Mwakyembe, mburuze mahakamani Lowassa kesi ya Richmond

Anafaida gani Na Utanzania wake kwa watanzania zaidi ya kuwaibia?ndio maana Analaana Na Ataendelea kukatwa tu

Huo ni mtazamo wako eroo Motochini ila kwetu LOWASSA ana bonge la HESHIMA KULIKO huyo mliyempitisha kimazigabwe. Kwanza ngoja nikampe kamanda LEMA big up kubwa kwa kumpiga chini muuza unga wa unga limited wakati mboga ni kiduchu Kilombero. yeeeeeeeere karibu Arachuga errrrrooooooooooooo
 
Mwakyembe kashika wizara ya sheria ambako kuna wanasheria wa serikali na waendesha mashtaka nguli waliobobea katika fani za sheria na wenye weledi mkubwa.

Mwakyembe wafurahishe na uwatendee haki watanzania,Kutana na wanasheria wako wizarani hapo mburuzeni Lowassa MAHAKAMANI kesi ya RICHMOND na angalieni na maeneo mengine aliyotupiga watanzania kwa kutuibia.

Chonde chonde Mwakyembe tusaidie watanzania.Wanasheria msaidieni Mwakyembe.Naamini wanasheria watakaoikalia vizuri hiyo kesi si ajabu wakaja kuwa marais baada ya Magufuli kumaliza awamu zake.

We kweli hamnazo mwakyembe amfungulie kesi lowasa kwa tuhuma za kufikirika ambapo kikwete alikwenda marekani akarudi kuwa amempata mwekezaji.

Alafu aache kumfungulia muhongo ambae hata kigangwala anamfahamu kuwa ni mwizi tena wizi wake ni wa juzijuzi tu ambapo watu aliwagawia pesa tena zilibebwa kwa lumbesa? We acha utani mshauri amfungulie Kwanza muhongo kesi make ya kwake bado mbichi.
 
Huo ni mtazamo wako eroo Motochini ila kwetu LOWASSA ana bonge la HESHIMA KULIKO huyo mliyempitisha kimazigabwe. Kwanza ngoja nikampe kamanda LEMA big up kubwa kwa kumpiga chini muuza unga wa unga limited wakati mboga ni kiduchu Kilombero. yeeeeeeeere karibu Arachuga errrrrooooooooooooo
Ubarikiwe
 
NAWE PIA MKUU ILA KARIBU CHUGA TUSHAEREKEE PAMOJA JEMBE LIANRUDI TENA SHAMBANI KUENDELEA KULIMA KAMA KAWA. JPM anavita kubwa sana ila nasikitika anapigana mwenyewe.
Nisherehekee kushinda wa lema!? itakuwa miujiza ndugu, huyu sinie mwenye kauli ile "....LOWASSA NI ... KWAMUNGU"Leo kawa Nuru amakweli Kununuliwa rahisi Chadema pekee duniani
 
Vitu vingine sio vya kushoboka bora akaushe tu akitaka kuwaburuza awaburuze wakurugenzi na vigonga ulimbo wanaokwepa kulipa kodi
 
Nisherehekee kushinda wa lema!? itakuwa miujiza ndugu, huyu sinie mwenye kauli ile "....LOWASSA NI ... KWAMUNGU"Leo kawa Nuru amakweli Kununuliwa rahisi Chadema pekee duniani

Ndo maana naona wewe ni mwanachama wa chama na si mwanadiplomasia wa kati, unadhani mwanadam ni panya habadiliki tabia????????? eeh??????????? pima sana maneno yako na ujiridhishe mkuu, Mungu hajatuumba tuwe na hali moja kama anga na kuzimu, iko hivi, yes Lema ni yule na leo bado ni Lema ila si yule, hali kadhalika kwa BABA lOWASSA, alikua yulle ila kwa sasa si yule tena. Acha kufanya kana kwamba watu inabidi wabaki Misri wewee,, hehee. Kama ndo hivyo wewe mtotochini oh sory Motochini ungebaki kua junior member ea JF, ukifanikiwa kukua basi acha yakitoto, the same phylosophy aplies to Lema nda Lowassa.
 
Mwakyembe kashika wizara ya sheria ambako kuna wanasheria wa serikali na waendesha mashtaka nguli waliobobea katika fani za sheria na wenye weledi mkubwa.

Mwakyembe wafurahishe na uwatendee haki watanzania,Kutana na wanasheria wako wizarani hapo mburuzeni Lowassa MAHAKAMANI kesi ya RICHMOND na angalieni na maeneo mengine aliyotupiga watanzania kwa kutuibia.

Chonde chonde Mwakyembe tusaidie watanzania.Wanasheria msaidieni Mwakyembe.Naamini wanasheria watakaoikalia vizuri hiyo kesi si ajabu wakaja kuwa marais baada ya Magufuli kumaliza awamu zake.

Aanze kwanza yy mwenyewe na mabehewa yake mabovu........afu ndo amfuate lowasa!!!
 
Serikali na mahakama hazina dini.Ukikwapua ni mahakamani.Hayo mahubiri kahubiri kanisani.Serikali ukiiba ni mahakamani hata kama ulienda kwa padri ukaungama usiku kucha akakuandikia na cheti cha kusamehewa hiyo dhambi uonyeshe mahakamani,Mahakama haitakipokea hicho cheti sababu haina dini.

Ndio maana hata akina Gwajima wanaburuzwa mahakamani sembuse Lowasa

:thumbdown:
 
hivi membe alikufanya nini? ulimtaka akakupotezea nini? maana baadhi ya wanawake wengine niwapuuzi kweli kweli.
kila uzi lazima umuandike membe. usisahau kuwa jamaa ana mke na familia. katafute bwana mwengine, mbona wapo wengi mitaani.

Mwambie Huyo boss wako Mwakyembe kwanza ajifungulie kessi mwenyewe za kuiba Pesa za Ukarabati wa Reli ya Dsm- Tanga, Dsm- moshi, Dsm-kigoma na mwanza, ununuzi wa mabehewa mabovu, Treni ya daladala jijini Dsm , zile 10 percent ujenzi uwanja wa Dsm Airport na viwanja vingine vya ndege, wizi bandarini nk, Mwakyembe ni bonge la mwizi hata hiyo wizara kapewa kama fadhila kwa kazi aliyofanya Kipindi cha kampeni kwa kufanikisha kumrubuni DR Slaa na Lipumba hadi wakakubali kununuliwa na Membe kwa Dola million 2 slaa na lipumba dola million 1.5 pesa ambazo zilitoka kwenye Handaki zilikofichwa billion za marehemu Gadafi ambazo pia zimemsaidi kupiga Goli la mkono jimboni kwake kutokana na hali ilivyokuwa Mwakyembe asingeweza kuwa mbunge tena bali uchakachuaji ndiyo umemrejesha kuwa mbunge.
 
Ndo maana naona wewe ni mwanachama wa chama na si mwanadiplomasia wa kati, unadhani mwanadam ni panya habadiliki tabia????????? eeh??????????? pima sana maneno yako na ujiridhishe mkuu, Mungu hajatuumba tuwe na hali moja kama anga na kuzimu, iko hivi, yes Lema ni yule na leo bado ni Lema ila si yule, hali kadhalika kwa BABA lOWASSA, alikua yulle ila kwa sasa si yule tena. Acha kufanya kana kwamba watu inabidi wabaki Misri wewee,, hehee. Kama ndo hivyo wewe mtotochini oh sory Motochini ungebaki kua junior member ea JF, ukifanikiwa kukua basi acha yakitoto, the same phylosophy aplies to Lema nda Lowassa.

Baba Lowassa Oyeee
 
Asisahau kuwa Ni Mwakyembe aliyempa uwanja wa relwe aliyekuwa mgombea wa ubunge wa Arusha mjini Bw. Monaban akauzungushia uzio hadi sasa.
 
Ndo maana naona wewe ni mwanachama wa chama na si mwanadiplomasia wa kati, unadhani mwanadam ni panya habadiliki tabia????????? eeh??????????? pima sana maneno yako na ujiridhishe mkuu, Mungu hajatuumba tuwe na hali moja kama anga na kuzimu, iko hivi, yes Lema ni yule na leo bado ni Lema ila si yule, hali kadhalika kwa BABA lOWASSA, alikua yulle ila kwa sasa si yule tena. Acha kufanya kana kwamba watu inabidi wabaki Misri wewee,, hehee. Kama ndo hivyo wewe mtotochini oh sory Motochini ungebaki kua junior member ea JF, ukifanikiwa kukua basi acha yakitoto, the same phylosophy aplies to Lema nda Lowassa.

Unapo nitajia jina Lowassa zsidi ya Mara 1 nijisikia kutapika, Ni BABA YAKO WEWE
 
hivi membe alikufanya nini? ulimtaka akakupotezea nini? maana baadhi ya wanawake wengine niwapuuzi kweli kweli.
kila uzi lazima umuandike membe. usisahau kuwa jamaa ana mke na familia. katafute bwana mwengine, mbona wapo wengi mitaani.

hahaha du!
 
Back
Top Bottom