Mwakyembe anasikitisha! Walaaniwe wanaohusika!

Hakuna mwanaharakati aliekula bata hyo ndo njia ya mateso wapitiayo ila ukwel utaendelea kusemwa. Ugua pole Dr Mwakyembe.
 

nakuuliza hivi

matokeo ya kulishwa sumu umeyapatia wapi. Wekeni vithibitisho hapa jamvini. Sio kuongea tu bila vidhibitisho.
 
Huu ndiyo ujinga wa baadhi ya Watanzania unaoharibu intellectual discourse katika JF. Tunachomekachomeka tu irrelevat issues kwenye serious discussions. By the way, what is so special about CCJ kama si ushamba tu wa kisiasa tulionao?

labda Sitta ni chaguo lako kama sio kipenzi chako. fikiriaa vizuri
 
habari ya kuwekewa sumu kwenye kitambaa hata mimi niliipata toka kwa TISS mstaafu,.nakubaliana na jason,jk is at the center..
 
nakuuliza hivi

matokeo ya kulishwa sumu umeyapatia wapi. Wekeni vithibitisho hapa jamvini. Sio kuongea tu bila vidhibitisho.

soma huu uzi kuanzia mwanzo mpaka mwisho utaona huo ushaidi kuwa alipigwa nionzi ya polium na solium 210 kama sijakosea halafu linganisha na hali aliyokuwa na bwana mwakymbe..
 
Daaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!! Wao wanagonga cheeeeeeeeeeers kuona mwakyembe anateseka hivi.....lakini tatizo ninini jamani?madaraka au kupinga ufisadi?...pole sana dr. Mwakyembe
 
Kama ni hivyo,namshauri aweke siri hiyo kwenye CD na naamini ana mtu ama mwanasheria ama taasisi vya kuaminika ambapo kama atajiridhisha kuwa anateswa na wabaya wake basi atakapofikwa na mauti itolewe na mtu ama taasisi atakayoichagua kuhifadhi CD hiyo. Na hao wataitoa kirahisi tu..kwenye you tube!
 
jamani mi naomba post ya jason bourne maana kila mtu aliyeisoma anarefer kwa hiyo kwenye thread hii..
 
magamba wako very strategic! wanafanya mambo kwa uhakika angalieni historia za nyuma watu wa aina ya mwakyembe walikotokea wengi hawapo..inatakiwa wazawa tupige kelele kuokoa wachache tulionao wanaothubutu.
 
watu wanagonga glasi kwa hali ya mwakyembe..na sasa wameamua kupita na kusafisha majina yao kupitia nyumba za ibada........
Ipo siku itajulikana mbivu na mbichi na tunapaswa kuwakataa kwa nguvu zote maana now wanajifanya kondoo kumbe ni mbwa mwitu.
 
aisee nilipoiona hiyo picha nilichoka kabisa.
 
Ahsante mkuu!
 
Hata kama Mwakyembe aliwakosea watanzania kwa kuficha ukweli juu ya sakata la richmond ili kulinda serikali, siwezi kumwombea mateso kama haya! Pole Mwakyembe tunakuombea upone haraka uje kutupa ukweli wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…