Mwaka wa Hasara kwa Team CHADEMA Mitandaoni

Umemwelewa vibaya. Hana urafiki na vuongozi wabinafsi, wazembe, ombaomba, lialia, fisadi, na wa aina hiyo, hasa Afrika.

Hivyo kimtazamo wa uongozi hatofautiani na Rais Magufuli. Ni kuisoma namba tum

Trump ninachompendea amesema wazi kwamba viongozi wa Afrika wanawanyonya wapiga kura Maskini kwa kuwarundikia kodi lukuki.Kwa hiyo atashughulika na Viongozi dhulumati kwa manufaa ya wananchi Maskini.
Vilevile alinikosha aliposema wazi kwamba hatakubali Matokeo ya kushindwa kama atahisi kuna wizi wa Kura.
Karibu Trump,uinyooshe Afrika.
 
Mbona hata makada wa ccm walikuwa team Hilary
1. william malecela a.k.a le mutuz
2. Mange kimambi
3. mashaka Matata
4. Iene Mwamfupe
5. Nassoro Awadh
n.k
hivi wanawalipa hiyo buku saba kwa thread au comment?
Hapo muondoe Mange Kimambi
 
Umemwelewa vibaya. Hana urafiki na vuongozi wabinafsi, wazembe, ombaomba, lialia, fisadi, na wa aina hiyo, hasa Afrika.

Hivyo kimtazamo wa uongozi hatofautiani na Rais Magufuli. Ni kuisoma namba tum
Magufuli anazidi kupata marais wa aina yake.
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Sipati picha hali ambayo hawa vijana wa CHADEMA waliyonayo hivi sasa.

1. Benard Rabiu Saanane aka Ben Rabiu wa Saanane
2. Nusrat Hanje
3. Asia Msangi
4. Peter Kibatala
5. Kumbusho Downson Kagine
6. Bob Chacha Wangwe
7. Christopher Cyrilo na wengineo wengi.

Hawa vijana walikuwa wanaanzisha mijadala kwenye mitandao ya kijamii wakimsifu, kumpamba na kumtukuza Mgombea wa Chama cha Democrat, Bi Hilary Clinton na kusema kuwa ndiye mgombea atakayeshinda Uchaguzi wa Marekani. Tena walienda mbali wakajimaliza kuwa Donald Trump hawezi kuchaguliwa kuwa Rais wa Marekani kwa sababu ni dikteta tena wakimfananisha na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli.

Walichokuwa wanafanya vijana hawa ni sawa na walichofanya kwa Edward Lowasa kwenye uchaguzi wa Oktoba 2015. Walimpamba sana Lowasa kupitia mitandao ya kijamii wakasahau kuwa wapiga kura wengi hawapo humu na wala hawafuatilii mijadala inayoanzishwa.

Kwa sasa hawa vijana wapo kwenye hali mbaya sana hasa kutokana na matokeo yanayoendelea kutangazwa kuonesha kuwa Donald Trump anaongoza. Kwa hakika huu nao ni mwaka wa hasara kwao.

Najua walikuwa wanamkumbatia sana Bi Hilary Clinton kwa sababu ni Moderate hasa kutokana na utawala wa Rais Obama kulifanya taifa la Marekani kuwa maficho ya vijana wengi wa Tanzania wanaoendelea kuwatukana viongozi wetu. Unaweza kurejea mijadala inayoanzishwa na Mange Kimambi anayeishi California ambaye sina hakika yupo hali gani mpaka sasa. Pia wapo akina Kalley Pandukizi ambao wameingia Marekani kwa njia za panya na hivyo Trump akitekeleza alichonadi kwenye kampeni, naona ishara za vijana hao kuikimbia Marekani.

Niwakumbushe tu ndugu zangu wa CHADEMA, siasa zina misingi yake. Si kila mnachokipenda mtakipata. Vingine mtaishia kula kwa macho tu.
mtu kama wewe huwezi chukuliwa kwa uzito Republican party ni chama rafiki cha chadema nadhani Lizaboni mwambie mwenyekiti wako ajikombe kwa Trump manake hana mchezo na madikteta wa Africa kama alivyo Magufuri
 
Lizaboni hivi hauna kitu kingine cha kuongelea kwa ustawi wa nchi kwa ujumla?

Mambo kama ya kiuchumi na kijamii yasiyoonyesha utofauti wa kiitikadi ya kisiasa.
Mkuu huyu hawezi kuwa nayo kabisaa. Ni umbea umemjaa sana na kujipendekeza kwa watawala.
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Sipati picha hali ambayo hawa vijana wa CHADEMA waliyonayo hivi sasa.

1. Benard Rabiu Saanane aka Ben Rabiu wa Saanane
2. Nusrat Hanje
3. Asia Msangi
4. Peter Kibatala
5. Kumbusho Downson Kagine
6. Bob Chacha Wangwe
7. Christopher Cyrilo na wengineo wengi.

Hawa vijana walikuwa wanaanzisha mijadala kwenye mitandao ya kijamii wakimsifu, kumpamba na kumtukuza Mgombea wa Chama cha Democrat, Bi Hilary Clinton na kusema kuwa ndiye mgombea atakayeshinda Uchaguzi wa Marekani. Tena walienda mbali wakajimaliza kuwa Donald Trump hawezi kuchaguliwa kuwa Rais wa Marekani kwa sababu ni dikteta tena wakimfananisha na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli.

Walichokuwa wanafanya vijana hawa ni sawa na walichofanya kwa Edward Lowasa kwenye uchaguzi wa Oktoba 2015. Walimpamba sana Lowasa kupitia mitandao ya kijamii wakasahau kuwa wapiga kura wengi hawapo humu na wala hawafuatilii mijadala inayoanzishwa.

Kwa sasa hawa vijana wapo kwenye hali mbaya sana hasa kutokana na matokeo yanayoendelea kutangazwa kuonesha kuwa Donald Trump anaongoza. Kwa hakika huu nao ni mwaka wa hasara kwao.

Najua walikuwa wanamkumbatia sana Bi Hilary Clinton kwa sababu ni Moderate hasa kutokana na utawala wa Rais Obama kulifanya taifa la Marekani kuwa maficho ya vijana wengi wa Tanzania wanaoendelea kuwatukana viongozi wetu. Unaweza kurejea mijadala inayoanzishwa na Mange Kimambi anayeishi California ambaye sina hakika yupo hali gani mpaka sasa. Pia wapo akina Kalley Pandukizi ambao wameingia Marekani kwa njia za panya na hivyo Trump akitekeleza alichonadi kwenye kampeni, naona ishara za vijana hao kuikimbia Marekani.

Niwakumbushe tu ndugu zangu wa CHADEMA, siasa zina misingi yake. Si kila mnachokipenda mtakipata. Vingine mtaishia kula kwa macho tu.
hebu elezea kuhusu demokrasia ulivyo huko juu,,,
 
Usiniweke ktk makundi ya siasa. Elewa nilicho kuambia mambo ya siasa za vijembe na kupashana hapa nchini ndio yanayorudisha maendeleo nyuma miaka na miaka mambo ya kinafki tu Ila is msingi hayana ufwatiliaji kabisa
Utoto unamsumbua akikua nadhani atajirekebisha na hoja maji taka zake.
 
Trump ninachompendea amesema wazi kwamba viongozi wa Afrika wanawanyonya wapiga kura Maskini kwa kuwarundikia kodi lukuki.Kwa hiyo atashughulika na Viongozi dhulumati kwa manufaa ya wananchi Maskini.
Vilevile alinikosha aliposema wazi kwamba hatakubali Matokeo ya kushindwa kama atahisi kuna wizi wa Kura.
Karibu Trump,uinyooshe Afrika.
Hahahahahaaaaaa! Leo wanafiki wanaonekana
 
Magufuli anazidi kupata marais wa aina yake.
Magufuli hawezi kupatana na Trump hapendi madikteta kama Magufuli na mtu asiye na dira kama yeye anataabu sana kwa Trump matusi aliyotukna kwamba yupo na wachina aangalie sana anachokisema asije tuingiza kwenye mtinange
 
Msiyempenda kaja. Koleo litaitwa koleo na si kijiko kikubwa.......Wale wapenzi wa 'political correctness' leo ni habari mbaya sana kwenu.
Mbuzi kafia kwa mpika supu. Na mpika supu hatakagi ujinga.
 
Hahahahahaaaaaa! Mwaka wa hasara. Sijui watakimbilia wapi sasa
Jana nilimuona Ben Saanane kwenye Azam Two (Alaasiri Lounge) eti naye ni mchambuzi wa siasa. Alichemsha big time kujifanya anaelewa siasa za marekani. Yule kijana ni mweupee kichwani.
 
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha, wasiyempenda kaja, hata kama ukitumia maneno mazuri kutafuta sympathy imekula kwenu
 
Wamarekani wamedhihirisha kwamba nyumba nyeupe (WHITE HOUSE) si mali ya chama au mtu mmoja tofauti na hapa kwetu ambapo wapumbavu wachache wanajaribu kuuaminisha umma ya kuwa "hakuna chama kinachoweza kuongoza tofauti na CCM". Kwa namna ya kipekee uchaguzi wa US umetuonyesha sura halisi ya namna Demokrasia inavyopaswa kuwa.
 
Jifunzeni huko sio kushabikia kila anashinda na kumuita wenu, ingekuwa wamarekani wana akili za kiccm saa hizi JECHA angeshafanya yake, jifunzeni kuachiana madaraka sio kuwa ving'ang'anizi.
 
Magufuli hawezi kupatana na Trump hapendi madikteta kama Magufuli na mtu asiye na dira kama yeye anataabu sana kwa Trump matusi aliyotukna kwamba yupo na wachina aangalie sana anachokisema asije tuingiza kwenye mtinange
Mwisho wa tawala za kibabe umewadia, wale waliokuwa hawataki kujaribiwa kwa sasa wajiandae kwa mitihani rasmi ..
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Sipati picha hali ambayo hawa vijana wa CHADEMA waliyonayo hivi sasa.

1. Benard Rabiu Saanane aka Ben Rabiu wa Saanane
2. Nusrat Hanje
3. Asia Msangi
4. Peter Kibatala
5. Kumbusho Downson Kagine
6. Bob Chacha Wangwe
7. Christopher Cyrilo na wengineo wengi.

Hawa vijana walikuwa wanaanzisha mijadala kwenye mitandao ya kijamii wakimsifu, kumpamba na kumtukuza Mgombea wa Chama cha Democrat, Bi Hilary Clinton na kusema kuwa ndiye mgombea atakayeshinda Uchaguzi wa Marekani. Tena walienda mbali wakajimaliza kuwa Donald Trump hawezi kuchaguliwa kuwa Rais wa Marekani kwa sababu ni dikteta tena wakimfananisha na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli.

Walichokuwa wanafanya vijana hawa ni sawa na walichofanya kwa Edward Lowasa kwenye uchaguzi wa Oktoba 2015. Walimpamba sana Lowasa kupitia mitandao ya kijamii wakasahau kuwa wapiga kura wengi hawapo humu na wala hawafuatilii mijadala inayoanzishwa.

Kwa sasa hawa vijana wapo kwenye hali mbaya sana hasa kutokana na matokeo yanayoendelea kutangazwa kuonesha kuwa Donald Trump anaongoza. Kwa hakika huu nao ni mwaka wa hasara kwao.

Najua walikuwa wanamkumbatia sana Bi Hilary Clinton kwa sababu ni Moderate hasa kutokana na utawala wa Rais Obama kulifanya taifa la Marekani kuwa maficho ya vijana wengi wa Tanzania wanaoendelea kuwatukana viongozi wetu. Unaweza kurejea mijadala inayoanzishwa na Mange Kimambi anayeishi California ambaye sina hakika yupo hali gani mpaka sasa. Pia wapo akina Kalley Pandukizi ambao wameingia Marekani kwa njia za panya na hivyo Trump akitekeleza alichonadi kwenye kampeni, naona ishara za vijana hao kuikimbia Marekani.

Niwakumbushe tu ndugu zangu wa CHADEMA, siasa zina misingi yake. Si kila mnachokipenda mtakipata. Vingine mtaishia kula kwa macho tu.

Wamenyong'onyea kama jongoo,
Tanzania sipati picha hapa Trump, huku JPM raha sana.
 
Back
Top Bottom