abdulhamis
JF-Expert Member
- Aug 2, 2019
- 1,436
- 2,292
Haya kiongozi mchambuzi wa uzi zanguLeo kidogo umeongea point.
Mwakinyo Ana mapambano mangap na kashinda mangapi aliyo bebwa Tanzania ni mangapi??Mwakinyo sio bondia wala nini mapambano yote hapa bongo anabebwa mfilipino alishinda mu Argentina pambano limekatishwa tu ukiangalia walipomalizia walikuwa kwenye move jamaa hakuwa kashindwa Ila refa aliingilia kati mpaka kapigwa ngumi na akamaliza pambano mpaka yule mwenzie muagentina akawa haelewi anamuuliza refa vipi yani ni usanii tu hakuna kitu huyo mwakinyo anakuzwa tu Hana maajabu
Akipata nafasi anapiga ngumi hovyohovyo bila Kueleweka aukujua anapiga wapi
Ni kama tu ngumi zisizo na skills
Ukiangalia mapambano yake hayavutii kwamba ni bondia mwenye kipaji tofauti na wengine kama anavyokuzwaMwakinyo Ana mapambano mangap na kashinda mangap alio bebwa tanzania ni mangap???
Ukiangalia mapambano yake hayavutii kwamba ni bondia mwenye kipaji tofauti na wengine kama anavyokuzwa
Hana jipya uingereza alishinda ndiyo tukamjua haya ya bongo mawili yote kabebwa