Mwakyembe kakosa nini?

Mwakyembe kakosa nini?

Huna lolote si ajabu wewe ni Makmango 4 au ni wale wale. Mtu mwenye busara hawezi kutaja utajiri wake mbele ya maskini. Au mwenye afya hawezi kuringia afya yake mbele ya wagonjwa vile vile sitegemei wpumbavu wajivunie upumbavu wao mbele ya kadamnasi.
Uelewa wako ndio shida sio ww mkuu.

Mtu akitaja umaskini wake mbele ya mkadamnasi yupo sawa...ila MTU akielezea nafanikio yake anajivuna.

Kwa akili hizi tutafika kweli?
 
Uheshimiwa wa makmango 4 uliishia pale pale aliposema upumbavu kwamba ana degree 4.
Shenzi 4 mangoes
Angesema anasumbuliwa na mahusiano kwa miaka minne. Hapo ingekuaje?
Tafuta zako na wewe ile complex inferiority ikutoke.
 
Mtu akisha kuwa "brain washed" na mawazo ya maandishi basi ujiona mwamba bora na wengine kokoto tu, anacho sahau ni kwamba wenye nyundo wapo hawajafa.
 
Tatizo la Mwakyembe ni kukosa maarifa,unaweza ukawa na degree 10 na bado ukakosa maarifa
Hi everyone in here!

Bila kupindapinda nasema hivi: Watanzania wengi hasa hasa maskini na wasio na elimu dunia wanasumbuliwa na complex inferiority yaani umaskini wao na udogo wa elimu yao unawafanya wawaone matajiri na wenye elimu kama maadui. Kwa tabia hizi tutafikia kweli uchumi wa viwanda?

Juzi hapa nimepost kuhusu uncle wangu aliyechanganyikiwa. Huwezi amini moderators wakatoa wakauamisha uzi wangu na kuupeleka kwenye jukwaa la utani. Eti hawaamini kuwa yale ni maisha ambayo watanzania wanaishi. Wanakataa kuwa kuna shule za nursery watoto wanalipa milioni 27 kwa mwaka! Tutafika tuendako kweli?

Juzi Mheshimiwa Mwakyembe amesema hawezi kukosololewa na MTU wa elimu ndogo kwa kuwa yeye ni msomi wa degree nne. Watu wamepanic wametukana hadi wanatia huruma.

Akilini nikajiuliza kama degree nne wanatukana, vipi Mzee wangu Rutashoborwa mwenye degree 7 na anampango wa kuongeza tatu, siku akiitisha press conference na kusema hivyo so nchi itamtenga.

Mimi binafsi, sijaona kosa la Mwakyembe, degree nne ni za kwake, darasa la saba ni la kwako. Kila mtu ana uwezo wake na tuuheshimu.

Tukiheshimiana tutapendana, tukipendana tutaheshimiana.

Jambo Tanzania.
 
Akichokosea Mwakiembe ni "sikosolewi na mtu wa elimu mdogo " elimu haina mwisho hata mtoto mdogo anaweza kukukosoa. Kuna mtoto wa nursery alimkosoa professor katika grammar - English
 
Tuna wasomi wajinga wengi, yani kujiona wew n bora zaidi ya wengne kisa tu unawazidi degree zako ni ujinga wa ngazi ya juu sana. Hvi huyo mwakyembe akiumwa hawez kupata ushauri wa matumizi ya dawa kwa nesi mwenye certificate tu?
Njaa inawafanya wasomi wengi kuwa wajinga
 
Hi everyone in here!

Bila kupindapinda nasema hivi: Watanzania wengi hasa hasa maskini na wasio na elimu dunia wanasumbuliwa na complex inferiority yaani umaskini wao na udogo wa elimu yao unawafanya wawaone matajiri na wenye elimu kama maadui. Kwa tabia hizi tutafikia kweli uchumi wa viwanda?

Juzi hapa nimepost kuhusu uncle wangu aliyechanganyikiwa. Huwezi amini moderators wakatoa wakauamisha uzi wangu na kuupeleka kwenye jukwaa la utani. Eti hawaamini kuwa yale ni maisha ambayo watanzania wanaishi. Wanakataa kuwa kuna shule za nursery watoto wanalipa milioni 27 kwa mwaka! Tutafika tuendako kweli?

Juzi Mheshimiwa Mwakyembe amesema hawezi kukosololewa na MTU wa elimu ndogo kwa kuwa yeye ni msomi wa degree nne. Watu wamepanic wametukana hadi wanatia huruma.

Akilini nikajiuliza kama degree nne wanatukana, vipi Mzee wangu Rutashoborwa mwenye degree 7 na anampango wa kuongeza tatu, siku akiitisha press conference na kusema hivyo so nchi itamtenga.

Mimi binafsi, sijaona kosa la Mwakyembe, degree nne ni za kwake, darasa la saba ni la kwako. Kila mtu ana uwezo wake na tuuheshimu.

Tukiheshimiana tutapendana, tukipendana tutaheshimiana.

Jambo Tanzania.
Iwee shomile! Wagambila stupid in front of my wife?
 
Akichokosea Mwakiembe ni "sikosolewi na mtu wa elimu mdogo " elimu haina mwisho hata mtoto mdogo anaweza kukukosoa. Kuna mtoto wa nursery alimkosoa professor katika grammar - English
Inabidi waweke na standard ya elimu ya wanaotakiwa kuwasifia. Maana wanasifiwa sana na wasioenda shule kabisa na wanashangilia ila kukosolewa ndo wanaweka standard ya elimu
 
Mtu ana degree nne halafu anapitwa upeo wa kuchambua mambo na mtu kama mbunge musukuma
 
Kama Hadi Muda Huu Bado Hujalijua Kosa La Mwakiembe Basi Wewe Ni Pimbi Full Stop!!.
 
Back
Top Bottom