Huwa tunategemea wenye kiwango hicho cha elimu wa ongoze kwa mfano bila upendeleo huku tukiamini wao kusoma kote kumewatanua upeo wa kuyatafakuri mambo....Cha kusikitisha hawa PHD holders especially kutoka CCM daily wamekua wakitudhihirishia ni kwa jinsi gani wao ni ma educated fools.Sasa kama hakuna shule inayofundisha busara, ilikuwaje yeye ahoji umahiri wa PhD katika kuongoza wabunge!
Richmond ni ya Kikwete hakuna aliyetubu wala nini.Sio shule tu
Chadema ni kama kanisani
Unaiba ukiwa CCM
Ukija chadema unatubu na unasamehewa
Unakuwa msafi
Tinakupa ugombee urais [emoji23][emoji23][emoji23]
Lusinde ni daraja la saba lakini ni mjanja Kuliko Mwakyembe ambaye anajiita msomi wakati kichwani hana Taaluma anamiliki vyeti vya Kugushi na kununua.kwa haya aliyozungumuza bora hata lusinde hivi lini mpiasho itaisha bungeni? kwa nini wasiitungie sheria mbunge anayechangia michango ya hovyo bungeni akatwe posho.
Mwakyembe huyu huyu?
bora Nape mara 100 kuliko Mwakyembe
Mwakyembe: Hotuba ya Magufuli imevunja rekodi ya dunia
Kule mbeya wananchi wanajua Mwakyembe si msomi bali ni mjanja janja ndiyo maana hawakumpigia kura akaamua kuchachua matokea akapora ushindi kwa Goli la mkono. Elimu ya Mwakyembe ni Feki kama yalivyokuwa yale mabehewa feki aliyoyanunua kwa kutumia mbinu feki.Another episode from Dr.Kilaza.Eti anajifanya msomi kwa kudiscuss watu badala ya issues.Anajiona mjanja kumbe anajidhalilisha.Bado safari ndefu tunayo.
Lusinde ni daraja la saba lakini ni mjanja Kuliko Mwakyembe ambaye anajiita msomi wakati kichwani hana Taaluma anamiliki vyeti vya Kugushi na kununua.
Sugu alishinda kwa kishindo lakini Mwakyembe kutokana na wananchi kujua ni Mwizi hawakumchagua bali alichakachua matokeo akashinda kwa Goli la mkono.
Mwakyembe anaishi kwa kujipendekeza kwa Magufuli mda wote akihofia kutumbuliwa JIPU kutokana na kushiriki Madili mengi kila kona alikopita ameiba.Why???????
Wema Sepetu alijaribu kugombea Lakini alitoswa licha ya kutumia pesa nyingi.Watu wanamchagua Sugu kwa sababu ya Hip Hop na siyo kwa sababu ya uwezo wake, hiyo ni kawaida Dunia nzima hasa vijana ndiyo maana utaona leo hii Wema Sepetu akiamua kugombea Uraisi atapata kura nyingi anaweza kushinda lkn haimaanishi kwamba ana uwezo wa kuongoza ni kwamba tu sehemu kubwa ya binadamu wa Dunia hii ni simple minds na hao ndiyo wapigaji kura, na ndyo maana Dunia inaongozwa akina Kim Kardashian, George Clooney &Co. mamovie stars, wanamuziki n.k hata Profesa J hajashinda kwa sababu nyingine yoyote ile isipokuwa Hip hop!
Mkuu usiwe muongo mbona wema hakufika mbali alipojaribu?Watu wanamchagua Sugu kwa sababu ya Hip Hop na siyo kwa sababu ya uwezo wake, hiyo ni kawaida Dunia nzima hasa vijana ndiyo maana utaona leo hii Wema Sepetu akiamua kugombea Uraisi atapata kura nyingi anaweza kushinda lkn haimaanishi kwamba ana uwezo wa kuongoza ni kwamba tu sehemu kubwa ya binadamu wa Dunia hii ni simple minds na hao ndiyo wapigaji kura, na ndyo maana Dunia inaongozwa akina Kim Kardashian, George Clooney &Co. mamovie stars, wanamuziki n.k hata Profesa J hajashinda kwa sababu nyingine yoyote ile isipokuwa Hip hop!
Sugu na Mwakyembe wote wanatoka mbeya, ila mbunge wa mbeya wa mwnanchi wote ni Sugu.
Mwakyembe kibaraka cha ikulu, sugu ni kibaraka cha wana mbeya,
PHD za Tanzania hazina maana maana kila phd holder hajiamini, kulia lialia tuu walau maisha yaende