akya mungu we ujatulia... Te te te te................nimeelewa ekilo kikulu, maana yake usiku mkuu, au usiku mtakatifu, hilo lingine(mwakiyukayo) "meti onyo"!...nahisi ni jina la mtu wa mbeya!
hi salamu kwa wana jf wote kwenye sikukuu hii ya xmass
hii salamu ni baada ya mkesha wa krismasi
tetete.. It's ril good walangila, kwani nimejisikia km niko om wakuu, aksante muanzisha threadtwakiyukao mwamii! Utani wa wahaya siku moja ulikuwa hivi. Babu mmoja mwenye umri mkubwa alikuta watu watoto,wazee kwa wamama wamekaa na alitoa hii .badae kazee kalikamata ekilele norusheka kakaanza kunywa,huku wamama wakanuna na vijana wakicheka. Mwakiyukao boojo!
Kidogo mtoa salamu hii nzuri kwa wana JF sajamuelewa naona kakosea kidogo, hivi neno lipi sahii kati ya haya " MWAKIYUKAYO au MWAKIHUKAO" mi nafikili neno sahii ni MWAKIHUKAO, au mtoa salamu amasemaje katika hilo.
Jambo la pili kwa kawaida salamu hizi huwa zinatolewa baada ya kumalizika XMAS nzima, baada ya kuwa na uhakika kwamba katika kusherehekea sikukuuu hiyo hapakutokea ugomvi, watu kuhumizana na vifo na ndiyo maaana halisi ya "MWAKIHUKAO", kutoa salamu kama hizi kwa wakati huu nadhani umewahi kidogo ndugu yangu.
Kheri ya XMAS.