Wong Fei
JF-Expert Member
- Apr 13, 2016
- 5,509
- 7,263
Kweny ule mgao wa wapiga dili wa ccm wa milion 10 ulipata fungu lako?unalialia kama kawaida..wewe una kazi gani kijana...tulia dawa ikuingie hamna namna.

Una matatizo pia una alergy kali sana itkusumbua sana usipofanya maombi na toba,mbona hujamsema Nape aliyetangaza na kusema wazi kuwa Marekani inaenda kupata Rais mwanamke tena akiongea kwa ujasiri kabisa we umewaona vijana wa CDM tu,Wadau, amani iwe kwenu.
Sipati picha hali ambayo hawa vijana wa CHADEMA waliyonayo hivi sasa.
1. Benard Rabiu Saanane aka Ben Rabiu wa Saanane
2. Nusrat Hanje
3. Asia Msangi
4. Peter Kibatala
5. Kumbusho Downson Kagine
6. Bob Chacha Wangwe
7. Christopher Cyrilo na wengineo wengi.
Hawa vijana walikuwa wanaanzisha mijadala kwenye mitandao ya kijamii wakimsifu, kumpamba na kumtukuza Mgombea wa Chama cha Democrat, Bi Hilary Clinton na kusema kuwa ndiye mgombea atakayeshinda Uchaguzi wa Marekani. Tena walienda mbali wakajimaliza kuwa Donald Trump hawezi kuchaguliwa kuwa Rais wa Marekani kwa sababu ni dikteta tena wakimfananisha na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli.
Walichokuwa wanafanya vijana hawa ni sawa na walichofanya kwa Edward Lowasa kwenye uchaguzi wa Oktoba 2015. Walimpamba sana Lowasa kupitia mitandao ya kijamii wakasahau kuwa wapiga kura wengi hawapo humu na wala hawafuatilii mijadala inayoanzishwa.
Kwa sasa hawa vijana wapo kwenye hali mbaya sana hasa kutokana na matokeo yanayoendelea kutangazwa kuonesha kuwa Donald Trump anaongoza. Kwa hakika huu nao ni mwaka wa hasara kwao.
Najua walikuwa wanamkumbatia sana Bi Hilary Clinton kwa sababu ni Moderate hasa kutokana na utawala wa Rais Obama kulifanya taifa la Marekani kuwa maficho ya vijana wengi wa Tanzania wanaoendelea kuwatukana viongozi wetu. Unaweza kurejea mijadala inayoanzishwa na Mange Kimambi anayeishi California ambaye sina hakika yupo hali gani mpaka sasa. Pia wapo akina Kalley Pandukizi ambao wameingia Marekani kwa njia za panya na hivyo Trump akitekeleza alichonadi kwenye kampeni, naona ishara za vijana hao kuikimbia Marekani.
Niwakumbushe tu ndugu zangu wa CHADEMA, siasa zina misingi yake. Si kila mnachokipenda mtakipata. Vingine mtaishia kula kwa macho tu.
Tanzania tuna mambo yatu ya ndani. Tuna serikali yetu na misingi yake. Si lazima tuitegemee MarekaniCCM ni chama makini sana na kimejengwa katika dhana ya umajumuhi wa kiafrika itautazama ushindi wa Trump kwa umakini mkubwa hasa kuhusika na hatma ya watu weusi.
Hukunielewa mkuu wangu, soma tena nilichoandika na kile ulichojibuTanzania tuna mambo yatu ya ndani. Tuna serikali yetu na misingi yake. Si lazima tuitegemee Marekani
Pongezi nyingi ziende kwa Donald Trump kwa ushindi wake ili awatie adabu viongozi wa AfrikaWadau, amani iwe kwenu.
Sipati picha hali ambayo hawa vijana wa CHADEMA waliyonayo hivi sasa.
1. Benard Rabiu Saanane aka Ben Rabiu wa Saanane
2. Nusrat Hanje
3. Asia Msangi
4. Peter Kibatala
5. Kumbusho Downson Kagine
6. Bob Chacha Wangwe
7. Christopher Cyrilo na wengineo wengi.
Hawa vijana walikuwa wanaanzisha mijadala kwenye mitandao ya kijamii wakimsifu, kumpamba na kumtukuza Mgombea wa Chama cha Democrat, Bi Hilary Clinton na kusema kuwa ndiye mgombea atakayeshinda Uchaguzi wa Marekani. Tena walienda mbali wakajimaliza kuwa Donald Trump hawezi kuchaguliwa kuwa Rais wa Marekani kwa sababu ni dikteta tena wakimfananisha na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli.
Walichokuwa wanafanya vijana hawa ni sawa na walichofanya kwa Edward Lowasa kwenye uchaguzi wa Oktoba 2015. Walimpamba sana Lowasa kupitia mitandao ya kijamii wakasahau kuwa wapiga kura wengi hawapo humu na wala hawafuatilii mijadala inayoanzishwa.
Kwa sasa hawa vijana wapo kwenye hali mbaya sana hasa kutokana na matokeo yanayoendelea kutangazwa kuonesha kuwa Donald Trump anaongoza. Kwa hakika huu nao ni mwaka wa hasara kwao.
Najua walikuwa wanamkumbatia sana Bi Hilary Clinton kwa sababu ni Moderate hasa kutokana na utawala wa Rais Obama kulifanya taifa la Marekani kuwa maficho ya vijana wengi wa Tanzania wanaoendelea kuwatukana viongozi wetu. Unaweza kurejea mijadala inayoanzishwa na Mange Kimambi anayeishi California ambaye sina hakika yupo hali gani mpaka sasa. Pia wapo akina Kalley Pandukizi ambao wameingia Marekani kwa njia za panya na hivyo Trump akitekeleza alichonadi kwenye kampeni, naona ishara za vijana hao kuikimbia Marekani.
Niwakumbushe tu ndugu zangu wa CHADEMA, siasa zina misingi yake. Si kila mnachokipenda mtakipata. Vingine mtaishia kula kwa macho tu.
Umenena mkuu sasa hivi wameshikwa na kihorohahaha madikteta uchwara waanze kuchimba mashimo wale wanaokandamiza democrasia imekula kwao........
mtu anavunja katiba hivihivi ............
anaishi ikulu miaka 50
Mtanyooka tu mwaka huu mbano ni kila upandeHahahahahaaaaaa! Naona kama kawaida yenu mmeanza kubadili gia angani
Hasa afriika ya masharikiTrump ni mtetezi wa wananchi wanaodhulumiwa na viongozi madikteta hasa Afrika.
Nakumbuka alisema hatakubali matokeo kama patakuwa na wizi wa Kura.
Trump,leta moto huo Afrika ili Chaguzi ziwe huru na haki.
Mkuu Wakudadavua ni muosha gari la kinara wa wabunge tu hana loloteUlipata milion 10 za wapiga dili, mafisadi na wararushwa za wabunge wa ccm?
Km haujapata huu mgao wa milion 10 muone wakudadavua akupe rushwa yako ya milion 10
Mtamkoma Trump hataki kabisa udikteta barani AfrikaMungu hapendagi ujinga ujinga, kila wagusacho hawa jamaa kinawateleza.
Sasa hivi matumbo jotoAfrica must be colonized again. kwa hili hata mkuu wetu Wa nchi hana amani. hivyo siyo hao tu uliowazungumzia
Haha haa,ok,thanksMkuu, niliowataja ni wale CHADEMA kindakindaki ambao wanajaribu kutuaminisha humu kuwa wanachokiamini ndio cha kweli. Sasa wamepigwa!
Definition ya udikteta kwenu nayo ni mtihani, jpm na trump ni team moja, labda wote madikteta.Mtamkoma Trump hataki kabisa udikteta barani Afrika
MtakomaDefinition ya udikteta kwenu nayo ni mtihani, jpm na trump ni team moja, labda wote madikteta.
unazunguka weeeeeee lkn hujui unachokificha hapo...Wadau, amani iwe kwenu.