Mwakyembe, mburuze mahakamani Lowassa kesi ya Richmond

Mwakyembe, mburuze mahakamani Lowassa kesi ya Richmond

Mwambie Huyo boss wako Mwakyembe kwanza ajifungulie kessi mwenyewe za kuiba Pesa za Ukarabati wa Reli ya Dsm- Tanga, Dsm- moshi, Dsm-kigoma na mwanza, ununuzi wa mabehewa mabovu, Treni ya daladala jijini Dsm , zile 10 percent ujenzi uwanja wa Dsm Airport na viwanja vingine vya ndege, wizi bandarini nk, Mwakyembe ni bonge la mwizi hata hiyo wizara kapewa kama fadhila kwa kazi aliyofanya Kipindi cha kampeni kwa kufanikisha kumrubuni DR Slaa na Lipumba hadi wakakubali kununuliwa na Membe kwa Dola million 2 slaa na lipumba dola million 1.5 pesa ambazo zilitoka kwenye Handaki zilikofichwa billion za marehemu Gadafi ambazo pia zimemsaidi kupiga Goli la mkono jimboni kwake kutokana na hali ilivyokuwa Mwakyembe asingeweza kuwa mbunge tena bali uchakachuaji ndiyo umemrejesha kuwa mbunge.

Basi tuanze Na Lowassa baadae turudi kwake
 
Mwakyembe ni mwizi kuliko mwizi yeyote Tanzania sasa kamwazima Membe ule Utitiri wa waganga wa kienyeji toka Gambia, Mongolia na Nchi zingine upo kwake ukitekeleza kamati za Ufundi ili upepo wa bandarini na shirika la Reli na ile kesi ya kupinga matokeo yake ya Ubunge zipite mbali.

Sidhani kama nchi hii kuna jizi zaidi ya Lowassa never
 
Alishasema mwenye ushaid apeleke mahakan sasa anasubir nini

Nenden tuone mbivu na mbichi

Naommba kesi ifunguliwe
 
Hapo sasa, ila zaidi ni huyu mtoa mada anang'anganiza hii mada hadi kwa maombi na chondechonde nyiiiingi utadhani anajua nje ndani ya hii issue ya Richmond.

Mkuu huyu mtoa mada ametumwa si bure, huyo mwakyembe mwenyewe ni noma, sa sijui ataanzaje wakati alisema ningesoma ripoti yote serikali nzima ingetikisika, sasa hapo itabidi aeleze yote ili kama ni hatua zichukuliwe kwa wahusika..!!
 
Watu wengine bwana.na Mwakyembe TRL na TPA,mbona husemi abururuzwe mahakamani.Hizo ni chuki binafsi.
Mwakyembe kashika wizara ya sheria ambako kuna wanasheria wa serikali na waendesha mashtaka nguli waliobobea katika fani za sheria na wenye weledi mkubwa.

Mwakyembe wafurahishe na uwatendee haki watanzania,Kutana na wanasheria wako wizarani hapo mburuzeni Lowassa MAHAKAMANI kesi ya RICHMOND na angalieni na maeneo mengine aliyotupiga watanzania kwa kutuibia.

Chonde chonde Mwakyembe tusaidie watanzania.Wanasheria msaidieni Mwakyembe.Naamini wanasheria watakaoikalia vizuri hiyo kesi si ajabu wakaja kuwa marais baada ya Magufuli kumaliza awamu zake.
 
Mwakyembe Anapaswa kuangalia namna ya kupanua wigo wa ajira Tanzania katika mahakama zote ili Vijana wetu wanaomaliza Law school wapate ajira.

Hivi wewe ni msomi? Elimu ni uwekezaji(Investment) Kama ulivyo uwekezaji wowote.Kusoma ni -ku INVEST IN YOUSELF.Utajiwekezaje kwenye eneo ambalo halina ajira ya kujiajiri binafsi au kupata ajira serikalini.Hilo ni tatizo lako sio la Mwakyembe.Kama haja yako ilikuwa ajira serikali imeshatoa maeneo ambayo ajira zipo kama ualimu,udaktari,uinjinia nk Sasa wewe kama umeamua kujitosa fani isiyo na ajira hivi akili zimo kweli? Unasoma kitu unachojua mwishoo wa siku hakina ajira serikalini au sekta binafsi halafu unaanza kubwata!

Kusoma ni uwekezaji usiwekeze kwenye biashara kichaa au digrii kichaa zisizo na ajira.Kuliko kupoteza kusoma digirii zisizo na ajira ni heri ungetumia muda huo kuuza maparachichi ungekuwa mbali.
 
Hakuna adhabu tosha kama mtu kuishi ukijua kuwa Watanzania wote na dunia kwa ujumla wanajua kuwa wewe ni fisadi.

Tumuache Lowassa na hiyo adhabu.
 
Tuanze Na Fisadi kiongozi mkuu Lowassa kwanza

Hivi miaka yooote hiyo kwanini hamumshitaki mumpeleke mahakamani au ndiyo mmebakia kutumiwa tu na baba zenu kama kina kondakta na Nepi
 
Hivi miaka yooote hiyo kwanini hamumshitaki mumpeleke mahakamani au ndiyo mmebakia kutumiwa tu na baba zenu kama kina kondakta na Nepi

Nibora kutumwa Na Mzazi wako kuliko we we Unae mfulia kaptula Mbowe kwa ujila Wa kiroba
 
Katika vitu mwalyembe hawezi kugusa ni richimomd yaan unataka ajitoboe jicho mwenyewe? Anayeweza kumuhukumu lowasa ni mungu tu wengine fungeni mabakuri yenu
 
Hakuna adhabu tosha kama mtu kuishi ukijua kuwa Watanzania wote na dunia kwa ujumla wanajua kuwa wewe ni fisadi.

Tumuache Lowassa na hiyo adhabu.

Pia huyu ana laana ya watanzania
 
Back
Top Bottom