FairPlayer
JF-Expert Member
- Feb 27, 2006
- 4,145
- 733
Mara nyingi UONGO hausemwi hadharani tena mbele ya Waheshimiwa miatatu na ushei hivi. Uongo, kama yalivyo MAOVU mengine yote hayafanyiki hadharani.
Kuumwa aumwe Mwakyembe, halafu ripoti ya ugonjwa itoe serikali! nadhani hizi tamthilia nyingine Mwakyembe atafute pa kuzipeleka, kwahiyo yeye Mwakyembe mpaka leo hajui alikuwa anatibiwa nini India? unafki mwingine mbaya sana.
Mkuu BAK,....Halafu cha kushangaza hadi sasa Serikali haijatia hata neno kama inachunguza ugonjwa huu wa ajabu unaosemekana umetokana na kupewa sumu au la. Kama inachunguza kwanini inaogopa hata kuwafahamisha Wananchi kwamba uchunguzi wa yaliyompata Mwakyembe unaendelea? Kwa nini kumekuwa na kimya kizito toka Serikalini?
Either atakuwa amepata nafuu na hivyo madaktari kuona kwamba anaweza kurudi nyumbani na kuendelea na prescriptions bila uhitaji wa daktarihivi unajua ni kwa nini amerushwa nchini??
Ndo consuquences za a public office, people will always demand every bit of information pertaining those public figures.Tanzania hatuna sense of privacy wala dignity kwa wagonjwa, mtu unaenda kumuangalia mgonjwa halafu unakuja kuwaambia waandishi wa habari "jamaa kanyonyoka nywele, kope, ndevu mpaka...." na waandishi wanaandika.
Ndiyo maana wengine wanaona gozigozi, hamna mtu zaidi ya close friends and family kujipendekeza.
kensa gani?
Kuumwa aumwe Mwakyembe, halafu ripoti ya ugonjwa itoe serikali! nadhani hizi tamthilia nyingine Mwakyembe atafute pa kuzipeleka, kwahiyo yeye Mwakyembe mpaka leo hajui alikuwa anatibiwa nini India? unafki mwingine mbaya sana.
Naibu Waziri wa Ujenzi, Dk. Harrison Mwakyembe.
SerikaliI imekataa kutoa taarifa ya ripoti iliyopewa na madaktari bingwa wa Hospitali ya Apolo, India ambao walimtibu Naibu Waziri wa Ujenzi, Dk. Harrison Mwakyembe.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Blandina Nyoni, alipoulizwa kuhusiana na ripoti hiyo, alisema kuwa suala hilo haliwahusu na kama wameipokea hawezi kuzungumzia suala hilo.
Alisema Dk. Mwakyembe ndiye anaweza kuzungumzia na hajui kama imepokelewa au la.
Hata kama tumeipokea sina ruhusu ya kuzungumza na kama hiyo ripoti yake mfuate mwenyewe Dk. Mwakyembe akueleze
kwani sisi hatuwezi kutaja ugonjwa uliokuwa unamkabili, alisema Nyoni.
Akizungumzia hali ya Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk. Cyril Chami. ambaye alikuwa India kwa matibu, alisema kuwa hali yake inaendelea vizuri, lakini alisema hana taarifa za kurejea kwake.
Hivi karibuni, Dk. Mwakyembe alisema hospitali ya Apollo alikokuwa amelazwa alikuwa, imetuma ripoti kwa serikaali ya Tanzania kueleza walichobaini baada ya kumfanyia uchunguzi.
CHANZO: NIPASHE