Hajui atendalo, angejua kuwa kupona kwake kuna mkono wa JF angeishukuru na kuichangia mara dufu!
Jf ndio inayofichua maovu ya nchi hii na ndio kisima cha hekima kwa wanasia machipuko, na zaidi jf ndio iliyofichua njama za jaribio la yeye kuuawa na kila aina ya hila dhidi yake lakini leo anaiona si chochote?
Aje ajiunge huko tumpige msasa huyo!
Katika hatua za mwisho za kupitisha bajeti ya Miundombinu, Wenje alisimama na kusema kuwa ana taarifa za kuwepo vikao vya kuipa kampuni fulani bandari(sijaimaki vizuri) ikiwa ni namna ya kulipa deni la ATCL ambalo ni kubwa mno.
Mwakyembe amejibu kuwa kama kuna mtu anafanya hiyo mipango bila kumjuza yeye aendelee.
Lakini katika hali isiyo ya kawaida akamwambia Wenje, kuwa ana wasiwasi na taarifa zake, na akamalizia..."Ndiyo shida ya kutegemea habari za JamiiForums hiyo!
Mwakyembe Anaichkuliaje Jf huyu?
Hana lolote kinyonyoke huyo!
JF ndo ilikuwa inamtibu?
Mojawapo wa watu wenye dharau na majigambo Tanzania hii ni Mwakyembe. Ni mchapakazi lakini anatakiwa kujirekebisha katika hili. Apunguze dharau kwa watu.
Nakumbuka kuna kipindi aliitisha mkutano na waandisi wa habari kabla hajawa waziri, lol, baadhi yao walimkoma jinsi alivyokuwa anawadhihaki kuwa hawajaenda shule ndo maana hawajuwi chochote.
Ni mara ngapi?na ni data zipi ziliwekwa jamii forum ni za uongo??
Mojawapo wa watu wenye dharau na majigambo Tanzania hii ni Mwakyembe. Ni mchapakazi lakini anatakiwa kujirekebisha katika hili. Apunguze dharau kwa watu.
Nakumbuka kuna kipindi aliitisha mkutano na waandisi wa habari kabla hajawa waziri, lol, baadhi yao walimkoma jinsi alivyokuwa anawadhihaki kuwa hawajaenda shule ndo maana hawajuwi chochote.
Kaka,Mwakyembe apuuza data za Jamiiforums...kasema kweli kuna data zingine ni za uwongo kama data ya CT SCAN moja sawa sawa na shangingi moja au mfuko wa Saruji kuuzwa Sh5000. Kuna data zingine kweli.
Kwanza sijakuelewa maana habari nyingi hapa jamii forum hazianzii hapa ila panakuwa na source ambayo inaanzisha then wanajamvi wanaingia chimbo kusaka za chini ya kapeti kuhusiana na ishu iliopo mbele na mara nyingi huwa si zote nyingi wnajamvi wanazikopi na kupest especially zile za kiutendaji na kiwizi kama kukodi ndege!Na katika swali hili la wenje na jibu la mwakyembe ninaamini hata CAG hutegemea JF ktk ripoti zake maana alichouliza wenje kipo kwenye ripoti za Utouh.Sijui kasahau huyu poti wangu?Akimjibu Mh. Wenje kuhusu uwepo wa mpango wa kuwapatia wageni bandari ya Mtwara kw fidia ya deni la serikali Waziri Mwakembe alikanusha kata kata kuwepo kwa mpango huo na akaongeza kuwa "Taarifa kama hizi ndiyo matokeao ya kufuatilia habari za Jamii Forum".
Wana jamii tunakubaliana na hilo kwamba hapa JF ni mahali pa kupika taarifa za uwongo wakazitumia wabunge?
Akimjibu Mh. Wenje kuhusu uwepo wa mpango wa kuwapatia wageni bandari ya Mtwara kw fidia ya deni la serikali Waziri Mwakembe alikanusha kata kata kuwepo kwa mpango huo na akaongeza kuwa "Taarifa kama hizi ndiyo matokeao ya kufuatilia habari za Jamii Forum".
Wana jamii tunakubaliana na hilo kwamba hapa JF ni mahali pa kupika taarifa za uwongo wakazitumia wabunge?