Crucial Man
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 3,404
- 1,312
sio hoja...Kama wizi umefanyika chini ya wizara yako na chini ya macho yako....bila wewe kufanya kitu..wewe ni Mwizi au mzembe na ueitia serikali hasaraHoja ya mabehewa fake Mwakyembe ameitolea ufafanuzi jana bungeni.
Tutabadilika siku familia zenu zikiacha kuifisadi hii nchiMkuu stick 2 the point, kama alihusika na kashfa yoyote mbona hawakumfukuza kazi, unafikiri JK alikuwa anamuogopa Mwakyembe?
Je, JPJM ambaye aliwahi kufanya kazi Wizara moja na Dk.Mwakyembe unafikiri Magufuli alibahatisha kumtehua kuwa Waziri wa Sheria na katiba?
Tunacho sahau ni kwamba Serikali ina vyombo lukuki vya kuchunguza maadili ya Viongozi kabla hawachapewa wadhifa wowote, hawawezi kuendekeza majungu ya watu wa mitaani wenye bifu binafsi na wenzao, linapokuja suala la majungu,roho za kutu na kwa nini - katika vices tajwa hapo juu Watanzania hatujambo SANA, sijui tutabadirika lini?
Achana na kunguru wa zanzibar anatetea kunguru wenzieSasa angewapa uwaziri akina nani maana CCM wote majambazi yamezidiana tu...
Eti vyombo lukuki mbona wanyama Hai walisafirishwa na hawakujua...mpaka twiga au kipindi hicho hivyo vyombo havikuwepo?
Swali zuri kabisa mkuu,na rejea kilichompata kagasheki huyu jamaa aliwajibishwa tu kwa kuwa alikuwa ni waziri wa mali asili na utalii,lkn waliofanya unyama walikuwa watu wengine huko site tuMwakyembe alikuwa Waziri na alitamba sana kwenye vyombo vya habari kuhusu hayo mabehewa. Sasa iweje asiwajibike kwa kasoro za wizara aliyoisimamia na kuitambia mabehewa au majipu yanayotumbuliwa yana chapa tofauti?
Ndugu jitahidi kutumia akili hivi mtu unaweza kutetea kitu kisichokuhusu? Kama ulimsikia Jana alimuuliza Mdee je kati ya Yale mabehewa kuna ambalo halifanyi kazi baada ya hapo akasema ni kweli baadhi ya mabehewa yalikuja yakiwa mabovu lakini kampuni iliyoingia mkataba na serikali tuliwaita wakaja kuyafanyia matengenezo, ebu niambie kwa maelezo hayo Mwakyembe anaepuka vipi kashfa hii?Ila kwa swala la UFISADI Mwakyembe ni ni mtu safi sana sana na asie penda mambo ya rushwa au ufisadi kabisa, ILA naona hapa anatetea serikali yake kwani hana jinsi!
Hivi walikubaliana kununua mitumba? sheria inaruhusu hiyo kitu...Ndugu jitahidi kutumia akili hivi mtu unaweza kutetea kitu kisichokuhusu? Kama ulimsikia Jana alimuuliza Mdee je kati ya Yale mabehewa kuna ambalo halifanyi kazi baada ya hapo akasema ni kweli baadhi ya mabehewa yalikuja yakiwa mabovu lakini kampuni iliyoingia mkataba na serikali tuliwaita wakaja kuyafanyia matengenezo, ebu niambie kwa maelezo hayo Mwakyembe anaepuka vipi kashfa hii?
Utetezi wako una matundu! Usisahau kwamba kiongozi mkuu naye hupaswa kuwajibika endapo wa chini yake wameboronga yeye akiwepo.Majipu ya TRL yalishatumbuliwa sana tu.Mwakyembe hakuwemo kwenye TendER board,Wala Hafanyi kazi kitengo cha procurement cha TRL,Wala si mjumbe wa BOARD YA TRL iliyointhiinisha hayo manunuzi.Wala hakuwa sehemu ya management.Wahusika direct walishatumbuliwa tena sana tu.
Watu wakiongelea Mwakyembe utafikiri yeye ndiye alienda sokoni india kununua hayo mabehewa.Lakini tunajua ni wale TEAM LOWASA baada ya kumkosa kumtoa ubunge Kyela AMBAKO Lowasa mwenyewe alienda kutaka kumtoa Mwakyembe aliyesoma ile Ripoti ya Richmond Bungeni ambayo ilkimtoa Lowasa mkuku kutoka uwaziri mkuu hadi kuchunga ng`ombe monduli.
Hawa wanaomwandama Mwakyembe ni ni Team LOWASA