Mwakyembe: ATCL Kununua Ndege Mbili Mpya!

Mwakyembe: ATCL Kununua Ndege Mbili Mpya!

Keep on dreaming

==> Everything u see in this World ...started on DREAMING...or I.e birth of an IDEA....if u don't hv dreams UR DEAD WHILE WALKING....OR DEAD WALKING HUMAN BEING....

==> We believe in Dr. Mwakyembe...& we all keep DREAMS ALIVE...then Dreams become ACTIONS....

==> So BIG YES ...we keep ON DREAMING...!!!
 
..waziri mnaa tu huyu...nchi hii kama watawala wangetaka tungeweza kuwa na ndege hata za dreamliner(from Boeng)hata sawa na Kenya.....nasema kama watawala wangetaka hili lingewezekana....kwa kuangalia wizi unaotokea huko kwenye madini yetu na malia asili na mapesa yanayoibwa kule BOT.....tungeweza kabisa kuwa na ndege mpya kabisa za maana...tena kwa viwanja hivi hivi vya ndege tulivyonavyo...maana kwenye viwanja tulivyonavyo zinatua ndege zote kubwa toka kwa wenzetu(KQ,ethiopian, KLM, british airways, swissair etc etc).....Kwa hiyo sisi kutokuwa na ndege za maana wala si viwanja....bali kukosa utashi kwa watawala wetu na pia kuibiana wenyewe kwa wenyewe.....Najiuliza sana mbona watawala wanaweza kununua magari ya kifahari kila wizara ..tena brand new.....Inakuwaje wanaridhika taifa hili kukosa ndege za maana??.....

..HIvi kweli pamoja na watawala kusafiri huko nje kwa kupanda ndege za wenzetu ..haiwaumi wao kutokua na ndege za taifa lao??...Kwanini wanashindwa kununua ndege mpya kubwa kwenye nchi hii yenye utajiri wa mali asili na utalii????..kuibiana ndio shida ya taifa hili...tungeweza kuwa na kila kitu cha maana...kama tungeacha kuibiana...

Wahabeshi wana ndege zaidi ya 100 na shirika lao linamilikiwa na serikali kwa asilimia 100! Uchumi wao hautofautiani sana na wetu. Yaani unajiuliza tatizo ni nini hasa, hivi hatuna uchungu wala 'wivu' (wa maendeleo)?
 
Hujitambui wewe mtetezi wa mafisadi. Hili la watu kutumia ID zenye majina ambayo si ya kweli naona linakutafuna sana na ndio maana mara nyingi tu hupenda kulizungumza ndio nikakwambia nenda kwa Mkamia ukamwambie asiruhusu wanachama hapa watumie majina bandia, halafu unaruka futi 10,000!!!! JF imeruhusu wanachama wake kutumia hizi ID na Serikali inalijua hili kwa miaka mingi sasa na haijatia neno wewe kama nani hadi uje kuhoji watu kutumia ID ambazo wamiliki wameziruhusu?

Ndio ni unafiki tena mkubwa sana pale Waziri anakaa kimya bila kutia neno huku Wizara yake ikiwa imepewa 20% ya bajeti waliyoomba. Kisha kujitetea pale ambapo miradi mbali mbali ya maendeleo inakwama. Kwanini Waziri kama huyu badala ya kusubiri kuwekwa kiti moto, asiwaite Wabunge au kwenda kwenye media kuelezea matatizo yaliyoisibu Wizara yake ya kushindwa kutimiza miradi mbali mbali ya maendeleo.

Kajifunze upya maana ya neno unafiki badala ya kukurupuka. Mpaka hapo taratibu za JF zitakapobadilishwa na kutoruhusu kutumia ID za majina bandia, 99.9% hawajafanya unafiki wa aina yoyote ile.

brother kuna kitu nadhani huelewi au unachanganya. Kutumia ID fake sio tatizo, kwa vile JF inaruhusiwa. Issue hapa ni kuwanyooshea vidole wengine ukiwaita wanafiki, wakati wewe mwenyewe umeficha ID yako halisi. Ningekuona sio mnafiki endapo ungekuwa unatumia jina lako halisi kukosoa wengine. Nje ya hapo huna moral authority kjwaita wengine wanafiki. Halafu mtetezi wa mafisadi ni nani? Wewe ni mtetezi wa nani?
 
Hahahahahah lol!!! unaendelea kuonyesha upumbavu wako kwa kina cha juu kabisa. Wamiliki wa JF miaka waliwahi kukamatwa na kutiwa ndani. JF ikafungwa kwa muda wa siku kadhaa na Polisi baada ya kumaliza uchunguzi wao hawakuona lolote lililostahili kunyooshewa kidole au sheria yotote ya nchi kuvunjwa. Hivyo waliachiwa huru bila kufunguliwa mashtaka yoyote yale.

Sasa wewe mnafiki unanyooshea kidole kama nani ikiwa vyombo vya dola havikuona dosari yoyote!? Kama kutumia ID hizi inaruhusiwa na wamiliki wa JF unafiki uko wapi tena!? Acha kuwa mtetezi wa mafisadi wewe!!!! lazima utakuwa fisadi au unanufaika kupitia ufisadi ndio maana hili la watu kuikosoa Serikali na watendaji wake mbali mbali hapa linautesa moyo wako. Nimekwambia huijui maana ya unafiki ungekuwa unaijua wala usingeandika pumba zako za kutaka kuonyesha kitu ambacho kimeruhusiwa na wamiliki wa jamvi hili kikifanywa na wanachama ni unafiki.

Hiyo moral authority unayozungumzia hapa mbona polisi ilipochunguza JF haikuiona na hivyo kuifungia JF milele na kuwafungulia mashtaka wamiliki wa JF!? JF ipo hewani kwa miaka 8 sasa na Serikali haijaona unafiki wa aina yoyote katika taratibu za uanachama hapa. Acha upumbavu wako wa kutumiwa kutetea ujinga mbali mbali unaoendelea nchini. Kajifunze Kiswahili kwanza kabla ya kukurupuka na kuropoka upumbavu.

Dk. Harrison Mwakyembe ameliambia Bunge punde tu kuwa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) litanunua ndege mbili mpya katika mwaka ujao wa fedha.

Ufahamu wangu ndege mpya ainunuliwi Kama chapatti dukani. Inabidi utoe order.. kuna wenye nazo wamesha order hadi 2017.... labda kama tutanunua used... Maana Bongo hata magari used toka Japani yanaitwa mapya...
 
Hahahahahah lol!!! unaendelea kuonyesha upumbavu wako kwa kina cha juu kabisa. Wamiliki wa JF miaka waliwahi kukamatwa na kutiwa ndani. JF ikafungwa kwa muda wa siku kadhaa na Polisi baada ya kumaliza uchunguzi wao hawakuona lolote lililostahili kunyooshewa kidole au sheria yotote ya nchi kuvunjwa. Hivyo waliachiwa huru bila kufunguliwa mashtaka yoyote yale.

Sasa wewe mnafiki unanyooshea kidole kama nani ikiwa vyombo vya dola havikuona dosari yoyote!? Kama kutumia ID hizi inaruhusiwa na wamiliki wa JF unafiki uko wapi tena!? Acha kuwa mtetezi wa mafisadi wewe!!!! lazima utakuwa fisadi au unanufaika kupitia ufisadi ndio maana hili la watu kuikosoa Serikali na watendaji wake mbali mbali hapa linautesa moyo wako. Nimekwambia huijui maana ya unafiki ungekuwa unaijua wala usingeandika pumba zako za kutaka kuonyesha kitu ambacho kimeruhusiwa na wamiliki wa jamvi hili kikifanywa na wanachama ni unafiki.

Hiyo moral authority unayozungumzia hapa mbona polisi ilipochunguza JF haikuiona na hivyo kuifungia JF milele na kuwafungulia mashtaka wamiliki wa JF!? JF ipo hewani kwa miaka 8 sasa na Serikali haijaona unafiki wa aina yoyote katika taratibu za uanachama hapa. Acha upumbavu wako wa kutumiwa kutetea ujinga mbali mbali unaoendelea nchini. Kajifunze Kiswahili kwanza kabla ya kukurupuka na kuropoka upumbavu.

Brother, sijui tu ni kipi huelewi. Katika wingi wa maelezo yako bado tu hujajibu hoja kwa nini unatumia ID isiyo halisi kuwakosoa na kuwaita wengine wanafiki, achilia mbali kanuni za JF na Polisi kuwakamata wamiliki wa JF , ambalo ni suala jingine. Hoja kuhusu wewe ni kuwa kama sio mnafiki pia, au nitumie neno jingine, uoga, kwa nini usitumie jina lako halisi kukosoa hao unaowaita wanafiki? Pia nilikuuliza mtetezi wa mafisadi ni nani? Wewe ni mtetezi wa nani?
 
Sina sababu yoyote ya kujibu maswali yako ya kipumbavu. Uelewa wako ni finyu sana ndio maana unashindwa kuelewa jambo dogo sana kuhusu kutumia au kutotumia majina ya kweli. Hivi unadhani Serikali ikitaka kujua wanaoshiriki mijadala hapa ni akina nani itashindwa kufanya hivyo!? Jaribu kutafakari mambo kwa kina badala ya kukurupuka na kuropoka ili tu ubadili mwelekeo wa mjadala.

brother, issue hapa ni uadilifu kwa maana pana. Hivi kweli ili uwe muadilifu unahitaji Serikali iwe nyuma yako? Kwa kutumia mfano mdogo tu wa JF na kanuni za kuruhusu members kutumia anonymous ID's, ni kwamba hiyo pia haizuii mtu kutumia jina lake halisi. Sasa kwa hoja yangu ni kuwa kwa vile wewe unawanyooshea kidole wengine kuwa ni wanafiki, basi ungekuwa na moral authority kuwanyooshea hivyo endapo nawe ungetumia jina lako halisi. Ni sawa na kusema kuwa unahitaji Serikali au sheria uweze kuwa na maadili, basi una matatizo. Kwa argument yako hiyo ukipewa ofisi ya umma utafanya ufisadi kwa kigezo cha kwamba hakuna sheria au kanuni kukuzuia, endapo tu umeshindwa kukosoa watu kwa kutumia jina lako halisi.
 
Huujui uadilifu wewe!! Wacha kubwabwaja na kutoa povu kuhusu uadilifu. Wewe mwenye maadili huyaoni madudu chungu nzima katika hii Serikali dhalimu!? Katika kipindi cha miaka saba cha uanachama wako hapa JF ni lini muadilifu wewe mwenye kutumia ID ya jina lako la kweli uliwahi kuandika chochote kuikosoa Serikali hii dhalimu au kukemea ufisadi uliokithiri na madudu mengine nchini!? Wewe ni kibaka mwingine na mnafiki mkubwa ambaye pia ni fisadi na mtetezi wa mafisadi kazi yako ni kutumiwa kuja hapa kubwabwaja na kutoa povu kuhusu ID zenye majina fake.

Kwa taarifa yako wamiliki, uongozi na wanachama walio wengi wa JF hawakubaliani na wewe. Usidhani kila muajiriwa wa Serikali ni fisadi kama ulivyo wewe na hao unaojaribu kuwatetea. Utabwabwaja kwa kipindi kirefu kijacho lakini tutaendelea kuwakosoa watendaji dhaifu na mafisadi wote ndani ya hii Serikali dhalimu.

Masahihisho: Moja, hakuna popote pale nimesema kuwa Mimi ni muadilifu. Mbili, sijui ni lini niliwahi kupata taarifa kutoka kwa wamiliki, uongozi na wanachama walio wengi wa JF kuwa hawakubaliani na Mimi, ingawa hata hujafafanua kutokubaliana katika nini. "Kukemea madudu" ndiyo suluhisho? Tatu, sijawahi kuwa kibaka au fisadi, kwa namna yoyote unayoiwaza.

Note: mbona ile hoja kuu ya wewe kujificha kwa ID isiyo yako, na kuwaita wenzio wanafiki, umeikwepa? Manake mpaka muda huu unazunguka tu brother. Nirudie tena, endapo utaendelea kutumia ID isiyo halisi kukosoa wenzio na kuwaita wanafiki, brother kimaadili unakosa nguvu, unless uje kama "whistleblower", angalau unaweza kujenga uaminifu wa hoja zako.
 
Hongera Dr Mwakyembe. Piga kazi matendo yako yatawakalisha kitako. Tunakuamini
 
Acha upumbavu wewe, kama unadhani unaweza kujificha hapa JF kwa vile tu unatumia ID ambayo si ya kweli basi bado una safari ndefu sana ya kuelewa kuhusu mtandao. Uongozi wa JF haukuweka sheria kwamba wale wote ambao hawatumii ID zao za kweli hawana ruhusa ya kuikosoa Serikali, pili 99.9% ya wanachama hapa wanatumia ID hizo usizozitaka wewe kukosoa Serikali. Kwani mpaka upewe taarifa na uongozi wa JF kwamba hawakubaliani nawe ndio uelewe hivyo? Wakupe taarifa wewe kama nani!? Angalia post zako kama umewahi kukosoa lolote kuhusu udhalimu wa aina mbali mbali unaoendelea nchini.

Kwanini hukosoi kwa sababu mnafiki wewe ni fisadi na unanufaika kwa namna moja au nyingine na ufisadi ndio maana mara nyingi huja hapa kuvuruga majadiliano kwa kuandika pumba zako. Hilo swali lako la kipumbavu nilijibu mara ngapi ili uelewe kama nimekujibu!?

Hujitambui wewe una kichwa kizito sana cha kuelewa. Ingekuwa kuikosoa Serikali kwa kutumia ID ambayo si ya kweli hakuna nguvu basi MACCM wasingesumbuka kuwaajiri watu kuwanunulia computers na kuwalipa pesa chungu nzima kila siku na ID hizo hizo fake ili waje waipigie debe Serikali dhalimu ya MACCM. Tafakari kwa kina na achana na kukurupuka na kuropoka upumbavu.

Masahihisho: Moja, hakuna popote pale nimesema kuwa Mimi ni muadilifu. Mbili, sijui ni lini niliwahi kupata taarifa kutoka kwa wamiliki, uongozi na wanachama walio wengi wa JF kuwa hawakubaliani na Mimi, ingawa hata hujafafanua kutokubaliana katika nini. "Kukemea madudu" ndiyo suluhisho? Tatu, sijawahi kuwa kibaka au fisadi, kwa namna yoyote unayoiwaza.

Note: mbona ile hoja kuu ya wewe kujificha kwa ID isiyo yako, na kuwaita wenzio wanafiki, umeikwepa? Manake mpaka muda huu unazunguka tu brother. Nirudie tena, endapo utaendelea kutumia ID isiyo halisi kukosoa wenzio na kuwaita wanafiki, brother kimaadili unakosa nguvu, unless uje kama "whistleblower", angalau unaweza kujenga uaminifu wa hoja zako.
 
Acha u------- wewe, kama unadhani unaweza kujificha hapa JF kwa vile tu unatumia ID ambayo si ya kweli basi bado una safari ndefu sana ya kuelewa kuhusu mtandao. Uongozi wa JF haukuweka sheria kwamba wale wote ambao hawatumii ID zao za kweli hawana ruhusa ya kuikosoa Serikali, pili 99.9% ya wanachama hapa wanatumia ID hizo usizozitaka wewe kukosoa Serikali. Kwani mpaka upewe taarifa na uongozi wa JF kwamba hawakubaliani nawe ndio uelewe hivyo? Wakupe taarifa wewe kama nani!? Angalia post zako kama umewahi kukosoa lolote kuhusu udhalimu wa aina mbali mbali unaoendelea nchini.

Kwanini hukosoi kwa sababu mnafiki wewe ni fisadi na unanufaika kwa namna moja au nyingine na ufisadi ndio maana mara nyingi huja hapa kuvuruga majadiliano kwa kuandika pumba zako. Hilo swali lako la ki------- nilijibu mara ngapi ili uelewe kama nimekujibu!?

Hujitambui wewe una kichwa kizito sana cha kuelewa. Ingekuwa kuikosoa Serikali kwa kutumia ID ambayo si ya kweli hakuna nguvu basi MACCM wasingesumbuka kuwaajiri watu kuwanunulia computers na kuwalipa pesa chungu nzima kila siku na ID hizo hizo fake ili waje waipigie debe Serikali dhalimu ya MACCM. Tafakari kwa kina na achana na kukurupuka na kuropoka u-------.

Brother, sasa nitajuaje kuwa uongozi wa JF haukubaliani na Mimi bila wao kunijulisha, au wewe ndio unanipa taarifa hiyo kwa niaba yao? Wanipe taarifa kama member ambaye maoni yangu hayakubaliki ili nijue wapi nakosea. Kwanza hata hujasema hawakubaliani na Mimi katika nini. Pili usisahau kuwa uongozi wa JF haifungamani wala kukujisuhughulishana maoni ya wanachama, unless mwanachama awe amevunja kanuni za JF. Hao 99.9% kama wana nia ya kuikosoa Serikali ni haki Yao ila kama wanafanya hivyo na kuwaita wenzao wanafiki! wakiwa wamejificha nyuma ya ID fake kama wewe, hawatakuwa tofauti na wewe.

Hilo la CCM kuwanunulia watu computers na kuwalipa Pesa sijui linaingiaje, lakini hata ikiwa hivyo ni haki yao, kama vile wanachama wa vyama vingine wanavyokuwa wanatetea vyama vyao hapa jukwaani. Kama ni suala la udhalimu, mbona vyama vyote ni dhalimu tu? Au unahitaji mifano iliyo wazi kujua udhalimu wa wanasiasa na vyama vyao?
 
Mimi huwa nashindwa kuelewa tazama nchi kama Rwanda wako na ndege kubwa zaidi ya sita nazo ni mpya kabisa.Tena hata naul zao ziko chin sana.
 
unafiki ni nature ya watz wote, manake wewe pia usingekuwa mnafiki ungeweka jina lako halisi na kutoa maoni yako bila kujificha nyuma ya hiyo ID.

loh Jina la mtu halisi linahusiana nini na maoni yake
kama uamini mchunguze mkeo vizuri jina la cheti cha form 4 na form six uone kama linafanana

nikumbushe umemwowa na jina gani vile???
 
Dk. Harrison Mwakyembe ameliambia Bunge punde tu kuwa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) litanunua ndege mbili mpya katika mwaka ujao wa fedha.

Katika maelezo yake hajaweka wazi hadi sasa ATCL ina ndege ngapi zinazomilikiwa kwa asilimia 100 na shirika hilo mbali na kuzungumzia ndege kadhaa za kukodi.

Najua JF ina wajuvi wengi, mwenye taarifa hizi atiririke hapa tujue!

Huenda alikuwa anamaanisha serikali itanunua bundi wawili, kama ni aeroplane ni kabobo za huyu mfia tumbo mkuu wa Tanganyika Mr mwakyembe.
 
siasa mbaya sana... waziri amekua kasuku
Mwakyembe anatoa ahadi zisizotekerezeka ili apate umaarufu.Biashara ya ndege wataalamu wamekuwa wakishauri serikali itafute wawekezaji ndani ya nchi na nje wafanye biashara hiyo na serikali ipate kodi.Aidha ilitakiwa shirika lisiwepo ni mzigo mkubwa kwa taifa.
 
Back
Top Bottom