisha' na 'kusafisha' na 'akamwagiwa' sifa tele?

Nchi zote zenye efficiency viongozi wao huwa 'wanatikisa' na 'kutingisha' na 'kusafisha' Kama hapa kwetu?......


Walifanya usanii tu
 
Kuwachukulia watu hatua inabidi urudi kwenye sheria
labda alikosa nguvu ya kisheria,hatujui
umesikia serikali inataka ibadili sheria za ajira...
kama alisharipoti pccb basi makosa yapo pccb
Kuna ofisi moja ya private nilishawahi kufanyia kazi, tajiri alikuwa akiona mfanyakazi wa chini anaharibu kwenye kazi, yeye alikuwa ahangaiki na huyo mfanyakazi ila ana deal na meneja mkuu.

Sababu alizokuwa anatoa ni kwamba yeye ndio ndio kamkabidhi kampuni yake meneja ili aiendeshe, kwa hiyo uzembe wowote unatokea kazini ye ndio wa kuwajibika kwa kushindwa kuwawajibisha wafanyakazi walio chini yake.

Mazingira haya naweza kuyafananisha na hiyo kesi ya Bade.
 
Back
Top Bottom