Mwakyembe: ATCL Kununua Ndege Mbili Mpya!

Dk. Harrison Mwakyembe ameliambia Bunge punde tu kuwa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) litanunua ndege mbili mpya katika mwaka ujao wa fedha.

Najua JF ina wajuvi wengi, mwenye taarifa hizi atiririke hapa tujue!

Hapa kuna mchezo mchafu;Kwanza JK alishawahi kusema tayari tulishaweka order Airbus ya ndege mbili A320. Sasa sijui ukweli ni upi.

Air Tanzania Cancels Deal to Buy Airbus Planes, Citizen Reports

By Brian LathamJan 5, 2011 6:05 PM GMT+0200

Air Tanzania Co. canceled a plan to buy 10 aircraft from Airbus SAS, the Citizen reported, citing Air Tanzania Chief Executive Officer David Mattaka.
An agreement to modernize the state-owned airline's fleet with Airbus planes is "dead," Mattaka was cited as saying by the Dar es Salaam-based newspaper, a day after he announced the deal. The accord was worth about $537 million, the newspaper said on its website.
Mattaka declined to comment when contacted today by Bloomberg News.
To contact the reporter on this story: Brian Latham in Durban at blatham@bloomberg.net.
To contact the editor responsible for this story: Antony Sguazzin in Johannesburg at asguazzin@bloomberg.net.
 
Na nyingine hii kama mnaikumbuka;

Chinese firm leased obsolete aircraft for Air Tanzania

China Sonangol International Holdings Ltd, the Chinese government investment firm, has been plunged into fresh controversy following revelation that it procured obsolete aircraft for the Tanzanian flag carrier.

One of the three aircraft purchased by China Sonangol, a Dash 8 300 series operated by Air Tanzania Corporation Ltd (ATCL) crashed in April at Kigoma Airport in western Tanzania, injuring 35 passengers and four crew members. The aircraft is now a write-off.

 
Nyambaf ni bwana wako anaekuweka ndani.

Ya Mtwara yetu sisi wewe bint yanakuhusu nini??
ikiuma sema... umeshapigishwa segere sasa hivi kinapwita tu, maana umeuza wenzako na mbunye yako pia

nyambaff aljununu wahed

msaliti kama wewe siku yako haiko mbali
 
Kibaya na CHADEMA ambayo ndo ilikua tegemeo imekufa na kuzaliwa UKAWAIDA tu

Tutanunua tu.....subiri tukope trilion tatu tutawanunulia ndege mnayoipenda sana kuliko ARVs.
Dawa tuwaachie wamarekani watusaidie...sisi tukope tu tununue treni kwenye reli ya 1947.
 
Mwambie aache
mbwembe, Al shabaab wanashambulia Mombasa, huu ni wakati wa mavuno kwa
bandari ya Tanga na Dar ni wakati wa kurudisha wateja wa kinyarwanda
waliokimbilia mombasa.
 
loh Jina la mtu halisi linahusiana nini na maoni yake
kama uamini mchunguze mkeo vizuri jina la cheti cha form 4 na form six uone kama linafanana

nikumbushe umemwowa na jina gani vile???

Anaitwa BASIASI.
 
Back
Top Bottom