Mwaka wa Hasara kwa Team CHADEMA Mitandaoni

Wadau, amani iwe kwenu.

Sipati picha hali ambayo hawa vijana wa CHADEMA waliyonayo hivi sasa.

1. Benard Rabiu Saanane aka Ben Rabiu wa Saanane
2. Nusrat Hanje
3. Asia Msangi
4. Peter Kibatala
5. Kumbusho Downson Kagine
6. Bob Chacha Wangwe
7. Christopher Cyrilo na wengineo wengi.

Hawa vijana walikuwa wanaanzisha mijadala kwenye mitandao ya kijamii wakimsifu, kumpamba na kumtukuza Mgombea wa Chama cha Democrat, Bi Hilary Clinton na kusema kuwa ndiye mgombea atakayeshinda Uchaguzi wa Marekani. Tena walienda mbali wakajimaliza kuwa Donald Trump hawezi kuchaguliwa kuwa Rais wa Marekani kwa sababu ni dikteta tena wakimfananisha na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli.

Walichokuwa wanafanya vijana hawa ni sawa na walichofanya kwa Edward Lowasa kwenye uchaguzi wa Oktoba 2015. Walimpamba sana Lowasa kupitia mitandao ya kijamii wakasahau kuwa wapiga kura wengi hawapo humu na wala hawafuatilii mijadala inayoanzishwa.

Kwa sasa hawa vijana wapo kwenye hali mbaya sana hasa kutokana na matokeo yanayoendelea kutangazwa kuonesha kuwa Donald Trump anaongoza. Kwa hakika huu nao ni mwaka wa hasara kwao.

Najua walikuwa wanamkumbatia sana Bi Hilary Clinton kwa sababu ni Moderate hasa kutokana na utawala wa Rais Obama kulifanya taifa la Marekani kuwa maficho ya vijana wengi wa Tanzania wanaoendelea kuwatukana viongozi wetu. Unaweza kurejea mijadala inayoanzishwa na Mange Kimambi anayeishi California ambaye sina hakika yupo hali gani mpaka sasa. Pia wapo akina Kalley Pandukizi ambao wameingia Marekani kwa njia za panya na hivyo Trump akitekeleza alichonadi kwenye kampeni, naona ishara za vijana hao kuikimbia Marekani.

Niwakumbushe tu ndugu zangu wa CHADEMA, siasa zina misingi yake. Si kila mnachokipenda mtakipata. Vingine mtaishia kula kwa macho tu.
Ila kweli wewe unapenda kuandika vitu vya ovyo ovyo sana kwahiyo ulitaka mawazo yoa yafanane na yako? Unaacha kupngelea Ten M unaleta habari ya ajabu kabisa, utafikiri chadema ndio hao uliowataja pekee, jaribu kubadilika, ngoja Trump aje Zanzibar ndio nitakuona kwenye mitandao, nawasilisha tu hoja.
 
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA)

TAARIFA KWA UMMA –UCHAGUZI MKUU WA MAREKANI

· Pongezi kwa Rais Mteule

· Ni ushindi wetu IDU

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinawapongeza wananchi wa Marekani kwa kufanya uchaguzi wao kwa njia ya amani hapo tarehe 09.11.2016, na kukamilisha kampeni za kumpata kiongozi wa Nchi hiyo.

Tunapenda kumpongeza Rais Mteule Mhe.Donald Trump na Chama chake cha Republican ambao ni wanachama wa IDU kwa ushindi wa kihistoria walioupata , na zaidi tunampongeza rais mteule Trump kwa hotuba yake ya awali ya kuwashukuru wananchi wa Marekani na hasa aliposema kuwa anaahidi kwa wananchi wote wa Marekani kuwa anaenda kuwa rais wa wote, na kuwa hilo ni jambo la umuhimu wa kipekee kwake .

“I pledge to every citizen of our land that I will be President for all Americans and this is so Important to me”

Ushindi huu ni ushindi wetu sisi wanachama wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kidemokrasia (International Democratic Union-IDU)na unatuma salaam nzito kwa Madikteta popote pale walipo kuwa utawala mpya wa Marekani hautavumilia kuona Madikteta ambao wanaminya Demokrasia na Haki za Binadamu, kama alivyoahidi wakati wa Kampeni zake .

Tunaahidi kumpa ushirikiano wote kwenye vikao vya IDU ambavyo sisi tunashiriki kama wanachama wa umoja huu na tutampatia kila aina ya taarifa sahihi kadiri ya uwezo wetu kuhusu hali ya Haki za Binadamu na Demokrasia nchini Tanzania na Barani Afrika.

Mwisho, tunampongeza Hillary Clinton kwa kufanya kampeni za kihistoria na kukubali matokeo ya kura .

Imetolewa leo tarehe 09.11.2016

John Mrema –Mkurugenzi wa Itikadi, Mawasiliano na Mambo ya Nje.
 
Badala ya kumfubdisha kuandika Kiingereza Mwenyekiti wake Taifa yupo tu na Kupambana na Ben Saanane na Akina Kibatala.
 
hahaha madikteta uchwara waanze kuchimba mashimo wale wanaokandamiza democrasia imekula kwao........

mtu anavunja katiba hivihivi ............
anaishi ikulu miaka 50

Bahati mbaya huyu siyo democrat ni Republican sawasawa na Mh. JPM mmelamba garasa...na miradi ile fake yote ya off shore mkaichimbue na ku dispose dunia haitaki ujinga!
 
Tena ungejua kuwa Trump ataanza na waroho wa madaraka kama Magufuli na CCM yake,Mugabe,Kabila,na Nkurunzinza.
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Sipati picha hali ambayo hawa vijana wa CHADEMA waliyonayo hivi sasa.

1. Benard Rabiu Saanane aka Ben Rabiu wa Saanane
2. Nusrat Hanje
3. Asia Msangi
4. Peter Kibatala
5. Kumbusho Downson Kagine
6. Bob Chacha Wangwe
7. Christopher Cyrilo na wengineo wengi.

Hawa vijana walikuwa wanaanzisha mijadala kwenye mitandao ya kijamii wakimsifu, kumpamba na kumtukuza Mgombea wa Chama cha Democrat, Bi Hilary Clinton na kusema kuwa ndiye mgombea atakayeshinda Uchaguzi wa Marekani. Tena walienda mbali wakajimaliza kuwa Donald Trump hawezi kuchaguliwa kuwa Rais wa Marekani kwa sababu ni dikteta tena wakimfananisha na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli.

Walichokuwa wanafanya vijana hawa ni sawa na walichofanya kwa Edward Lowasa kwenye uchaguzi wa Oktoba 2015. Walimpamba sana Lowasa kupitia mitandao ya kijamii wakasahau kuwa wapiga kura wengi hawapo humu na wala hawafuatilii mijadala inayoanzishwa.

Kwa sasa hawa vijana wapo kwenye hali mbaya sana hasa kutokana na matokeo yanayoendelea kutangazwa kuonesha kuwa Donald Trump anaongoza. Kwa hakika huu nao ni mwaka wa hasara kwao.

Najua walikuwa wanamkumbatia sana Bi Hilary Clinton kwa sababu ni Moderate hasa kutokana na utawala wa Rais Obama kulifanya taifa la Marekani kuwa maficho ya vijana wengi wa Tanzania wanaoendelea kuwatukana viongozi wetu. Unaweza kurejea mijadala inayoanzishwa na Mange Kimambi anayeishi California ambaye sina hakika yupo hali gani mpaka sasa. Pia wapo akina Kalley Pandukizi ambao wameingia Marekani kwa njia za panya na hivyo Trump akitekeleza alichonadi kwenye kampeni, naona ishara za vijana hao kuikimbia Marekani.

Niwakumbushe tu ndugu zangu wa CHADEMA, siasa zina misingi yake. Si kila mnachokipenda mtakipata. Vingine mtaishia kula kwa macho tu.
Watailalamikia tume ya uchaguzi haikutenda haki. Ndio kawaida yao. Waswahili hunena ngoma ya kitoto haikeshi.
 
Mbona unajihami? Usijaribu kupotosha hapa, msimamo wa Trump unaeleweka ni viongozi wa aina gani wanaenda kuathirika na uongozi wake, wewe jipe matumaini ya muda kwa kutumia mtazamo binafsi wa akina Ben. Wakubwa wako jasho linawatoka huko waliko wewe unajipa matumaini hewa hapa kijiweni!
 
Trump siyo chaguo la ccm usijidanganye lizaboni, viongozi wa ccm ndo wanaotaka kukaa ikulu milele walafi kuliko fisi
 
demekrasia na iheshimiwe hasa ya marekani a.k.a Us, naona umekuwa mchambuzi wa masuala ya kisiasa ya marekani hasa baada ya matokeo, anyway huna unachoamini zaidi ya siasa mufilisi za imani

sina chama kwa sasa ila nitamuamini na kumuunga mkono mwanasiasa wa kweli kama magufuli na lowassa bila kujali itikadi zao za vyama
viva tanzania
 
Tuendelee kujikumbusha tu.., maneno adhimu kutoka kwa Rais wa 45 wa Marekani.., Donald John Trump..,

“Africa Should Be Recolonized For Another 100Yrs,” – Trump

"It is shameful for African leaders to seek exit from ICC. In my view, these leaders want to have all the freedom to oppress their poor people without anyone asking them a question."

"I think there is no shortcut to maturity and in my view, Africa should be recolonized again for another 100 years because Africans are still under slavery, they know nothing about leadership and self governance."

"Look at how those African leaders change constitutions in their favour so that they can be life presidents. They are all greedy and do not care about the common people."

"When I saw them gang up against ICC yet they can’t even find an amicable solution for the ongoing quandary in Burundi, I thought to myself these people lack discipline and humane heart"

"They can’t lead by example. The only thing they are interested in is accumulating wealth from poor tax payers."
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Sipati picha hali ambayo hawa vijana wa CHADEMA waliyonayo hivi sasa.

1. Benard Rabiu Saanane aka Ben Rabiu wa Saanane
2. Nusrat Hanje
3. Asia Msangi
4. Peter Kibatala
5. Kumbusho Downson Kagine
6. Bob Chacha Wangwe
7. Christopher Cyrilo na wengineo wengi.

Hawa vijana walikuwa wanaanzisha mijadala kwenye mitandao ya kijamii wakimsifu, kumpamba na kumtukuza Mgombea wa Chama cha Democrat, Bi Hilary Clinton na kusema kuwa ndiye mgombea atakayeshinda Uchaguzi wa Marekani. Tena walienda mbali wakajimaliza kuwa Donald Trump hawezi kuchaguliwa kuwa Rais wa Marekani kwa sababu ni dikteta tena wakimfananisha na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli.

Walichokuwa wanafanya vijana hawa ni sawa na walichofanya kwa Edward Lowasa kwenye uchaguzi wa Oktoba 2015. Walimpamba sana Lowasa kupitia mitandao ya kijamii wakasahau kuwa wapiga kura wengi hawapo humu na wala hawafuatilii mijadala inayoanzishwa.

Kwa sasa hawa vijana wapo kwenye hali mbaya sana hasa kutokana na matokeo yanayoendelea kutangazwa kuonesha kuwa Donald Trump anaongoza. Kwa hakika huu nao ni mwaka wa hasara kwao.

Najua walikuwa wanamkumbatia sana Bi Hilary Clinton kwa sababu ni Moderate hasa kutokana na utawala wa Rais Obama kulifanya taifa la Marekani kuwa maficho ya vijana wengi wa Tanzania wanaoendelea kuwatukana viongozi wetu. Unaweza kurejea mijadala inayoanzishwa na Mange Kimambi anayeishi California ambaye sina hakika yupo hali gani mpaka sasa. Pia wapo akina Kalley Pandukizi ambao wameingia Marekani kwa njia za panya na hivyo Trump akitekeleza alichonadi kwenye kampeni, naona ishara za vijana hao kuikimbia Marekani.

Niwakumbushe tu ndugu zangu wa CHADEMA, siasa zina misingi yake. Si kila mnachokipenda mtakipata. Vingine mtaishia kula kwa macho tu.

Ni kichekesho kizuri.
 
Back
Top Bottom