Junior Rutashoborwa
JF-Expert Member
- Oct 13, 2019
- 228
- 210
Hi everyone in here!
Bila kupindapinda nasema hivi: Watanzania wengi hasa hasa maskini na wasio na elimu dunia wanasumbuliwa na complex inferiority yaani umaskini wao na udogo wa elimu yao unawafanya wawaone matajiri na wenye elimu kama maadui. Kwa tabia hizi tutafikia kweli uchumi wa viwanda?
Juzi hapa nimepost kuhusu uncle wangu aliyechanganyikiwa. Huwezi amini moderators wakatoa wakauamisha uzi wangu na kuupeleka kwenye jukwaa la utani. Eti hawaamini kuwa yale ni maisha ambayo watanzania wanaishi. Wanakataa kuwa kuna shule za nursery watoto wanalipa milioni 27 kwa mwaka! Tutafika tuendako kweli?
Juzi Mheshimiwa Mwakyembe amesema hawezi kukosololewa na MTU wa elimu ndogo kwa kuwa yeye ni msomi wa degree nne. Watu wamepanic wametukana hadi wanatia huruma.
Akilini nikajiuliza kama degree nne wanatukana, vipi Mzee wangu Rutashoborwa mwenye degree 7 na anampango wa kuongeza tatu, siku akiitisha press conference na kusema hivyo so nchi itamtenga.
Mimi binafsi, sijaona kosa la Mwakyembe, degree nne ni za kwake, darasa la saba ni la kwako. Kila mtu ana uwezo wake na tuuheshimu.
Tukiheshimiana tutapendana, tukipendana tutaheshimiana.
Jambo Tanzania.