Mwakyembe: Joshua Nassari akamatwa akiwa anataka kuingia bungeni na Chupa ya kilevi akiwa amelewa

Mtu alishazoea kuudanganya Umma ni vigumu sana Kuaminika!
Kwamba Richmond ni uongo ?
Kwamba Nasari hajakutwa amelewa akiwa chupa ya Konyagi bungeni ?
Kwamba Mdee havuti bange kabla ya kuingia bungeni ?
Acheni unafiki vijana, nchi hii inashangaza sana kuona vijana ndio wanaongoza kwa unafiki, tena wengine wasomi kabisa.
 
Hakuna lolote hapo,hivi huyo NAsari hana akili akaingia na chupa Bungeni??Mwakyembe naona dawa inampeleka ndiko siko
Kwahyo unakataa hakuingia na konyagi huku kalewa? We nani sasa kazi kutetea na kubisha vitu ambavyo vimetokea, mbona hakuna mbunge yoyote aliyemuona aliyekanusha kuwa haikuwa konyagi? Some times tuweni positive
 
Ngoja nione kama kuna Nyumbu mwenye nguvu ya kurudisha tena ishu ya Richmond Bungeni......balaaaaa kubwa
Nani mwingine zaidi ya mwenye ushahidi wa ishu yenyewe na kasema mwenyewe waliamua tu kumwacha Lowasa.....Kwa nini asiirudishe ishu bungeni ijadiriwe kwa kina?
Anataka nani airudishe bungeni wakati yeye alilipwa pesa nyingi tu na serikali kushughulikia ishu hiyo na haikuleta toja iliyotakikana...
 
Nani mwingine zaidi ya mwenye ushahidi wa ishu yenyewe na kasema mwenyewe waliamua tu kumwacha Lowasa.....Kwa nini asiirudishe ishu bungeni ijadiriwe kwa kina?
Anataka nani airudishe bungeni wakati yeye alilipwa pesa nyingi tu na serikali kushughulikia ishu hiyo na haikuleta toja iliyotakikana...
Wale wanaoamini Lowasa ameonewa, amechafuliwa jina,
wale ambao kila uchwao wanalileta suala la Richmond tena bungeni kama Nasari au Serukamba alivyowahi kufanya, kama bado wanaamini Lowasa alionewa walilete bungeni tena na sio kuongelea vichochoroni au kwa kifupi kifupi.
 
Kwahyo unakataa hakuingia na konyagi huku kalewa? We nani sasa kazi kutetea na kubisha vitu ambavyo vimetokea, mbona hakuna mbunge yoyote aliyemuona aliyekanusha kuwa haikuwa konyagi? Some times tuweni positive

Hakuingia na Konyagi wala hakuingia amelewa.Swali hivi unajua namna ya kuingia Bungeni??Hata ukiwa na Chupa ya maji ya UHAI huruhusiwi kuingia navyo,unaacha getini.

Sasa ushahidi unao kama aliingia na KONYAGI na alikuwa kalewa??Msigwa alimjibu Mwakyembe aache uongo atoe ushahidi kama NAsari alilewa na alinyang'anywa chupa ya konyagi!Uongo mwingine wamalizie Lumumba
 
Gullam Bhai aliyeibua hoja ni Nassari, kuwa Lowasa Alionewa, basi alete ushahidi na suala la Richmond lifuatiliwe kwa umakini na asiye na dhambi asafishwe na alipwe fidia ya kuharibiwa Jina.

Mwakembe amezungumza kwa kujiamini, NA vyama vya upinzani viliunga mkono ripoti ya mkwembe NA kwa kujiamini waliiweka kwenye tovuti Yao NA kumtaja Lowasa kama Fisadi No 1. Sasa kipi kilichobadilika, yaani imewachukua miaka 7 kujua alionewa???
Lowasa hakuonewa hata kidogo,mh Mwakyembe alipata ushahidi toka source 75,alikuwa waziri wa katiba na sheria, imeanzishwa mahakama ya mafisadi na msomi wa sheria mh Mwakyembe akiwa waziri,kwa nini alipata kigugumizi cha kusweka mahakani ahukumiwe na afungwe?
Tatizo ni nini? kwa nini Lowasa anaogopwa kiasi hicho?
 
Dah........ Hivi huko Bungeni hakuna utaratibu wa kamati ya maadili ya Bunge kushughulikia vitu kama hivi mpaka TISS washughulikie?............ Hivi hawa TISS hawawezi kuunganisha nguvu na vyombo vya ulinzi kumtafuta Ben Saanane?
 
mtanzania1989: Nilifikiri unaakili kumbe unatupotezea muda tu. Kama kujitetea ilikuwa iwe mbele ya bunge sasa kwanini Mwakyembe anasema Lowassa kabla ya kuhojiwa na kamati yeye akakimbilia kujiuzuru?. Kama ni hivyo walitaka kumhoji nini kama kujitetea ni mbele ya bunge? Leo ,wakyembe analalamika kwamba walitaka kwenda kumhoji Lowassa lakini akakimbilia kujiuzuru. Ukiwa mwongo au ukimtetea mwongo uwe na kumbukumbu.
 
Kwa hiyo chupa ya Konyaga amewekewa na hawara wake au ?
Bado kidogo utaona maajabu mkuu, watasema TISS ndio walimpa hiyo konyaji kwa lazima. na kama walipongeza Kitwanga alipotumbuliwa kwa sababu ya Pombe, basi tunaamini hata kwa hili watamkemea Nasari maana lake in kubwa kuliko LA Kitwanga. Najua ujasili huo hawana maana wote ni wapiga bapa waliokubuu. Ova
 
Nadhani unachanganya madesa, Chadema walimtuhumu Lowassa before Richmond SAGA na Richmond ilipokuja ni kama ili finalize the excise


Sasa baada ya tuhuma, serikali ilichukua hatua gani kufuatilia tuhuma na baada ya kujilridhisha kuchukua hatua za kisheria na uzuri ni kwamba ushahidi wote ulikuwa umekamilika?

Mwakyembe atuondolee mauwongo yake hapa ya kuwafanya watu wote wapumbavue!. Mwekyenmbe anastahil kuwa jela kwa kuhujumu taifa. Kwa nini alijua fika Lowasa ni mharibifu na ushahidi ulikamilika, wasimpeleke mahakamani kama shria inavyosema?

Mtu akijiuuzuru uongozi ndiyo adhabu ya makosa yake na jinai? Sheria namba ngapi hiyo na ya mwaka gani?

Kazi ya seriali ni nini kama inafuga waharifu na kusubiri kutumia tuhuma zao kisiasa?

Mwakenyemb eni mpubvuveie sana!
 
Sasa kilichomshinda kumshughulikia that time ni kipi!!?

Yaani, ilitakiwa tuanzae na yeye Mwakyembe kwa kushindwa kufanya kazi yake sawasawa!! Rais ameshasikia .... kama yuko serious basi amuondoe huyu mtu kwenye hayo madaraka. Kama alishindwa kulishughulikia Richmind miaka 10 iliyopita na leo anaadmit tutawezaje kumuamini kuwa anafanya kazi zake sawasawa!! Ten years down the line atakuja kutwambia tuyalete mambo ya Bashite na Nape Bungeni kuyajadili!
Ripoti ya Mwakyembe ndio iloyomfanya aone aibu ajiudhuru. Acha longolongo toeni Nyagi/bapa bungeni
 
Haya ni matumizi mabaya ya Kitengo chetu cha Usalama wa Taifa. Badala ya kuhangaikia kulitumikia Taifa ya kuwatafuta watekaji wa watu na wavamizi wa studio za watu wao wanahangaika na wabunge wa upinzani! Kazi kama hizo hao watumishi wa bunge wangefanya tu mbona? Basi wawe wanapima na ubongo wa akina mwakyembe kama upo sawa.
 
Swala la ulevi kwa wabunge wetu limekuwa tatizo sugu. Hii ni aibu kwa Taifa kuwa na wabunge wasiotambua wajibu wao kwa wananchi. Kuingia Bungeni akiwa amelewa muda wa kazi ni dharau kwa wana arumeru mashariki ambao wamemwamini na kumpa jukumu la kuwawakilisha bungeni. Sioni kama ni sahihi kwa wabunge wa aina hii , wasioheshimu wajibu wao kurudi tena bungeni bunge lijalo.

Mh. Spika tunakuomba uwe unaweka waangalizi kwa wabunge kabla ya kuingia bungeni, ili kuepusha aibu kama hii, na kuligeuza bunge letu kijiwe cha wahuni.
Tatizo alietoa maelezo ya Nassari kulewa ni Mwakyembe ambaye hata hatumwamini. Hii ndo shida kuzuia bunge live,tulitakiwa tumwone amelewa lakini kwa hapa ni kama platform aliachiwa Mwakyembe aitawale. Tukimsikia Nassari ndo tutajua ukweli, kwa historia inayojulikana kwa wengi ni kuwa Nassari hatumii pombe lakini lolote laweza kutokea maana kunywa au kutokunywa ni maamzi yake lakini ni vizuri tupate kwanza ukweli toka kwa watu wengine na sio kwa Mwakyembe.
 
Kwamba Richmond ni uongo ?
Kwamba Nasari hajakutwa amelewa akiwa chupa ya Konyagi bungeni ?
Kwamba Mdee havuti bange kabla ya kuingia bungeni ?
Acheni unafiki vijana, nchi hii inashangaza sana kuona vijana ndio wanaongoza kwa unafiki na unyumbxx, tena wengine wasomi kabisa.


Tuwekee Ushahidi hapa..
 
Back
Top Bottom