Mwakyembe, mburuze mahakamani Lowassa kesi ya Richmond

Mwakyembe, mburuze mahakamani Lowassa kesi ya Richmond

Mbona hata Mwakyembe anayo Kesi ya kujibu.

Hapo sasa, ila zaidi ni huyu mtoa mada anang'anganiza hii mada hadi kwa maombi na chondechonde nyiiiingi utadhani anajua nje ndani ya hii issue ya Richmond.
 
Mwakyembe ameagiza mabehewa feki ya treni trl akapiga pesa akanunua kiwanja bahari beach tsh. bilioni moja ... huyu ni fisadi mzuri tu

Alafu eti amuanzishie Lowassa kiiibo!!!!!!!!!!!!!!!!! mbona patanuka, kha!!!
 
SIPENDI bifU, kwa nini tusiendelee mbele???? Tunakwenda Mbele Tunarudi Nyuma, we are not creative at all!
People are making noises on Success of others, why?
Msipige kelele sana ktk mafanikio ya wengine, Mwakyembe Anapaswa kuangalia namna ya kupanua wigo wa ajira Tanzania katika mahakama zote ili Vijana wetu wanaomaliza Law school wapate ajira. Kuna watu wanafikiri kujiari ni rahisi, la hasha siyo hivyo, lakini siwakatazi kujaribu....But all in all Please unapaswa kutambua pesa katika lugha zote.

Nakuunga mkono sana kwa mawazo yako yaliyoend ashule mkuu. Hayajapwaya kama mawzo ya huyu jamaa aliyeleta huu uzi akidhani mambo mengine ni ya kukurupukia tu kisa uliskiaga yakizungumzwa.
 
Mwakyembe ni mwizi kuliko mwizi yeyote Tanzania sasa kamwazima Membe ule Utitiri wa waganga wa kienyeji toka Gambia, Mongolia na Nchi zingine upo kwake ukitekeleza kamati za Ufundi ili upepo wa bandarini na shirika la Reli na ile kesi ya kupinga matokeo yake ya Ubunge zipite mbali.

TEH TEH TEH, Yesu bwana sjui atarudi linni?????? Inonekana hizo nchi zina waganga wazuri sana kuliko wa Pangani na Kasulu.
 
SIPENDI bifU, kwa nini tusiendelee mbele???? Tunakwenda Mbele Tunarudi Nyuma, we are not creative at all!
People are making noises on Success of others, why?
Msipige kelele sana ktk mafanikio ya wengine, Mwakyembe Anapaswa kuangalia namna ya kupanua wigo wa ajira Tanzania katika mahakama zote ili Vijana wetu wanaomaliza Law school wapate ajira. Kuna watu wanafikiri kujiari ni rahisi, la hasha siyo hivyo, lakini siwakatazi kujaribu....But all in all Please unapaswa kutambua pesa katika lugha zote.

You can't progress forward yet you have mess with things at the past
 
Mtoa mada 🐗🐗🐗

Mwakyembe anajua Richmond ya JK.. au unajua hajui..? Tatizo lako wee 🐗🐗

Sasa ukiwa 🐗🐗 is the huge mental shortsightness and fog...!!

And Mwakyembe akimsikia Lowassa anataka kujificha kokote kule...!! The tycoon Lowassa, the Master of masters..!! Unamuona kiwasiwasi...?

Gmrng 🐗🐗🐗
 
Mwakyembe ameagiza mabehewa feki ya treni trl akapiga pesa akanunua kiwanja bahari beach tsh. bilioni moja ... huyu ni fisadi mzuri tu

tutupie picha basi mkuu na muamala wa hiyo transaction au la tafuta bwana akusokomeze
 
Mwakyembe alizunguka Tanzania kutuaninisha lowasa ni fisadi na kesi inasubiri muda tu itafunguliwa, watu waliamini na hawakumchagua lowasa, sasa ni wakati muafaka kabisa 1. Mwakyembe ampeleke lowasa mahakamani kama alivyotuaminisha majukwaani. 2. Au akiri hadharani kwamba ile ilikuwa ni propaganda ya kutafuta kura tu na awaombe radhi watanzania na lowasa pia. 3. Dr. Slaa naye aje na zilo karatasi zake akatoe ushahidi mahakamani la sivyo naye aitishe press ya waandishi atuambie kashfa zinaonekana kwenye campaign tu.
 
mwakyembe kashika wizara ya sheria ambako kuna wanasheria wa serikali na waendesha mashtaka nguli waliobobea katika fani za sheria na wenye weledi mkubwa.

Mwakyembe wafurahishe na uwatendee haki watanzania,kutana na wanasheria wako wizarani hapo mburuzeni lowassa mahakamani kesi ya richmond na angalieni na maeneo mengine aliyotupiga watanzania kwa kutuibia.

Chonde chonde mwakyembe tusaidie watanzania.wanasheria msaidieni mwakyembe.naamini wanasheria watakaoikalia vizuri hiyo kesi si ajabu wakaja kuwa marais baada ya magufuli kumaliza awamu zake.

usitaje lowassa tu, taja na escrow, epa, iptl n.k, ili usije ukaonekana una personal issue na lowassa
 
Hatakaa athubutu kumtaja lowassa kuwa ana kesi ya kujibu. Coz lowassa hana kesi ya kujib, lbd km mnamrudisha raisi mstaafu mahakamani, namkumbuke mkitaja richmond mnaugusa uongoz wajuu saana wa awam ya 4. hahahaaaaaa!!!!
 
Please admins msiwe mnafuta MAWAZO ya mtu.naandika kitu changu mnakipotezea why? Kisa kinakuwa na reflection kwa mambo yajayo? Do fear for all as intellectual brother n' sisters
 
Mwakyembe kashika wizara ya sheria ambako kuna wanasheria wa serikali na waendesha mashtaka nguli waliobobea katika fani za sheria na wenye weledi mkubwa.

Mwakyembe wafurahishe na uwatendee haki watanzania,Kutana na wanasheria wako wizarani hapo mburuzeni Lowassa MAHAKAMANI kesi ya RICHMOND na angalieni na maeneo mengine aliyotupiga watanzania kwa kutuibia.

Chonde chonde Mwakyembe tusaidie watanzania.Wanasheria msaidieni Mwakyembe.Naamini wanasheria watakaoikalia vizuri hiyo kesi si ajabu wakaja kuwa marais baada ya Magufuli kumaliza awamu zake.

Jamaa amepelekwa pale mahususi kupambana na Mafisadi Papa. Kuwa na subira, utayasikia yakianza kulia na kusaga meno.
 
Mleta MADA pole sana.

Mwakyembe hataweza kumwajibisha LOWASA kwani ifahamike Richmond ni suala la kitaifa na kama mnataka kuamini mrejee kauli za viongozi hao.
Kwanza niseme mwakyembe hakuwa na nguvu kama KIKWETE na kama Jk alishindwa kumtaja na kumwajibisha LOWASA kama mwizi naomba mjiongeze.
Ivi Raisi na waziri yupi Ana nguvu?
Mimi naomba niwaombe mm na nyie tuweke kumbukumbu zetu vizuri ikipita miaka 4 au mwaka 2020 mtayakumbuka haya katika kampen. Msipende kuburuzwa kifikra hata kidogo. Nimwombe mwakembe atangazie dunia kwann aliponguza baadhi ya vitu katika ripot yake?
Pili ajuwe alitumia pesa za Uma kwende kwenye huo uchunguz na bado akaja na porojo ambayo imeligarimu taifa mpaka Leo.
MUNGU AKUSAIDIE ulikumbuke ili katika utekelezaji wako ila amini kuwa LOWASA sio mwizi kama ulivodanganya uma katika kampeni. Ivo basi kwa dhana ya hapa kazi tu tupe mrejesho wa mabehewa ya Tran na vichwa vyake alafu utaaminishe kwa data Wizi wa EDWARD NGOYAI LOWASA kwa kina na kwa uwazi .
 
Back
Top Bottom