Wakubwa zangu shikamooni!!!!!!!!
Peopleeeeeess Niaje (Kwa Masela) Habari za jioni (Civilized), Tumsifu yesu kristu (Roman), Bwana Asifiwe(Protetistants), Assalam Alaikum (السلام عليكم (Muslims) Mungu Ibariki Tanzania (Pagans)
Leo ni kati ya siku ambazo im more civilized than anybody! Naombeni ushauri, niko in a real familly fiasco!! Hapa natamani nistopishe jua kuwaka maana muda umeishaaaaa!
Sisi kama familia huwaga kila Mwanzo wa Mwaka 2/1 tunakaa as a family na kufanya misa pamoja na paroko na my aunt Sister/Nun ya kumshukuru mola kwa mema ya mwaka mzima, na kwa kuuona mwaka mpya!!!!! (Dnt be shocked i come frm a very religious family, huu ukuda ni kati ya zile zilizoanguka kwenye miiba, njiani na kwenye mwamba) Ni utaratibu mzuri sana kufanya as a family.
Baada ya ibada na family get together (sipendi kuosha mijombo baada ya watu kusaza!!!!! Mmmh!) tunakaa as a family NA KUREVIEW MALENGO YA KILA MMOJA ALIYOTOA MWAKA JANA!, UNAJIELEZEA UMEFIKIA WAPI?! UMEFANIKIWA YAPI!? VIKWAZO NINI?! USAIDIWAJE?! KAMA KUNA JANGA LILIKUPATA, UNAMALIZIA NA MWAKANI WAJIPANGAJE NA MALENGO MAPYA!!! Kila mtu anasema Kuanzia Mdingi hadi Beki tatu. Kila mtu manake kila mtu!!!!
Kwenye Tatizo langu sasa!!! Baada ya kila mtu kusema WALE WASHINDWAJI SUGUUUU (Hata lengo moja hamna kutimia) MNAFANYIWA MAOMBI MAALUMU sababu yawezekana si bureeeee!!!! Mizambiii imewazidii ili mpate baraka za ziada na Mungu awafanyie mizigo yenu myepesi!!!!! Sasa SAFU YA WASHIDWAJI SUGUUUU INAJULIKANAAA!!!!!!!! Ni safu ya aibu sanaaaaaa! Daaaaah! Ukikaa hii safu utafanya kazi kama mwehu usirudi tenaaa! Sasa mimi safu inaninukiaaaa! Mama yangu hapendi kabisaa mimi kukaa hii safu, hapa nae anahahahaa kuninusuru!!!
Sijatimiza hata lengo mojaaaa!!!! Nilitegemea ningekuwa Certified nimeshikwaaa!!!, Nilitegemea lile PROMO linitoe Bosi kabana ndo hivo hearing imeisha nimeshinda BONAS tuu ila PROMO badoooo sanaaa!!!! Nilitegemea Mchagga anihonge Gari (Nijifanye nimenunua), bado anasitasita na Kadi kaandika jina lake, mara anipe, mara achukue gari lake ilimradi purukushani!!!! Nilitegemea Niolewe au hata Nizae tuuu, wapiiiiii!!!!! Ningeanza hata msingi, wapiii!!! Hata hela ya kufyekea sinaaa!!!!! GUYS I GOT NOTHING TO SHOW!!!!! NOTHING!!!! NOTHING AT ALL!!!!!!!
Bora wale ambao Mungu hakuwabariki kazi nzuri( hata za mawazo kama yangu) wana cha kujikoshaaa!!! Mie zaidi ya KUTIRIRISHA MAJI YA DHAABU!!!! KUVAAAAAA!!!!! KUTREAT WATU!!!!! KUPARTY!!!!! KUPONDA MALI KUFA KWAJAAA!!!! SIJAFANYA LOLOTE LA MAANA!!!! KAZI IPO!!!! Nawaza jinsi ya kutoa USHUHUDA WA KUPOTOKA siku hiyooo!!!!!! PESA YA KUFANYA MUUJIZA HUU MWEZI ULIOBAKI SINAAAAA!!!!!
Hapa nangojea Muujiza tu, mtu anihonge Ghorofaaaa!!!! lolest!!!!!
Mwaka waishaaaa hivo wana jamvi!!!! MJIULIZE MMEFANYA NINI SIO KUJITIA MWANISIKITIKIA KUMBE NA NYIE HOLAAAAA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!?
Safi sana mumy pamoja nazawadi ya uhai Mungu alituambia tule kwa jasho na uvvu ni dhambi so kushukuru kwa uhai na pamoja na kuangalia nguvu Mungu aliyokupa umeitumiaje .ukweli me ikishafika October tu huwa naangalia na nimefanya nini kwa mwaka huo na kama sijafanya cha maana huwa nakosa raha kabisa i thanks God for about seven years past ni mwaka mja tu ulipita bila kufanya cha maan.hapa nilipo nimechoka coz for the whole year naweza kuhesabu masaa niliyolaa.nshafunga zangu mwaka tangu asubuhi ya leo naanza kula shushu mpaka january msoto uanze tena
Dah rafiki hapo kweli pagumu,, hayo mambo yangeingia kwenye familia yetu ni hata icho kikao ningefukuzwa kushiriki as navyopenda bia mpaka basi hayo malengo kila siku nayasogeza mbel...
But usikimbie kikao ingia pale na mipango ya kufa mtu kama kawa story za uongo na kweli kibao ambazo hadi kikao kinaisha wanakuwa hawajakuelewa umeongelea nini japokuwa wamekupigia makofi na vigelegele... Watoto wa kitaa tunasema IF YOU CANT CONVICE THEM, CONFUSE THEM.. Sasa wewe hapo ndo pa kuwa confuse na hizo story mpaka wapige makofi hata kama hawajaelewa ulichokamilisha
one day before kikao jifanye unaumwa kifua
*get together day jifanye SAUTI IMEKAUKA KABISAAA.. Ikiisha tu kesho umepona,..mzimaaa
Hahahahahah shosti lara 1, jipange upya aseeeee,pole mwaya!2dy am sick cna maneno mengi.
wakubwa zangu shikamooni!!!!!!!!
Peopleeeeeess niaje (kwa masela) habari za jioni (civilized), tumsifu yesu kristu (roman), bwana asifiwe(protetistants), assalam alaikum (السلام عليكم (muslims) mungu ibariki tanzania (pagans)
leo ni kati ya siku ambazo im more civilized than anybody! Naombeni ushauri, niko in a real familly fiasco!! Hapa natamani nistopishe jua kuwaka maana muda umeishaaaaa!
Sisi kama familia huwaga kila mwanzo wa mwaka 2/1 tunakaa as a family na kufanya misa pamoja na paroko na my aunt sister/nun ya kumshukuru mola kwa mema ya mwaka mzima, na kwa kuuona mwaka mpya!!!!! (dnt be shocked i come frm a very religious family, huu ukuda ni kati ya zile zilizoanguka kwenye miiba, njiani na kwenye mwamba) ni utaratibu mzuri sana kufanya as a family.
Baada ya ibada na family get together (sipendi kuosha mijombo baada ya watu kusaza!!!!! Mmmh!) tunakaa as a family na kureview malengo ya kila mmoja aliyotoa mwaka jana!, unajielezea umefikia wapi?! Umefanikiwa yapi!? Vikwazo nini?! Usaidiwaje?! Kama kuna janga lilikupata, unamalizia na mwakani wajipangaje na malengo mapya!!! Kila mtu anasema kuanzia mdingi hadi beki tatu. Kila mtu manake kila mtu!!!!
Kwenye tatizo langu sasa!!! Baada ya kila mtu kusema wale washindwaji suguuuu (hata lengo moja hamna kutimia) mnafanyiwa maombi maalumu sababu yawezekana si bureeeee!!!! Mizambiii imewazidii ili mpate baraka za ziada na mungu awafanyie mizigo yenu myepesi!!!!! Sasa safu ya washidwaji suguuuu inajulikanaaa!!!!!!!! Ni safu ya aibu sanaaaaaa! Daaaaah! Ukikaa hii safu utafanya kazi kama mwehu usirudi tenaaa! Sasa mimi safu inaninukiaaaa! Mama yangu hapendi kabisaa mimi kukaa hii safu, hapa nae anahahahaa kuninusuru!!!
Sijatimiza hata lengo mojaaaa!!!! Nilitegemea ningekuwa certified nimeshikwaaa!!!, nilitegemea lile promo linitoe bosi kabana ndo hivo hearing imeisha nimeshinda bonas tuu ila promo badoooo sanaaa!!!! Nilitegemea mchagga anihonge gari (nijifanye nimenunua), bado anasitasita na kadi kaandika jina lake, mara anipe, mara achukue gari lake ilimradi purukushani!!!! Nilitegemea niolewe au hata nizae tuuu, wapiiiiii!!!!! Ningeanza hata msingi, wapiii!!! Hata hela ya kufyekea sinaaa!!!!! Guys i got nothing to show!!!!! Nothing!!!! Nothing at all!!!!!!!
Bora wale ambao mungu hakuwabariki kazi nzuri( hata za mawazo kama yangu) wana cha kujikoshaaa!!! Mie zaidi ya kutiririsha maji ya dhaabu!!!! Kuvaaaaaa!!!!! Kutreat watu!!!!! Kuparty!!!!! Kuponda mali kufa kwajaaa!!!! Sijafanya lolote la maana!!!! Kazi ipo!!!! Nawaza jinsi ya kutoa ushuhuda wa kupotoka siku hiyooo!!!!!! Pesa ya kufanya muujiza huu mwezi uliobaki sinaaaaa!!!!!
Hapa nangojea muujiza tu, mtu anihonge ghorofaaaa!!!! Lolest!!!!!
Mwaka waishaaaa hivo wana jamvi!!!! Mjiulize mmefanya nini sio kujitia mwanisikitikia kumbe na nyie holaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!?
ndiyo maana mimi nikawa nawaambia watu lara1 anafaa kuwa miss chit-chart, huyu ni kiboko yao
Jipange shosti, bado hujachelewa!!!!!!
Mmmh... Wacha tuu nisubiri mwakani maana kwa siku zilizobaki sitaweza hata iweje..!
Hahahaaaaaa! Its soo comforting kupata PARTNER IN CRIME!!!!!!! Nikipotea WATA ASSUME THE WORST!!!!!! Pia napenda kusikiliza USHUHUDA WA WATU UNANIPAGA CHALLANGE NA KUREFRESH MY MIND!!!!!!!!! Swala NITOKE VIPI!!!!!!!?
mwakani mwaka 13?
ndo namba ya mkosi wanavyodai watu
so kama mwaka huu ulikuwa mbaya,mwakani utazidi...
lol,,,,