Mwaka wa Hasara kwa Team CHADEMA Mitandaoni

Ya
Dawa yenu ni Trump tu hizi njia mnazotumia kuishi kilaghai na kudanganya wananchi sasa zimekaribia kufikia mwishoni.

Dhuluma ya zanzibar sasa imefika mwisho wake kiboko yenu kaingia nyie makaburu weusi.

Yaani wanajitengenezea mazingira kuwa karibu na Trump
amesha fanya research huyo kuwa pesa zilizofichwa nje na makaburu weusi ni nyingi mno kuliko wanazo support wao huku hivyo ni lazima zirudishwe
 
Magufuli anazidi kupata marais wa aina yake.
Mtazamo wa kiutawala na kusiasa (Taifa na rasmali zake kwanza) utabadilika sasa dunia.

CHADEMA walikuwa na mtizamo huo lakini njiani ukabadili gia. Viongozi wake wamebaki kulalama na kushutumu tu huku nchi ikisinga mbele.
 
Umemwelewa vibaya. Hana urafiki na vuongozi wabinafsi, wazembe, ombaomba, lialia, fisadi, na wa aina hiyo, hasa Afrika.

Hivyo kimtazamo wa uongozi hatofautiani na Rais Magufuli. Ni kuisoma namba tum
Hahah eti hauna tofaut na jpm..mnachekesha sana
 
Hata muwe wa kwanza kupongeza rungu lake litawaangukia miunguwatu na wabaka demokrasia popote pale walipo.
Sina uhakika kama wajua maana ya demokrasia! Hivi inabakwaje?

Utawala wa wengi (kupitia chaguzi) ndiyo demokrasia.
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Sipati picha hali ambayo hawa vijana wa CHADEMA waliyonayo hivi sasa.

1. Benard Rabiu Saanane aka Ben Rabiu wa Saanane
2. Nusrat Hanje
3. Asia Msangi
4. Peter Kibatala
5. Kumbusho Downson Kagine
6. Bob Chacha Wangwe
7. Christopher Cyrilo na wengineo wengi.

Hawa vijana walikuwa wanaanzisha mijadala kwenye mitandao ya kijamii wakimsifu, kumpamba na kumtukuza Mgombea wa Chama cha Democrat, Bi Hilary Clinton na kusema kuwa ndiye mgombea atakayeshinda Uchaguzi wa Marekani. Tena walienda mbali wakajimaliza kuwa Donald Trump hawezi kuchaguliwa kuwa Rais wa Marekani kwa sababu ni dikteta tena wakimfananisha na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli.

Walichokuwa wanafanya vijana hawa ni sawa na walichofanya kwa Edward Lowasa kwenye uchaguzi wa Oktoba 2015. Walimpamba sana Lowasa kupitia mitandao ya kijamii wakasahau kuwa wapiga kura wengi hawapo humu na wala hawafuatilii mijadala inayoanzishwa.

Kwa sasa hawa vijana wapo kwenye hali mbaya sana hasa kutokana na matokeo yanayoendelea kutangazwa kuonesha kuwa Donald Trump anaongoza. Kwa hakika huu nao ni mwaka wa hasara kwao.

Najua walikuwa wanamkumbatia sana Bi Hilary Clinton kwa sababu ni Moderate hasa kutokana na utawala wa Rais Obama kulifanya taifa la Marekani kuwa maficho ya vijana wengi wa Tanzania wanaoendelea kuwatukana viongozi wetu. Unaweza kurejea mijadala inayoanzishwa na Mange Kimambi anayeishi California ambaye sina hakika yupo hali gani mpaka sasa. Pia wapo akina Kalley Pandukizi ambao wameingia Marekani kwa njia za panya na hivyo Trump akitekeleza alichonadi kwenye kampeni, naona ishara za vijana hao kuikimbia Marekani.

Niwakumbushe tu ndugu zangu wa CHADEMA, siasa zina misingi yake. Si kila mnachokipenda mtakipata. Vingine mtaishia kula kwa macho tu.

WE MSHANGILIE TUU, LAKINI MADHARA YA KUIBA KURA UTAKUJA YASEMA BAADAE.
 
5959eac32ca7823cc778a4ebd25bbe40.jpg

Mwingine huyuuu
 
Mkuu ni mwaka wa msiba chadema....wapiga ramli wao na media walizozinunua ndio anguko lao kama ambayo imetokea kwa Clinton.
Hamna vitu vingine vya kufanya? Meshika nchi bado umbeya tu umewakaa.
Haya uliyotatolea thread yana mnufaishije mtanzania?

Mm nilitegemea utaleta uzi wa wabunge wapiga dili na mafisadi wa ccm wanapandihwa kwenye mahakama ya mafisadi.
Umemshauri mwenyekiti wenu achiliie fao la kujitoa na ajira za vijana wetu
wameongeza mikopo kwa wanafunzi n.k

NAAMINI KUPITIA HAWA WAWAKILISHI WA CCM TUSITEGEE MAENDELEO KBSA.

Km mtu uahikiki tu umemshinda tunategemea maendeleo kweli?
Mtu anasimamisha ajira ili afanye uhakiki, wa hiv siku akianza kujenga viwanda, umeme hautakuwepo mwaka mzima ili amalize kujenga.

Kwa mwendo wa kobe wa ccm na wapiga dili wao wa milion 10, tusigetemee maendeleo
 
Hahahahahaaaaaaaaa! Poleni sana. Kwani si mlikuwa mnamlinganisha JPM na Trump? Sasa atamshughulikiaje swahiba wake?

Trump ameshasema anaanza na Museveni , Mugabe then back to Tanzania.

Trump ameshasema hatotoa msaada kwa nchi za kipumbavu kama Tz
 
Hahahahahaaaaaaaaa! Poleni sana. Kwani si mlikuwa mnamlinganisha JPM na Trump? Sasa atamshughulikiaje swahiba wake?

Trump ameshasema anaanza na Museveni , Mugabe then back to Tanzania.

Trump ameshasema hatotoa msaada kwa nchi za kipumbavu kama Tz.

mwaka wa shetani kwa maCCM
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Sipati picha hali ambayo hawa vijana wa CHADEMA waliyonayo hivi sasa.

1. Benard Rabiu Saanane aka Ben Rabiu wa Saanane
2. Nusrat Hanje
3. Asia Msangi
4. Peter Kibatala
5. Kumbusho Downson Kagine
6. Bob Chacha Wangwe
7. Christopher Cyrilo na wengineo wengi.

Hawa vijana walikuwa wanaanzisha mijadala kwenye mitandao ya kijamii wakimsifu, kumpamba na kumtukuza Mgombea wa Chama cha Democrat, Bi Hilary Clinton na kusema kuwa ndiye mgombea atakayeshinda Uchaguzi wa Marekani. Tena walienda mbali wakajimaliza kuwa Donald Trump hawezi kuchaguliwa kuwa Rais wa Marekani kwa sababu ni dikteta tena wakimfananisha na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli.

Walichokuwa wanafanya vijana hawa ni sawa na walichofanya kwa Edward Lowasa kwenye uchaguzi wa Oktoba 2015. Walimpamba sana Lowasa kupitia mitandao ya kijamii wakasahau kuwa wapiga kura wengi hawapo humu na wala hawafuatilii mijadala inayoanzishwa.

Kwa sasa hawa vijana wapo kwenye hali mbaya sana hasa kutokana na matokeo yanayoendelea kutangazwa kuonesha kuwa Donald Trump anaongoza. Kwa hakika huu nao ni mwaka wa hasara kwao.

Najua walikuwa wanamkumbatia sana Bi Hilary Clinton kwa sababu ni Moderate hasa kutokana na utawala wa Rais Obama kulifanya taifa la Marekani kuwa maficho ya vijana wengi wa Tanzania wanaoendelea kuwatukana viongozi wetu. Unaweza kurejea mijadala inayoanzishwa na Mange Kimambi anayeishi California ambaye sina hakika yupo hali gani mpaka sasa. Pia wapo akina Kalley Pandukizi ambao wameingia Marekani kwa njia za panya na hivyo Trump akitekeleza alichonadi kwenye kampeni, naona ishara za vijana hao kuikimbia Marekani.

Niwakumbushe tu ndugu zangu wa CHADEMA, siasa zina misingi yake. Si kila mnachokipenda mtakipata. Vingine mtaishia kula kwa macho tu.
Jana Mkuu wa Mkoa anayependwa na Mh Rais,ndugu Gambo katika ukurasa wake wa facebook alimpamba bibi Clinton na kujinasibu ndiye nayepaswa na ndiye atakayekuwa mshindi wa kiti cha Urais. Vipi huyu ni CHADEMA?Husitake kupotosha hapa baada ya mambo kuowaendea vema,Nyinyi ndio hasa mlitamani Clinton ashinde.
 
Wamenyong'onyea kama jongoo,
Tanzania sipati picha hapa Trump, huku JPM raha sana.
aisee kumbe munajuwa kiboko cha Magufuli kimefika ndio maana munafanya damage control dikteta kama Magufuli kwa Trump atanyamazishwa baada ya kuapishwa January ataanza na la Zanzibar
 
Jana Mkuu wa Mkoa anayependwa na Mh Rais,ndugu Gambo katika ukurasa wake wa facebook alimpamba bibi Clinton na kujinasibu ndiye nayepaswa na ndiye atakayekuwa mshindi wa kiti cha Urais. Vipi huyu ni CHADEMA?Husitake kupotosha hapa baada ya mambo kuowaendea vema,Nyinyi ndio hasa mlitamani Clinton ashinde.
Wanajuwa kabisa kwamba Republican ni chama rafiki wa chadema ila wana spin kwa sababu hawakutegemea Magufuli huko Zanzibar alikosema atanyowa ndevu watu ajiandae
 
Naona wana ccm wanajipanga tena kwa bao la mkono 2020 mambo yakiwa magumu wana jechalize tu km zenji.
Iliniuma sana kuona wameshindwa halafu wanarudia uchaguzi.
FISADI NI FISADI TU
Hamuwezi kushinda hata siku moja kwa sera zipi? Elimu ,elimu and Elimu na scandal kibao hamkushinda wala hamuwezi zinda hata siku moja sio duniani tuu hata mbinguni ipo hivyo. Jitambue na jipange watu wamewaonyesha hawataki mandumila kuwili.
 
Hamna vitu vingine vya kufanya? Meshika nchi bado umbeya tu umewakaa.
Haya uliyotatolea thread yana mnufaishije mtanzania?

Mm nilitegemea utaleta uzi wa wabunge wapiga dili na mafisadi wa ccm wanapandihwa kwenye mahakama ya mafisadi.
Umemshauri mwenyekiti wenu achiliie fao la kujitoa na ajira za vijana wetu
wameongeza mikopo kwa wanafunzi n.k

NAAMINI KUPITIA HAWA WAWAKILISHI WA CCM TUSITEGEE MAENDELEO KBSA.

Km mtu uahikiki tu umemshinda tunategemea maendeleo kweli?
Mtu anasimamisha ajira ili afanye uhakiki, wa hiv siku akianza kujenga viwanda, umeme hautakuwepo mwaka mzima ili amalize kujenga.

Kwa mwendo wa kobe wa ccm na wapiga dili wao wa milion 10, tusigetemee maendeleo
unalialia kama kawaida..wewe una kazi gani kijana...tulia dawa ikuingie hamna namna.
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Sipati picha hali ambayo hawa vijana wa CHADEMA waliyonayo hivi sasa.

1. Benard Rabiu Saanane aka Ben Rabiu wa Saanane
2. Nusrat Hanje
3. Asia Msangi
4. Peter Kibatala
5. Kumbusho Downson Kagine
6. Bob Chacha Wangwe
7. Christopher Cyrilo na wengineo wengi.

Hawa vijana walikuwa wanaanzisha mijadala kwenye mitandao ya kijamii wakimsifu, kumpamba na kumtukuza Mgombea wa Chama cha Democrat, Bi Hilary Clinton na kusema kuwa ndiye mgombea atakayeshinda Uchaguzi wa Marekani. Tena walienda mbali wakajimaliza kuwa Donald Trump hawezi kuchaguliwa kuwa Rais wa Marekani kwa sababu ni dikteta tena wakimfananisha na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli.

Walichokuwa wanafanya vijana hawa ni sawa na walichofanya kwa Edward Lowasa kwenye uchaguzi wa Oktoba 2015. Walimpamba sana Lowasa kupitia mitandao ya kijamii wakasahau kuwa wapiga kura wengi hawapo humu na wala hawafuatilii mijadala inayoanzishwa.

Kwa sasa hawa vijana wapo kwenye hali mbaya sana hasa kutokana na matokeo yanayoendelea kutangazwa kuonesha kuwa Donald Trump anaongoza. Kwa hakika huu nao ni mwaka wa hasara kwao.

Najua walikuwa wanamkumbatia sana Bi Hilary Clinton kwa sababu ni Moderate hasa kutokana na utawala wa Rais Obama kulifanya taifa la Marekani kuwa maficho ya vijana wengi wa Tanzania wanaoendelea kuwatukana viongozi wetu. Unaweza kurejea mijadala inayoanzishwa na Mange Kimambi anayeishi California ambaye sina hakika yupo hali gani mpaka sasa. Pia wapo akina Kalley Pandukizi ambao wameingia Marekani kwa njia za panya na hivyo Trump akitekeleza alichonadi kwenye kampeni, naona ishara za vijana hao kuikimbia Marekani.

Niwakumbushe tu ndugu zangu wa CHADEMA, siasa zina misingi yake. Si kila mnachokipenda mtakipata. Vingine mtaishia kula kwa macho tu.
Mbona mi cdm nilisema Trump atashinda?acha kusema uongo kama TB Joshua
 
Back
Top Bottom