Ajabu ya ripoti ile ni kuwa watu "safi" kabisa waliachia ngazi ili kuwalinda wahalifu bila hata kusutwa na dhamira zao kwa kitendo hiki kiovu kuliko maovu yaliyokuwa yametendeka.Siamini kuwa upo upande mwa Dr kuhusu ile ripoti.
Angemmaliza nani? Labda angeimaliza familia ya mkuu maana ndo inahusika.