Mwakyembe, mburuze mahakamani Lowassa kesi ya Richmond

Mwakyembe, mburuze mahakamani Lowassa kesi ya Richmond

naunga mkono hoja , mzizi wa fitna ukatwe lowasa afungwe kifungo cha maisha .
 
Issue ya RICHMOND lazima ijulikane na ifikie mwisho wake. Kwa hili la RICHMOND naunga mkono..kila mtu abebe msalaba wake.
 
Mwakyembe alizunguka Tanzania kutuaninisha lowasa ni fisadi na kesi inasubiri muda tu itafunguliwa, watu waliamini na hawakumchagua lowasa, sasa ni wakati muafaka kabisa 1. Mwakyembe ampeleke lowasa mahakamani kama alivyotuaminisha majukwaani. 2. Au akiri hadharani kwamba ile ilikuwa ni propaganda ya kutafuta kura tu na awaombe radhi watanzania na lowasa pia. 3. Dr. Slaa naye aje na zilo karatasi zake akatoe ushahidi mahakamani la sivyo naye aitishe press ya waandishi atuambie kashfa zinaonekana kwenye campaign tu.

Hata Prof. Lipumba alishasema 'huyu mtu anastahili kuwa JELA '
 
:A S-fire1::A S-fire1::A S-fire1:
Nilimsikia Dk. Mwakyembe siku chache kabla ya uchaguzi, alikua anaulizwa na muendesha kipindi, KWANINI WASIEMPELEKE LOWASA MAHAKAMANI-KULIKO KUENDELEA KULALAMIKA KUA NI FISADI.

IU la Mwakyeme: alisema JINAI haina mwisho
 
Mbona hata Mwakyembe anayo Kesi ya kujibu.

mkuu nchi haiendeshwi hivyo maana kazi isingefanyika, sawa na kumshika mwizi ukamwachia kisa kuna wezi wengine, kila mtu atashughurikiwa kwa wakati wake, kama Mwakyembe na yeye ana kesi kuna wengine watakuja kumshughurikia.
 
Waziri wangu hayupo kwa ajili ya kulipiza kisasi tunafuata njia ya hapa kazi tu.
 
Unatumia ID ya jina la Kuhani wa Mungu katika Biblia, na matendo yako hayasadifu jina hilo. Mbona wenzako wamejipa ID za Kinyesi nk?! ... Nafikiri ungefuata mfano wa wenzako.
 
Yesu akasema: mtu ambaye hajawahi kufanya kosa lolote katika maisha yake na awe wa kwanza kumpiga mawe mtu huyu
 
Mwkymb amuweze wapi EL, Lowasa ni level nyingine?
 
Yesu akasema: mtu ambaye hajawahi kufanya kosa lolote katika maisha yake na awe wa kwanza kumpiga mawe mtu huyu

Serikali na mahakama hazina dini.Ukikwapua ni mahakamani.Hayo mahubiri kahubiri kanisani.Serikali ukiiba ni mahakamani hata kama ulienda kwa padri ukaungama usiku kucha akakuandikia na cheti cha kusamehewa hiyo dhambi uonyeshe mahakamani,Mahakama haitakipokea hicho cheti sababu haina dini.

Ndio maana hata akina Gwajima wanaburuzwa mahakamani sembuse Lowasa
 
Huyo mwakyembe mwenyew anahaha na kesi zake afu ambuluze lowasa afaweza? Ye mwenyew mwizi mchafu.. Na hiyo richmond atakae dakwa ni bosi wake aliempa ulaji awamu ya nne sa sijui kama unafahamu ilo au ndo ushalewa buku 5 ya viroba from lumumba
 
Richmondi italeta mchafu na mpasuko ndani ya ccm maana wausika wakuu wote wapo ccm jiangalie kijana
 
Hahahaha wote majpu ajianze kwanza yy kujishitaki kwa hizo tuhuma zinazo kabili wizara aliyokuwa kabla ya kuja wizara nyingine
 
Ni mtanzania anayejielewa, kakomaa na amasimango, hata mwende mbele mrudi nymua atabaki yeye kama yeye. Ukweli utakuweka huru mkuu, japo si vibaya kutetea upande uliopo.

Anafaida gani Na Utanzania wake kwa watanzania zaidi ya kuwaibia?ndio maana Analaana Na Ataendelea kukatwa tu
 
labda lowasa amfunge mwakwembe kwa kutumia sheria ya 14 sura ya 40 ibara 5 ambayomtu yeyeyote mwenye machungu anaweza kufungua kesi kwa wabadhilifu wa mali za umma, mwakye mabehewa feki yanamhusu.
 
Back
Top Bottom