SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 50,088
- 75,524
Mimi simuelewi Dr. Mwakyembe anaogopa nini kusema kile walichomtenda mafisadi wakati wameshammaliza? Wao wamemwaga ugali naye amwage mboga kwani kwa hali aliyofikia ni bora wammalizie kuliko mateso anayoyapata.