Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 22,690
- 34,527
Kwani sasa hivi akimuunga mkono Ruto kwa njia ile ile hao wanasiasa wachanga watamfanya nini Ruto ?Uhuru Kenyatta alikua mnafiki, publicly alikua anamuunga mkono Odinga but behind alimuunga mkono Ruto.