Mwakyembe anasikitisha! Walaaniwe wanaohusika!

Mwakyembe anasikitisha! Walaaniwe wanaohusika!

Kutoka nywele za mwilini kuna ashiria ametumia dawa za kensa.
 
Alianika uongo juu ya richmond, alitumika kuwaficha wahusika, alitumika kuwachafua wasiohusika- huenda hili ndilo linalomgarimu. Pole zake.

Gama inaelekea unawajua wanaommaliza huyu Dr. tuambiae.. ni wale aliwachafua???? wahusika ni kina nani??? Kikwete ama?
 
Jamani kwa ninavyoelewa mimi,katika utendaji kazi huwezi kukataa uteuzi.Ni insubordination

Insubordination haiweze kutokea kama hamna relationship ya boss/kiongozi na mtu wa chini yake.

Rudia kacheki kwenye source yako tena!
 
Hivi hawa wanasiasa wa tz ni nini kinawapata? Mbona hata huyo 'mamvi' nae tunaambiwa ni mgonjwa tu!.....2015 inaweza kuwa mbali sana kwa 'hawa' wagonjwa wote.

mkuu mbona unatuonyesha njia ya kwetu? anaugua nini tena? nae ni njia ile ile ya Dr. ama ni magonjwa ya kawaida?

kwa kawaida kila mtu ni mgonjwa ila tunatofautiana ktk kuugua,inawezekana ugonjwa wake sio wakumfanya ashindwe kutekeleza wajibu wake wa kuliongoza Taifa,lakini ngoja tusubiri kwani alienda kwa Joshua so lolote laweza tokea
 
Inasemekana "SUMU" hii inayomtesa iliwekwa kwenye vifaa vya usafi vilivyoko kwenye choo cha ofisi yake hii ya UnaibuWaziri. "Hadithi" ni nyingi nchi hii! Acha tu.

Usishangae ukisikia BALALI ndo aliiweka.

Al in all POLE Dr Mwakyembe, Mungu wetu akupe wepesi and get well soon Dr.
 
hana lolote mbwembwe tu kama ni siri atasema ili iweje
wakati amesha nyonyoka nywele zote aseme afe na sisisisiem yake! mia
hii nchi mikwala kibao huku mwaki.. kule maguf...,hapa sharif.......... mbele mbatia.................tabu tupu
ukikaribia kufa kufa mwenyewe!

kwani kunyonyoka kunamzuiaje yeye kusema alichonacho moyoni? anavyozidi kuwa msiri ktk jambo hilo anamaanisha kuwa uozo huo uendelee tu na ikiwezekana wahusika wazidi kufanya mashambulizi hata wengine

ni vyema angesema ili kuwapunguza kasi,na hatujui kama madaktari wake walimhakikishia uhai,maana ngoja ngoja nayo ndio hivyo tena matumbo huumia
 
Jamani lets start serious thinking hapa.

Aseme nini kama hana la kusema?

Wewe ukiwa mgonjwa kweli una nafasi ya kuchunguza na kujua aliekutenda kama umetendwa?, si utabakia ukifanya speculation ya yupi kati ya maadui wako uliojijengea kakutenda hivyo?

Dr hawezi kusema kwa sababu hata yeye atakua anahisi tu kama tulivyo sisi na kupenda udaku kwetu.
 
Alikua mwenyekiti. Na unajua alificha nini tena kwa makusudi. Au pia utaanza ubishi wakati yeye mwenyewe alisema bungeni?
Kwa hiyo ukiwa Mwenyekiti tu basi. Kinachommaliza hasa ni kuwabakiza alootakiwa kuwamaliza kwa ripoti ile. Sitta naye amechangia pakubwa kwa namna alivyolimaliza suala lile Bungeni.
 
Jamani lets start serious thinking hapa.

Aseme nini kama hana la kusema?

Wewe ukiwa mgonjwa kweli una nafasi ya kuchunguza na kujua aliekutenda kama umetendwa?, si utabakia ukifanya speculation ya yupi kati ya maadui wako uliojijengea kakutenda hivyo?

Dr hawezi kusema kwa sababu hata yeye atakua anahisi tu kama tulivyo sisi na kupenda udaku kwetu.
FP,
Unamkingia kifua nani? Unatulazimisha kufikiri kama unavyofikiri wewe?
 
tunacho kihitaji hapa ni yeye kutudhihirishia kama alipewa sumu ama la,then sasa tukisha lielewa hilo tunarudi kwa kazi zilifanywa na kina johson na walizileta hapa jamvini

lakini madaktari wake lazima walimweleza nini kilijiri
 
Kwa hiyo ukiwa Mwenyekiti tu basi. Kinachommaliza hasa ni kuwabakiza alootakiwa kuwamaliza kwa ripoti ile. Sitta naye amechangia pakubwa kwa namna alivyolimaliza suala lile Bungeni.

Siamini kuwa upo upande mwa Dr kuhusu ile ripoti.

Angemmaliza nani? Labda angeimaliza familia ya mkuu maana ndo inahusika.
 
FP,
Unamkingia kifua nani? Unatulazimisha kufikiri kama unavyofikiri wewe?

Sijamkingia mtu kifua. Nimeuliza MASWALI. Soma kisha nijibu kwa hoja kama bwana ENGMTOLERA alivyojibu hapo juu.
 
to invissible

uunganishaji wa threads ni kuwanyima wanajf kuchangia kile kilichojiri leo,jana ama juzi,ni vyema kama mnaona mada imerudiwa ni kuifuta haraka iwezekanavyo ili kupunguza uwezekano wa wanajf kuichangia

lakini unaposubiri wachangiaji kuchangia then unakuja kunganisha na mada inayofanana na ile ya zamani ni kupoteza mweleo na mtililiko wa uchangiaji
 
Back
Top Bottom