Mwakyembe amfukuza mfanyakazi aliyestaafu 2013

Mwakyembe amfukuza mfanyakazi aliyestaafu 2013

AMILIKI, umesoma habari hii au umesimuliwa? .Mwananchi ya 3/7/2014 uk wa 14 anasema" Watumishi hao----wanarudishwa kwenye wizara zao, wachukuliwe hatua za kisheria" Sasa huko kufukuza unakosema ni kupi?? Hilo moja, Pili hoja si mstaafu kuondolewa JNIA, Hoja ni Je ushaidi wa CCTV unamuonyesha akishiriki vitendo vya rushwa? Kustaafu kwa mtu hakumpi kinga ya kushtakiwa kwa makosa aliyoyafanya akiwa ndani ya utumishi. Hivi ushaidi wa CCTV nao umekuwa majungu? Watanzania lini tutaweza kuchambua mambo kama watu wenye akili?
Na kwanini Waziri Mwakyembe asimtafute mwenzie Kamani ili wajadiliane kabla ya kuwafukuza wafanyakazi wa wizara ya mwenzie kazi?
 
Mkuu
Mapato ya TRA kuongezeka ni Obviously factor, kwakuwa na mizingo imeongezika. Idadi ikiongezeka ya mizigo na mapato yataongezeka.

Ama mapato uameongezeka kwa mizigo ile ile?

Zamani TRA walikuwa wanakusana billion30 kwa mwez kipind cha mkapa, sasa ni Ni zaidi coz wawekezaji na wafanyabiashara wameongezeka so hiyo ni Obvious. Hakuna jipya

Hapana sababu kuu haikua hiyo, mapato kwa mwez yaliongezeka kutoka bilion 28 mwezi september mpaka kufikia bilion 50 mwez december. Ni almost mara 2, sababu ya msingi ni kusimamishwa kwa maofisa 16 pale bandarini. Kwa hiyo mizigo nayo iliongezeka mara 2?
 
Tatizo hata hao wanaojiita wasomi tena sijui wa sheria hawajui hata sheria za kazi. Mfanyakazi hafukuzwi kwenye TV, tena na Mamlaka isiyohusika kama huyo mwakembe
 
ccm wote hamna mwenye unafuu ni kama ukoo wa panya
. waziri unayejiita mchapakazi na makini unafukuza mtu aliyestaafu duu
 
Hapana sababu kuu haikua hiyo, mapato kwa mwez yaliongezeka kutoka bilion 28 mwezi september mpaka kufikia bilion 50 mwez december. Ni almost mara 2, sababu ya msingi ni kusimamishwa kwa maofisa 16 pale bandarini. Kwa hiyo mizigo nayo iliongezeka mara 2?
mizigo imeongezeka zaidi ya mara 10 ya kawaida...
 
Mkuu
Mapato ya TRA kuongezeka ni Obviously factor, kwakuwa na mizingo imeongezika. Idadi ikiongezeka ya mizigo na mapato yataongezeka.

Ama mapato uameongezeka kwa mizigo ile ile?

Zamani TRA walikuwa wanakusana billion30 kwa mwez kipind cha mkapa, sasa ni Ni zaidi coz wawekezaji na wafanyabiashara wameongezeka so hiyo ni Obvious. Hakuna jipya
kilichoongezeka hakikuwa proportional na muda, kilikuwa kingi kwa muda mfupi. pia mapato yaliongezeka baada ya mwakyembe kufanya mabadiliko.
 
mizigo imeongezeka zaidi ya mara 10 ya kawaida...
hapa unazungumzia ongezeko la asilimia 1000. toka september hadi december!. unataka kuniambia mapato nayo yangetoka 28bln hadi 280bln?. kama unapersonal ishu na mwakyembe iseme tu mkuu.
 
AMILIKI, umesoma habari hii au umesimuliwa? .Mwananchi ya 3/7/2014 uk wa 14 anasema" Watumishi hao----wanarudishwa kwenye wizara zao, wachukuliwe hatua za kisheria" Sasa huko kufukuza unakosema ni kupi?? Hilo moja, Pili hoja si mstaafu kuondolewa JNIA, Hoja ni Je ushaidi wa CCTV unamuonyesha akishiriki vitendo vya rushwa? Kustaafu kwa mtu hakumpi kinga ya kushtakiwa kwa makosa aliyoyafanya akiwa ndani ya utumishi. Hivi ushaidi wa CCTV nao umekuwa majungu? Watanzania lini tutaweza kuchambua mambo kama watu wenye akili?

Wewe umesoma gazeti tu. Kuna waliomsikia live. Kaa pembeni
 
@w.j.malechela yaani hata Radio one nayo unaita radio ya udaku? Acha mizaha ndugu
 
Sasa hapo waziri Kamani anataka kutueleza nini?

Ni kama vile, anapingana na uamuzi wa waziri mwenzie.

Inaelekea Kamani anataka uendelezwe mfumo ule ule, wa wafanyakazi wa serikali kuendelea kuboronga na kuendelea kulindwa, ukiona mfanyakazi wa serikali kawajibishwa sana, basi atahamishwa kituo cha kazi, ili akaendeleze hayo madudu katika kituo chake kipya.

Kama kweli mmoja wa wafanyakazi waliotimuliwa kazi na Mwakyembe, alishastaafu kazi, basi inawezekana wakubwa wa wizara ya kilimo, hawakutaka kumwondoa kwenye payroll, ili waendelee 'kufaidi' mishahara ya mstaafu huyo!!
Ilikuwa rahisi tu Wizara hizi kuwasiliana kabla ya kutoa taarifa kwa umma. Mambo kama hayo yasingekuwepo ambayo yanaonyesha Serikali kutenda bila mawasilaiano (coordination). Tatizo ni kukimbilia kupata credit kwa sababu watanzania wanataka kuona watendaji wakisurubiwa na wanasiasa ili kuaminishwa kuwa Serikali inatenda kazi. Uongozi makini unawasiliana kabla ya kufanya maamuzi.
 
mwakyembe yupo sahihi!! Haiwezakani mtu amestaafu halafu bdo anafanya kazi hii ni bw kamani lazima ajielez , hakuna mtu anaefukuzwa kazi juu juu apa kuna something fishy, bw kamani kuna kitu anatuficha sie wabongo
 
Kama mtu amestaafu halafu Jina lake bado lipo na anajulikana ni Mtumishi wa Umma bado mnasema Mwakyembe amekurupuka??? kama wizara yake inakula salary yake kimya kimya nani anajua?? au mnajifanya hamuijui hii nchi??
Mstaafu na mshahara kulipwa na Wizara yake vinahusianaje na kunaswa kwenye kanda za CCTV. Labda tuelezwe uchambuzi huo ulihusisha kipindi gani, yawezekana usiende mpaka wakati mstaafu huyo alikuwa bado kazini. Na kama ni hivyo hasingejumuishwa kurejeshwa wizarani kwake...
 
mwakyembe ni waziri mzigo, mkutupukaji, mbabaishaji.

Hana lolote kazi kuropoka tu, hana lolote alilolifanya kwenye hiyo wizara zaidi ya majungu na fitina.

Ukabila unamamaliza.

Atc mpaka sasa ndege moj ya kukodi, tren ya mabibo to posta.?

Eti mchapakazi?

Kakalia majungu bandari inakufa, act ipo icu.

Hakuna anachojua zaidi ya kulia lia kwenye media kwa kutaka sifa za kijinga

urongo mtupu
 
Waziri mwakyembe atema 13 uwanja wa ndege. wanarudishwa wizarani kwao hatua zingine zitafuata huko.
Cctv imeinesha wazi. kama huyo mstaafu aliendelea kufanya kazi alikuwa analipwaje?
Dr kamani asitake bifu. Amuulize DAP wa wizarani kwake.
 
Watumishi wa wizara za afya.kilimo na uvuvi hawavai sare kuficha kutambuliwa. wanagongesha kadi za chanjo kwa 50,000/
 
Back
Top Bottom