MOTOCHINI
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 29,097
- 35,475
Vitu vingine sio vya kushoboka bora akaushe tu akitaka kuwaburuza awaburuze wakurugenzi na vigonga ulimbo wanaokwepa kulipa kodi
Lowassa nilazima maana ndio Jizi mkuu
Vitu vingine sio vya kushoboka bora akaushe tu akitaka kuwaburuza awaburuze wakurugenzi na vigonga ulimbo wanaokwepa kulipa kodi
Aanze Na mwizi mkuu Lowassa
Lowassa nilazima maana ndio Jizi mkuu
Asisahau kuwa Ni Mwakyembe aliyempa uwanja wa relwe aliyekuwa mgombea wa ubunge wa Arusha mjini Bw. Monaban akauzungushia uzio hadi sasa.
Unapo nitajia jina Lowassa zsidi ya Mara 1 nijisikia kutapika, Ni BABA YAKO WEWE
Mwakyembe ameagiza mabehewa feki ya treni trl akapiga pesa akanunua kiwanja bahari beach tsh. bilioni moja ... huyu ni fisadi mzuri tu
Mbona hata Mwakyembe anayo Kesi ya kujibu.
Umekariri Akili za Nape hadi umejitoa fahamu zoote ! Mwenzako alikuwa Adui wa Lowasa kwa sababu alikuwa analipwa na Membe kwa dola zikitoka kwenye Handaki zilikofichwa pesa za marehemu Gadafi.lakini moyoni anamkubali Lowasa kiaina.
Wewe Escrow Lowasa kakuubia nini? Si umeambiwa Richmond ni ya Kikwete.
Lowassa nilazima maana ndio Jizi mkuu
Aanze Na mwizi mkuu Lowassa
unapo nitajia jina lowassa zsidi ya mara 1 nijisikia kutapika, ni baba yako wewe
Baba Lowassa Oyeee
Mwakyembe kashika wizara ya sheria ambako kuna wanasheria wa serikali na waendesha mashtaka nguli waliobobea katika fani za sheria na wenye weledi mkubwa.
Mwakyembe wafurahishe na uwatendee haki watanzania,Kutana na wanasheria wako wizarani hapo mburuzeni Lowassa MAHAKAMANI kesi ya RICHMOND na angalieni na maeneo mengine aliyotupiga watanzania kwa kutuibia.
Chonde chonde Mwakyembe tusaidie watanzania.Wanasheria msaidieni Mwakyembe.Naamini wanasheria watakaoikalia vizuri hiyo kesi si ajabu wakaja kuwa marais baada ya Magufuli kumaliza awamu zake.