weweee mkuuu
upuuzi wa ufisadi tanzania uwezi fananisha na rwanda hata siku moja
iheshimu
Habari yako mkuu Jmali,nikirudi kwenye mada mkuu mimi nadhani sisi nchi yetu ni more corrupt kuliko hao Rwanda japo ni nchi ndogo.Kingine kiashiria kiioneshacho hawo wenzetu kuwa wapo chini yetu, angalia commitment za viongozi wao kuelekea kwenye rushwa tuweke suala la mambo ya tenda pembeni tuangalie na aina nyingine za rushwa.
Ni kweli Bongo rushwa kubwa sana, lakini hiyo sio sababu ya kagame kutudharau, kagame dharau zake ni za kikabila, mbali na sisi pia kagame pia anadharau SA, France etc, hivyo haiwezi kutokana na rushwa kama mdau alivyo-imply.
Vipi hajazungumzia wizi unaoendelea bandarini?
Alitudanganya kuwa amekomesha wizi wa mizigo,na kukwapua vitu kwenye magari ya wateja.
Lakini hivi karibuni jamaa zangu watatu wote waliopitisha magari yao bandari ya Dar es Salaam ,wamekuta sreen imenyofolewa,mmoja wamekomba jeki,mwingine wameina spare tyre na kumuwekea ambayo imesha kwisha.
Tanzania tumeoza kila kona,acha kagame atudharau.
Hivi kabla ya mwaka kwisha huwezi kuibana wizara ya fedha kama kasma yako haijafika na mwaka unaisha?
Mkuu MANI sijui utaratibu wa kuwasilisha kasma ya kila Wizara husika ukoje, ila niliwahi kusikia kwamba kasma ya kila Wizara inatolewa kwa miezi sita sita. Kasma ya July to December inatolewa mwanzoni mwa July na ile ya January to June inatolewa mwanzoni mwa January. Kwa Waziri ambaye si mnafiki akiona kasma yake imechelewa hivyo kuanza kuathiri mipango yake mbali mbali ya maendeleo katika mwaka husika wa fedha, basi anatakiwa amkoromoe Waziri wa Fedha kwa nguvu zote, lakini kama tujuavyo hii Serikali wanavyolindana. Waziri anabaki kimya mpaka Wabunge waje juu kuhusu ahadi mbali mbali za maendeleo kwa kuogopa kumwanga unga kwa shinikizo la Wabunge kwa Mkuu wao wa kazi ndio wanatoboa siri kwamba kasma niliyoomba sikupewa yote bali nilipewa 25% tu ya kiasi tulichoomba kama Wizara.
Kwa hiyo unafiki ndio kikwazo au woga.
Kigoma waliambiwa itakuwa dubai na baba riz wakati wa kampeni 2010...sijui ni dubai ya kuuza migebuka hata sikuwaelewa
Vipi hajazungumzia wizi unaoendelea bandarini?
Alitudanganya kuwa amekomesha wizi wa mizigo,na kukwapua vitu kwenye magari ya wateja.
Lakini hivi karibuni jamaa zangu watatu wote waliopitisha magari yao bandari ya Dar es Salaam ,wamekuta sreen imenyofolewa,mmoja wamekomba jeki,mwingine wameina spare tyre na kumuwekea ambayo imesha kwisha.
Tanzania tumeoza kila kona,acha kagame atudharau.
Unafiki wa kuanzia kwa Rais na Baraza lake lote la Mawaziri.
unafiki ni nature ya watz wote, manake wewe pia usingekuwa mnafiki ungeweka jina lako halisi na kutoa maoni yako bila kujificha nyuma ya hiyo ID.
Hahahahahaha lol!!!! Huna jipya weye!!!! Hapa 99.9% ya wanachama hawatumii majina yao na wamiliki wa JF wameruhusu hilo sasa sioni unafiki wangu kwa kufuata taratibu zilizowekwa na wamiliki wa jamvi hili. Uwe unafikiri kwa kina kabla ya kuandika pumba.
sheria zinaruhusu kutumia ID tofauti, hilo halina ubishi. Pia sheria/kanuni za JF hazizuii member kutumia jina lake halisi, hilo pia halina ubishi. Kama wewe sio mnafiki, na hii ndio point/hoja yangu, tumia jina lako halisi. Usiwatuhumu wengine kwa unafiki ilhali wewe mwenyewe tu umeficha jina. The same applies kwa hao 99.9% ya wanachama.