Mwakiembe uwanja wa ndege umekuponza


nadhani chini ya uongozi wake wafanyakazi wengi sana wamefukuzwa but hajui pale tazara kuna watu hawajalipwa mshahara miezi 6 na wanaamuliwa warudi kuendesha mitreni yao hiyo.hivi ukimkuta mfanyakazi wa aina hiyo anakwiba mafuta utamfukuza kweli?
 
Tatizo mzee Mwakyembe huwa haskii - walimbeep wakati ule ila bado tu yumo tu - sasa kugusa sehemu zisizogusikia matokeo yake ndiyo hayo.

Haya sasa katutetee huko Afrika mashariki, kaa mabli ya TICS yetu na viwanja vyetu - tuone sasa nani mjanja - sisi ama wewe??
 
Uliye mpinga na wewe wote mko sahihi tofauti yenu ni hi, Mrema alitolewa wizara ya mambo ya ndani na kupelekwa wizara ya kazi na maendeleo ya vijana, kikao cha baraza la mawaziri kikawa na mjadara wa pesa zilizokopwa na bwana Chavda CRDB bank kwa maendeleo ya mkonge Tanga, issue ambayo Mrema aliishikia kidedea kweli kweli, kuja Bungeni akaropoka hayo ya barazani, PM wa wakati huo bwana Cleopa Msuya akampa za uso, nilishangaa sana wagombea wa urais wa mwaka 1995 na jina la David Cleopa Msuya nalo lilikuwepo. Siku pia nikikutana na mzee wa Kirarancha ntamuuliza tafsiri ya neno VIGOGO cause yeye ndio muasisi wa hili neno kwenye siasa za Bongo, ni mara baada ya kukamata mzigo wa dhahabu pale Dar airport!
 


Ahsante mkuu kwa kuweka sawa kumbukumbu...
 
Masogange amemponza Mwakyembe alisema nilazima ashitakiwe, Yeye akala bata South, KIla siku kunatoka picha mpya akiwa anatanua.
 
Sita amepelekwa hiyo wizara ikiwa ni shukrani zake za kubuluza bunge la katiba ambalo limetuletea katiba ya hovyo. Sema hapana kwa katiba ya maccm
 
Aisayee ebaeban Mmmmmh wabongo jamanii, mkuu wewe kiboko !! umelitambuaje hilo?
 
Last edited by a moderator:
Hivi kumbe eeh,
Wenzie wanataka hela za uchaguzi.
 
Kama wanafamilia ya mzee wanafanya hiyo biashara kwa nini wasiondoe kikwazo.
 
Ni vema nikakupa ushindi hata kama hustahiri, maana umejibu kama unagombana vile...

Tafakari...

saa nyingine kukubali kushindwa ni uungwana kuliko kujibaraguza kiasi hiki, jamaa kakushika pabaya
 
saa nyingine kukubali kushindwa ni uungwana kuliko kujibaraguza kiasi hiki, jamaa kakushika pabaya


Nakubaliana na wewe, kipimo cha uungwana hakipimwi na muungwana mwenyewe bali upande wa pili wa muungwana...

Nimeonyesha kukubali kushindwa huku nikimpa tahadhali huyo unayeamini kuwa kanishika pabaya....alikuja kama anagombana...

Tafakari...
 
C mbaya tunamshukuru sana Mwakyembe wizara hii imeonekana asa bandarini na reli....
"Kweli kizur kamwe akdumu"..
 
Mbona wa tz hampendi ukwe?Mwakyemvbe Jembe! remember Richmond scandal
 
Acha urongo!
 
Kula "LIKE"kubwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…