Mwakyembe kakosa nini?

Mwakyembe kakosa nini?

kuna tetesi huku uswahilini kuwa kadri mwanaume anavyozidi kuongeza degree ndivyo anavyozidi kuwa mjinga

dr.shika
 
Sasa kipi alichofanya mheshimiwa Mwakyembe mpaka ikilinganishe na kunya kwenye kituo cha mabasi?
Jaribu kutumia akili japo kidogo(kama unazo kwani kwa arguments yako inatia shaka), point ni kuona hastahili kukosolewa kisa ana degrees 4 ndiyo maana wadau wakakutolea mfano huo.
 
Au hakuwahi kupigwa chini na wakili mwenye 'LL.B tuu?
Tuna wasomi wajinga wengi, yani kujiona wew n bora zaidi ya wengne kisa tu unawazidi degree zako ni ujinga wa ngazi ya juu sana. Hvi huyo mwakyembe akiumwa hawez kupata ushauri wa matumizi ya dawa kwa nesi mwenye certificate tu?
Njaa inawafanya wasomi wengi kuwa wajinga
 
Hi everyone in here!

Bila kupindapinda nasema hivi: Watanzania wengi hasa hasa maskini na wasio na elimu dunia wanasumbuliwa na complex inferiority yaani umaskini wao na udogo wa elimu yao unawafanya wawaone matajiri na wenye elimu kama maadui. Kwa tabia hizi tutafikia kweli uchumi wa viwanda?

Juzi hapa nimepost kuhusu uncle wangu aliyechanganyikiwa. Huwezi amini moderators wakatoa wakauamisha uzi wangu na kuupeleka kwenye jukwaa la utani. Eti hawaamini kuwa yale ni maisha ambayo watanzania wanaishi. Wanakataa kuwa kuna shule za nursery watoto wanalipa milioni 27 kwa mwaka! Tutafika tuendako kweli?

Juzi Mheshimiwa Mwakyembe amesema hawezi kukosololewa na MTU wa elimu ndogo kwa kuwa yeye ni msomi wa degree nne. Watu wamepanic wametukana hadi wanatia huruma.

Akilini nikajiuliza kama degree nne wanatukana, vipi Mzee wangu Rutashoborwa mwenye degree 7 na anampango wa kuongeza tatu, siku akiitisha press conference na kusema hivyo so nchi itamtenga.

Mimi binafsi, sijaona kosa la Mwakyembe, degree nne ni za kwake, darasa la saba ni la kwako. Kila mtu ana uwezo wake na tuuheshimu.

Tukiheshimiana tutapendana, tukipendana tutaheshimiana.

Jambo Tanzania.
Mod naomba na huu uzi uamishwe kwenye jukwaa la utani.
 
Endelea kula tu matoke huko kwenu kashozi..maana umeandika ujinga ujinga sana..

Kwahiyo mtu akiwa na degree nne akiwa anakunya nje ya nyumba inabidi walioishia darasa la nne wasimwambie aache ujinga??
Kama imekuuma rudi Shule
 
Hi everyone in here!

Bila kupindapinda nasema hivi: Watanzania wengi hasa hasa maskini na wasio na elimu dunia wanasumbuliwa na complex inferiority yaani umaskini wao na udogo wa elimu yao unawafanya wawaone matajiri na wenye elimu kama maadui. Kwa tabia hizi tutafikia kweli uchumi wa viwanda?

Juzi hapa nimepost kuhusu uncle wangu aliyechanganyikiwa. Huwezi amini moderators wakatoa wakauamisha uzi wangu na kuupeleka kwenye jukwaa la utani. Eti hawaamini kuwa yale ni maisha ambayo watanzania wanaishi. Wanakataa kuwa kuna shule za nursery watoto wanalipa milioni 27 kwa mwaka! Tutafika tuendako kweli?

Juzi Mheshimiwa Mwakyembe amesema hawezi kukosololewa na MTU wa elimu ndogo kwa kuwa yeye ni msomi wa degree nne. Watu wamepanic wametukana hadi wanatia huruma.

Akilini nikajiuliza kama degree nne wanatukana, vipi Mzee wangu Rutashoborwa mwenye degree 7 na anampango wa kuongeza tatu, siku akiitisha press conference na kusema hivyo so nchi itamtenga.

Mimi binafsi, sijaona kosa la Mwakyembe, degree nne ni za kwake, darasa la saba ni la kwako. Kila mtu ana uwezo wake na tuuheshimu.

Tukiheshimiana tutapendana, tukipendana tutaheshimiana.

Jambo Tanzania.
Kama ndio hivyo kwanini huyo Mwakyembe anamdharau huyo wa la saba?Mwakyembe huyo huyo akumbuke kuwa wa darasa la 7 huko kyela ndio wapiga kura wake
 
Ukisikia mtu akijisifia eti nshomile, ujue huyo hata la nne hakumaliza. By the way kuna common sense na elimu ya vitabuni Most of people with degrees hawana common sense sababu wanawaza vitabu. Watu wa darasa la nne kama mimi tunawaza watu na jinsi ya kubadili dunia like climate change and so forth siyo kuongelea upupu.
 
Hi everyone in here!

Bila kupindapinda nasema hivi: Watanzania wengi hasa hasa maskini na wasio na elimu dunia wanasumbuliwa na complex inferiority yaani umaskini wao na udogo wa elimu yao unawafanya wawaone matajiri na wenye elimu kama maadui. Kwa tabia hizi tutafikia kweli uchumi wa viwanda?

Juzi hapa nimepost kuhusu uncle wangu aliyechanganyikiwa. Huwezi amini moderators wakatoa wakauamisha uzi wangu na kuupeleka kwenye jukwaa la utani. Eti hawaamini kuwa yale ni maisha ambayo watanzania wanaishi. Wanakataa kuwa kuna shule za nursery watoto wanalipa milioni 27 kwa mwaka! Tutafika tuendako kweli?

Juzi Mheshimiwa Mwakyembe amesema hawezi kukosololewa na MTU wa elimu ndogo kwa kuwa yeye ni msomi wa degree nne. Watu wamepanic wametukana hadi wanatia huruma.

Akilini nikajiuliza kama degree nne wanatukana, vipi Mzee wangu Rutashoborwa mwenye degree 7 na anampango wa kuongeza tatu, siku akiitisha press conference na kusema hivyo so nchi itamtenga.

Mimi binafsi, sijaona kosa la Mwakyembe, degree nne ni za kwake, darasa la saba ni la kwako. Kila mtu ana uwezo wake na tuuheshimu.

Tukiheshimiana tutapendana, tukipendana tutaheshimiana.

Jambo Tanzania.
Sie wenye degree tatu tu comment wapi??
 
Tatizo la Mganga HM ni kuacha kutumia kichwa kufikiri na kusema kwa makusudi kabisa na badala yake kuamua kutumia tumbo..siku zote tumbo huwa halina Mantiki,bali hufanya lolote ili kumridhisha mshibishaji wake..

Mungu Ibariki Tanzania
Mungu Ibariki Chakwale
Mungu Ibariki Gairo
 
Hi everyone in here!

Bila kupindapinda nasema hivi: Watanzania wengi hasa hasa maskini na wasio na elimu dunia wanasumbuliwa na complex inferiority yaani umaskini wao na udogo wa elimu yao unawafanya wawaone matajiri na wenye elimu kama maadui. Kwa tabia hizi tutafikia kweli uchumi wa viwanda?

Juzi hapa nimepost kuhusu uncle wangu aliyechanganyikiwa. Huwezi amini moderators wakatoa wakauamisha uzi wangu na kuupeleka kwenye jukwaa la utani. Eti hawaamini kuwa yale ni maisha ambayo watanzania wanaishi. Wanakataa kuwa kuna shule za nursery watoto wanalipa milioni 27 kwa mwaka! Tutafika tuendako kweli?

Juzi Mheshimiwa Mwakyembe amesema hawezi kukosololewa na MTU wa elimu ndogo kwa kuwa yeye ni msomi wa degree nne. Watu wamepanic wametukana hadi wanatia huruma.

Akilini nikajiuliza kama degree nne wanatukana, vipi Mzee wangu Rutashoborwa mwenye degree 7 na anampango wa kuongeza tatu, siku akiitisha press conference na kusema hivyo so nchi itamtenga.

Mimi binafsi, sijaona kosa la Mwakyembe, degree nne ni za kwake, darasa la saba ni la kwako. Kila mtu ana uwezo wake na tuuheshimu.

Tukiheshimiana tutapendana, tukipendana tutaheshimiana.

Jambo Tanzania.
Akafie mbele na hizo degree Zake saba, migomba inakauka kwa mnyauko, kahawa haizalishi kama zamani bado unaleta habari za degree saba, ameshindwa kuZitumia hizo degree Zake kumaliza hayo matatizo... Pathetic fool
 
Tukiheshimiana na kupendana hatuta kejeli wasio kuwa na degree na kuwaona hawafai wala kutukosoa hawawezi.
 
Huyo anajiita msomi ila utaona amesahau kucheua kwa mpagilio sahihi alichomezeshwa.
Hata ukimwambia aeleze kwa lugha ya kiswahili alichoandika hapo hawezi kwa sababu alisoma kama kasuku.
Kufikiri hakuhitaji degree
Complex inferiority =
Inferiority complex =
 
Hi everyone in here!

Bila kupindapinda nasema hivi: Watanzania wengi hasa hasa maskini na wasio na elimu dunia wanasumbuliwa na complex inferiority yaani umaskini wao na udogo wa elimu yao unawafanya wawaone matajiri na wenye elimu kama maadui. Kwa tabia hizi tutafikia kweli uchumi wa viwanda?

Juzi hapa nimepost kuhusu uncle wangu aliyechanganyikiwa. Huwezi amini moderators wakatoa wakauamisha uzi wangu na kuupeleka kwenye jukwaa la utani. Eti hawaamini kuwa yale ni maisha ambayo watanzania wanaishi. Wanakataa kuwa kuna shule za nursery watoto wanalipa milioni 27 kwa mwaka! Tutafika tuendako kweli?

Juzi Mheshimiwa Mwakyembe amesema hawezi kukosololewa na MTU wa elimu ndogo kwa kuwa yeye ni msomi wa degree nne. Watu wamepanic wametukana hadi wanatia huruma.

Akilini nikajiuliza kama degree nne wanatukana, vipi Mzee wangu Rutashoborwa mwenye degree 7 na anampango wa kuongeza tatu, siku akiitisha press conference na kusema hivyo so nchi itamtenga.

Mimi binafsi, sijaona kosa la Mwakyembe, degree nne ni za kwake, darasa la saba ni la kwako. Kila mtu ana uwezo wake na tuuheshimu.

Tukiheshimiana tutapendana, tukipendana tutaheshimiana.

Jambo Tanzania.
Naamini ulichoandika sicho ulichofikiria, kama ndicho mshauri waziri nafasi ya uongozi Wa umma haimfai.

Apambane na familia yake , ambako anachofikiri na kuzuia wasio na elimu wasimshauri ndiko panapomfaa.

Jpm anasimama njiani na kupokea ushauri toka kwa wananchi na kuwatumbua wasomi kwako imekaaje.
 
Hi everyone in here!

Bila kupindapinda nasema hivi: Watanzania wengi hasa hasa maskini na wasio na elimu dunia wanasumbuliwa na complex inferiority yaani umaskini wao na udogo wa elimu yao unawafanya wawaone matajiri na wenye elimu kama maadui. Kwa tabia hizi tutafikia kweli uchumi wa viwanda?

Juzi hapa nimepost kuhusu uncle wangu aliyechanganyikiwa. Huwezi amini moderators wakatoa wakauamisha uzi wangu na kuupeleka kwenye jukwaa la utani. Eti hawaamini kuwa yale ni maisha ambayo watanzania wanaishi. Wanakataa kuwa kuna shule za nursery watoto wanalipa milioni 27 kwa mwaka! Tutafika tuendako kweli?

Juzi Mheshimiwa Mwakyembe amesema hawezi kukosololewa na MTU wa elimu ndogo kwa kuwa yeye ni msomi wa degree nne. Watu wamepanic wametukana hadi wanatia huruma.

Akilini nikajiuliza kama degree nne wanatukana, vipi Mzee wangu Rutashoborwa mwenye degree 7 na anampango wa kuongeza tatu, siku akiitisha press conference na kusema hivyo so nchi itamtenga.

Mimi binafsi, sijaona kosa la Mwakyembe, degree nne ni za kwake, darasa la saba ni la kwako. Kila mtu ana uwezo wake na tuuheshimu.

Tukiheshimiana tutapendana, tukipendana tutaheshimiana.

Jambo Tanzania.
Kuna Mzee mmoja alikuwa serikalini, alikuwa katibu mkuu wizara moja nyeti sana.

Mzee ana Ph.D tangu kina Magu hawajafika kukaa mjini Dar.

Basi, jamaa alikuwa na nyodo sana. Akawa anasema hawezi kuongea na mtu asiye na degree (sasa sijui nyumbani kwake kila mtu, mpaka watoto, walikuwa na degree?).

Basi, jamaa kikapanda kikashuka, akabambikiwa bonge la kesi. Kisiasa tu inaonekana. Waziri wake alipiga mambo halafu yeye akasainishwa kama Katibu Mkuu, hakuhakiki vizuri.

Jamaa akabambikiwa kesi ya uhujumu uchumi akanyea debe kwa miaka kadhaa.

Sasa basi, kilichotokea ni kwamba, wale rafiki zake karibu wote wasomi wasomi wenye ma degree na ma Ph.D wakawa wanaogopa hata kwenda kumsalimia jela. Msomi mmoja tu ndiye akawa ngangali anaenda. Wasomi wenzake wakawa wanamwambia wewe unajihatarisha kwenda kumsalimia huyu, watu wa serikali watakuona na wewe unahusika kwenye njama zake. Yule mshua aliyeenda kumuangalia akasema huyu ndugu yangu tumetoka naye mbali. Wengine wote waliokuwa wanaenda kumjulia hali gerezani ni watu ambao hawakuwa na degree ambao aliwadharau sana alipokuwa huru.

Habari hii ilinifundisha sana kuishi na watu kwa heshima na kuchukulia kwamba hatujui kesho itakuwaje.

Kuwa na degree si lazima kumaanishe una akili zaidi ya asiye na degree.

Pengine kuwa na degree maana yake ni kwamba ulipata nafasi nzuri ya kuwa na degree zaidi ya wengine ambao hawana degree. Hawana degree si kwa sababu hawana akili, pengine hawakupata nafasi tu.

Kusoma kisomo rasmi kunasaidia sana kupanua mawazo na kumfanya mtu awe "well rounded" wanavyosema Waingereza.

Lakini kupima uwezo wa mtu kwa kuangalia degree tu ni ulimbukeni wa degree.

Ukisema hujaona kosa la Mwakyembe, degree nne ni za kwake na moja ni ya mtu mwingine, halafu hapo hapo ukasema tuheshimiane. Unajipinga mwenyewe.

Mwakyembe kamvunjia mtu heshima kwa maneno ya kashfa ya kulinganusha degree nne na moja. Wewe unasema tuheshimiane. Halafu unasema hujaona kosa la Mwakyembe.

Unaelewa hata unachotaka ni nini?

Unataka tuheshimiane bila kujali degree au unataka wenye degree nne waachiwe kuwakejeli wenye degree moja?
 
Umenielewa vibaya?
Samahani, umesoma mpaka la ngapi?

najua kusoma na kuandika

japo academically sina cheti chochote.

...tofauti na cheti cha komunio,kipaimara na cha hospitali

*Mkuu kwani degree ni nini?
 
Hao waliokupa vyeti hivyo...wameajiliwa kwa sababu walisoma (wana degree) hizo unazoziulizia.
 
Back
Top Bottom