msnajo
JF-Expert Member
- Jan 20, 2011
- 3,066
- 1,142
Habari yako mkuu Jmali,nikirudi kwenye mada mkuu mimi nadhani sisi nchi yetu ni more corrupt kuliko hao Rwanda japo ni nchi ndogo.Kingine kiashiria kiioneshacho hawo wenzetu kuwa wapo chini yetu, angalia commitment za viongozi wao kuelekea kwenye rushwa tuweke suala la mambo ya tenda pembeni tuangalie na aina nyingine za rushwa.
Africa hakuna Nchi corrupt kama TZ! Zamani walikuepo kina Mobutu, ila kwa record za Mobutu hakuwai kuiba kama viongozi wetu, anaebisha na abishe!!