Mwakyembe anasikitisha! Walaaniwe wanaohusika!

Mwakyembe anasikitisha! Walaaniwe wanaohusika!

Kwani sura/afya yake inahusiana nini na unaibu waziri?
Inasemekana "SUMU" hii inayomtesa iliwekwa kwenye vifaa vya usafi vilivyoko kwenye choo cha ofisi yake hii ya UnaibuWaziri. "Hadithi" ni nyingi nchi hii! Acha tu.
 
huenda anasubiri 2015 ikaribie ndo aweke mambo hadharani kwa kudhani utakuwa mtaji wa kisiasa

Kufika 2015 ni kitendawili ingawa simtakii mabaya, anatakiwa aweke wazi mambo yote na ushahidi wa kutosha kuwatia watu hatiani kama hana bora akae kimya kabisa amuombe Mungu amrudishie afya yake.
 
Huyo Dr hana jipya

Jipya analo,tena hili ni kubwa la kutikisa nchi,kwani alichonacho moyoni ni siri kwake na jambo jipya kwetu,kwa hiyo siku akiamuwa isiwe siri akaliweka hadharani basi ndio upya wa mambo unapoanzia hapo

mimi siombei afe,kinachoniumiza ni siri ninayoisubiri utadhani kuandika WOSIA,ni bora aweke wazi ijulikane moja tu kwani kupitia wizara ya afya hatutaweza pata ili habari asilia ni lazima itakuwa habari chakachuliwa,

Please Dr.tunaugua kwa kusubiri SIRI uliyonayo.weka mambo hadharani nguvu ya umma itoe hukumu
 
Kuna wasioliona hili, alikubali kutumiwa na wenye uchu wa madaraka na wasioweza hata kuongoza serikali ya kijiji, sasa imeshamung،unya kwake, bora ajifungie kwake amalize siku zake zilizosalia kwa amani.


Hakutumiwa tuhuma zilikuwa za ukweli na ndio maana watuhumiwa hawakukanusha wakakubali kwa kuchagua kuachia ngazi.
 
Inasemekana "SUMU" hii inayomtesa iliwekwa kwenye vifaa vya usafi vilivyoko kwenye choo cha ofisi yake hii ya UnaibuWaziri. "Hadithi" ni nyingi nchi hii! Acha tu.[/QU

Mhh makubwa haya,
 
Hivi hawa wanasiasa wa tz ni nini kinawapata? Mbona hata huyo 'mamvi' nae tunaambiwa ni mgonjwa tu!.....2015 inaweza kuwa mbali sana kwa 'hawa' wagonjwa wote.
 
Dr aseme yote yanayosumbua mwili wake ili na umma wote ujue.Kama ripoti ya maradhi iko Serikalini nayo haiwezi sema chcht kwa kanuni za kidaktari,basi Dr Mwakyembe ni vema akasema A-Z ya maradhi yake.Hata km ni kundi la watu alitaje ili na viongozi au jamii ichukue tahadhari wkt wote.
 
mimi pia nashauri aweke tu mambo hadharani ili ijulikane
 

Mavumbini ulitoka na mavumbini mwanadamu utarudi. Inauma lakini ndio amri ya Mola hakuna jinsi ila ole ni wao wanaotaka kuliharakisha zoezi hilo.

kwa hiyo unataka kusema DR anarudi mavumbini angali yu hai?

pole sana dr
 
nilisema na ninarudia......huyu hawezi kurudi katika hali yake ya kawaida.......mana cheers zilizogongwa kwa kufanikisha hili zilidhihirisha mafanikio makubwa........alipokwenda india kisha akasema akirudi atasema yote hili nalo lilikuwa kosa la tatu....akastuliwa kidogo kuwa ukisema ndio basi...amerudi nyumbani akasema anamwachia Mungu ..kosa la nne....

kuhusu huyu ukurasa ulishafungwa tangu mwaka jana mwezi wa 8 mwanzoni....
 
hana lolote mbwembwe tu kama ni siri atasema ili iweje
wakati amesha nyonyoka nywele zote aseme afe na sisisisiem yake! mia
hii nchi mikwala kibao huku mwaki.. kule maguf...,hapa sharif.......... mbele mbatia.................tabu tupu
ukikaribia kufa kufa mwenyewe!
 
Pole sana Comrade Mwakyembe ndio siasa za kiafrika hizo hazina fair play..

Yeye mwenyewe pia hakufanya FAIR PLAY kwenye ripoti yake. Inawezekana ni maradhi tu lakini wabongo hatuchoki kutafuta sababu.
 
Yeye kama anawasiliana na MUNGU kujua ataondoka lini................asubiri tu hiyo 2015 ? Angeweza kuandika kama makala kwenye gazeti ambalo anajua hawataficha kitu alafu copies zingine awapatie ndugu zake ili hata kama akifa leo wajue ni nini hasa kilichomsibu ! Vinginevyo ni yale yale tu ya kila siku kuwa ana siri nzito alafu anakufa anakwenda nayo................!
 
Magazeti nayo wamekosa ya kuandika tuu!
Haiwezi kuwa siri iyo kama kila mtu anataka ijua
 
nilisema na ninarudia......huyu hawezi kurudi katika hali yake ya kawaida.......mana cheers zilizogongwa kwa kufanikisha hili zilidhihirisha mafanikio makubwa........alipokwenda india kisha akasema akirudi atasema yote hili nalo lilikuwa kosa la tatu....akastuliwa kidogo kuwa ukisema ndio basi...amerudi nyumbani akasema anamwachia Mungu ..kosa la nne....

kuhusu huyu ukurasa ulishafungwa tangu mwaka jana mwezi wa 8 mwanzoni....

Siku hizi UNA DATA mkuu...lol. Sijasahau toka enzi za ileeeee ripoti.

Haya bana siku njema.
 
Back
Top Bottom