Mwaka unaisha waungwana! Mwenzenu sijatimiza malengo kabisaaa! Nijiokoe vipi kikao cha familia?

Lara 1, today you have appeared really, I mean really civilized! Yani wengi wetu huwa hatufikirii thamani ya muda aisee! Everi dei maji ya dhaabu na kuparty kwa fujo! Hapa kilevi chote kishaniisha! na appointment la kesho nishaahirisha!!:confused2:
 
Wakubwa zangu shikamooni!!!!!!!!

Peopleeeeeess Niaje (Kwa Masela) Habari za jioni (Civilized), Tumsifu yesu kristu (Roman), Bwana Asifiwe(Protetistants), Assalam Alaikum (السلام عليكم) (Muslims) Mungu Ibariki Tanzania (Pagans)

Leo ni kati ya siku ambazo im more civilized than anybody! Naombeni ushauri, niko in a real familly fiasco!! Hapa natamani nistopishe jua kuwaka maana muda umeishaaaaa!

Sisi kama familia huwaga kila Mwanzo wa Mwaka 2/1 tunakaa as a family na kufanya misa pamoja na paroko na my aunt Sister/Nun ya kumshukuru mola kwa mema ya mwaka mzima, na kwa kuuona mwaka mpya!!!!! (Dnt be shocked i come frm a very religious family, huu ukuda ni kati ya zile zilizoanguka kwenye miiba, njiani na kwenye mwamba) Ni utaratibu mzuri sana kufanya as a family.

Baada ya ibada na family get together (sipendi kuosha mijombo baada ya watu kusaza!!!!! Mmmh!) tunakaa as a family NA KUREVIEW MALENGO YA KILA MMOJA ALIYOTOA MWAKA JANA!, UNAJIELEZEA UMEFIKIA WAPI?! UMEFANIKIWA YAPI!? VIKWAZO NINI?! USAIDIWAJE?! KAMA KUNA JANGA LILIKUPATA, UNAMALIZIA NA MWAKANI WAJIPANGAJE NA MALENGO MAPYA!!! Kila mtu anasema Kuanzia Mdingi hadi Beki tatu. Kila mtu manake kila mtu!!!!

Kwenye Tatizo langu sasa!!! Baada ya kila mtu kusema WALE WASHINDWAJI SUGUUUU (Hata lengo moja hamna kutimia) MNAFANYIWA MAOMBI MAALUMU sababu yawezekana si bureeeee!!!! Mizambiii imewazidii ili mpate baraka za ziada na Mungu awafanyie mizigo yenu myepesi!!!!! Sasa SAFU YA WASHIDWAJI SUGUUUU INAJULIKANAAA!!!!!!!! Ni safu ya aibu sanaaaaaa! Daaaaah! Ukikaa hii safu utafanya kazi kama mwehu usirudi tenaaa! Sasa mimi safu inaninukiaaaa! Mama yangu hapendi kabisaa mimi kukaa hii safu, hapa nae anahahahaa kuninusuru!!!


Sijatimiza hata lengo mojaaaa!!!! Nilitegemea ningekuwa Certified nimeshikwaaa!!!, Nilitegemea lile PROMO linitoe Bosi kabana ndo hivo hearing imeisha nimeshinda BONAS tuu ila PROMO badoooo sanaaa!!!! Nilitegemea Mchagga anihonge Gari (Nijifanye nimenunua), bado anasitasita na Kadi kaandika jina lake, mara anipe, mara achukue gari lake ilimradi purukushani!!!! Nilitegemea Niolewe au hata Nizae tuuu, wapiiiiii!!!!! Ningeanza hata msingi, wapiii!!! Hata hela ya kufyekea sinaaa!!!!! GUYS I GOT NOTHING TO SHOW!!!!! NOTHING!!!! NOTHING AT ALL!!!!!!!

Bora wale ambao Mungu hakuwabariki kazi nzuri( hata za mawazo kama yangu) wana cha kujikoshaaa!!! Mie zaidi ya KUTIRIRISHA MAJI YA DHAABU!!!! KUVAAAAAA!!!!! KUTREAT WATU!!!!! KUPARTY!!!!! KUPONDA MALI KUFA KWAJAAA!!!! SIJAFANYA LOLOTE LA MAANA!!!! KAZI IPO!!!! Nawaza jinsi ya kutoa USHUHUDA WA KUPOTOKA siku hiyooo!!!!!! PESA YA KUFANYA MUUJIZA HUU MWEZI ULIOBAKI SINAAAAA!!!!!

Hapa nangojea Muujiza tu, mtu anihonge Ghorofaaaa!!!! lolest!!!!!

Mwaka waishaaaa hivo wana jamvi!!!! MJIULIZE MMEFANYA NINI SIO KUJITIA MWANISIKITIKIA KUMBE NA NYIE HOLAAAAA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!?

one day before kikao jifanye unaumwa kifua
*get together day jifanye SAUTI IMEKAUKA KABISAAA.. Ikiisha tu kesho umepona,..mzimaaa
 
yaani huu mwaka huu majanga matupu kwangu, nimeishia kukagua viwanja na kuvitoa kasoro kama afisa ardhi,
 
Dah rafiki hapo kweli pagumu,, hayo mambo yangeingia kwenye familia yetu ni hata icho kikao ningefukuzwa kushiriki as navyopenda bia mpaka basi hayo malengo kila siku nayasogeza mbel...

But usikimbie kikao ingia pale na mipango ya kufa mtu kama kawa story za uongo na kweli kibao ambazo hadi kikao kinaisha wanakuwa hawajakuelewa umeongelea nini japokuwa wamekupigia makofi na vigelegele... Watoto wa kitaa tunasema IF YOU CANT CONVICE THEM, CONFUSE THEM.. Sasa wewe hapo ndo pa kuwa confuse na hizo story mpaka wapige makofi hata kama hawajaelewa ulichokamilisha
 
Safi sana mumy pamoja nazawadi ya uhai Mungu alituambia tule kwa jasho na uvvu ni dhambi so kushukuru kwa uhai na pamoja na kuangalia nguvu Mungu aliyokupa umeitumiaje .ukweli me ikishafika October tu huwa naangalia na nimefanya nini kwa mwaka huo na kama sijafanya cha maana huwa nakosa raha kabisa i thanks God for about seven years past ni mwaka mja tu ulipita bila kufanya cha maan.hapa nilipo nimechoka coz for the whole year naweza kuhesabu masaa niliyolaa.nshafunga zangu mwaka tangu asubuhi ya leo naanza kula shushu mpaka january msoto uanze tena

HONGERAAAAAAAA!!!! IMARA!!!!!!!!! WAAAAAAAA!!!!( From the bottom of my heart!!!!!!!!!) SEVEN YEARS IN A ROW ZOTE UMEPIGA BINGOOOOOOOOOOO!!!!!!!!!! SHE IS THE MAN!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!(Kama mdada lakini!)
 
Dah rafiki hapo kweli pagumu,, hayo mambo yangeingia kwenye familia yetu ni hata icho kikao ningefukuzwa kushiriki as navyopenda bia mpaka basi hayo malengo kila siku nayasogeza mbel...

But usikimbie kikao ingia pale na mipango ya kufa mtu kama kawa story za uongo na kweli kibao ambazo hadi kikao kinaisha wanakuwa hawajakuelewa umeongelea nini japokuwa wamekupigia makofi na vigelegele... Watoto wa kitaa tunasema IF YOU CANT CONVICE THEM, CONFUSE THEM.. Sasa wewe hapo ndo pa kuwa confuse na hizo story mpaka wapige makofi hata kama hawajaelewa ulichokamilisha

Hahahahaaaaaaaaaaa! Nikiwacomfuse lazima niishie kwenye MAOMBI!!!!!!!!!! Pepo la comfussion linitoke!!!!!!!!! At least its a start ntaanza kuongea!
 
yaani huu mwaka huu majanga matupu kwangu, nimeishia kukagua viwanja na kuvitoa kasoro kama afisa ardhi,

Hahahahaaaaaaa! Umekuwa SAKA NYOKA kama mimi!!!!!!! Heri hukuumwa na nyoka katika zoezi
 
one day before kikao jifanye unaumwa kifua
*get together day jifanye SAUTI IMEKAUKA KABISAAA.. Ikiisha tu kesho umepona,..mzimaaa

Yataanza maombi ya ugonjwa kwanza!!!!!!!! Then nitaambiwa niandike summary niwape madogo wasome kwa niaba yangu, hapo ndo itakuwa AIBU BIN FEDHEHAAAA!!!!!!!!!!
 
Hahahahahah shosti lara 1, jipange upya aseeeee,pole mwaya!2dy am sick cna maneno mengi.

Pole sana Ciello,dah!!!!!!!!!!!!!!ugonjwa unaomsakama Ciello toka katika jina la Yesu...toka....nakuamuru tookaaa.....shabalalalalalalalala,,,,,jijijijijijijijijijij............hambarararararararaaa.........tokaaa...toka.kabisa....ooooooooohhhh....Ahsante yesuuuu....Naamini utakuwa umepona.AMINA.
 
Hahahaha................ashukuriwe mungu mweza wa yote kwa baraka na neema zake juu ya maisha yangu.
Mengi mungu amenipigania na nimepata mabadiliko makubwa kwa mwaka2012 kuanzia jina.......,

tuachane na yangu, lara1 tunapaswa kumshukuru mungu kwa kila jambo, cha kwanza uzima aliotupa.
 
wakubwa zangu shikamooni!!!!!!!!

Peopleeeeeess niaje (kwa masela) habari za jioni (civilized), tumsifu yesu kristu (roman), bwana asifiwe(protetistants), assalam alaikum (السلام عليكم) (muslims) mungu ibariki tanzania (pagans)

leo ni kati ya siku ambazo im more civilized than anybody! Naombeni ushauri, niko in a real familly fiasco!! Hapa natamani nistopishe jua kuwaka maana muda umeishaaaaa!

Sisi kama familia huwaga kila mwanzo wa mwaka 2/1 tunakaa as a family na kufanya misa pamoja na paroko na my aunt sister/nun ya kumshukuru mola kwa mema ya mwaka mzima, na kwa kuuona mwaka mpya!!!!! (dnt be shocked i come frm a very religious family, huu ukuda ni kati ya zile zilizoanguka kwenye miiba, njiani na kwenye mwamba) ni utaratibu mzuri sana kufanya as a family.

Baada ya ibada na family get together (sipendi kuosha mijombo baada ya watu kusaza!!!!! Mmmh!) tunakaa as a family na kureview malengo ya kila mmoja aliyotoa mwaka jana!, unajielezea umefikia wapi?! Umefanikiwa yapi!? Vikwazo nini?! Usaidiwaje?! Kama kuna janga lilikupata, unamalizia na mwakani wajipangaje na malengo mapya!!! Kila mtu anasema kuanzia mdingi hadi beki tatu. Kila mtu manake kila mtu!!!!

Kwenye tatizo langu sasa!!! Baada ya kila mtu kusema wale washindwaji suguuuu (hata lengo moja hamna kutimia) mnafanyiwa maombi maalumu sababu yawezekana si bureeeee!!!! Mizambiii imewazidii ili mpate baraka za ziada na mungu awafanyie mizigo yenu myepesi!!!!! Sasa safu ya washidwaji suguuuu inajulikanaaa!!!!!!!! Ni safu ya aibu sanaaaaaa! Daaaaah! Ukikaa hii safu utafanya kazi kama mwehu usirudi tenaaa! Sasa mimi safu inaninukiaaaa! Mama yangu hapendi kabisaa mimi kukaa hii safu, hapa nae anahahahaa kuninusuru!!!


Sijatimiza hata lengo mojaaaa!!!! Nilitegemea ningekuwa certified nimeshikwaaa!!!, nilitegemea lile promo linitoe bosi kabana ndo hivo hearing imeisha nimeshinda bonas tuu ila promo badoooo sanaaa!!!! Nilitegemea mchagga anihonge gari (nijifanye nimenunua), bado anasitasita na kadi kaandika jina lake, mara anipe, mara achukue gari lake ilimradi purukushani!!!! Nilitegemea niolewe au hata nizae tuuu, wapiiiiii!!!!! Ningeanza hata msingi, wapiii!!! Hata hela ya kufyekea sinaaa!!!!! Guys i got nothing to show!!!!! Nothing!!!! Nothing at all!!!!!!!

Bora wale ambao mungu hakuwabariki kazi nzuri( hata za mawazo kama yangu) wana cha kujikoshaaa!!! Mie zaidi ya kutiririsha maji ya dhaabu!!!! Kuvaaaaaa!!!!! Kutreat watu!!!!! Kuparty!!!!! Kuponda mali kufa kwajaaa!!!! Sijafanya lolote la maana!!!! Kazi ipo!!!! Nawaza jinsi ya kutoa ushuhuda wa kupotoka siku hiyooo!!!!!! Pesa ya kufanya muujiza huu mwezi uliobaki sinaaaaa!!!!!

Hapa nangojea muujiza tu, mtu anihonge ghorofaaaa!!!! Lolest!!!!!

Mwaka waishaaaa hivo wana jamvi!!!! Mjiulize mmefanya nini sio kujitia mwanisikitikia kumbe na nyie holaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!?

ndiyo maana mimi nikawa nawaambia watu lara1 anafaa kuwa miss chit-chart, huyu ni kiboko yao
 
ndiyo maana mimi nikawa nawaambia watu lara1 anafaa kuwa miss chit-chart, huyu ni kiboko yao

Aaaaah! Jamani!!!! LET CIELLO ENJOY HER WINNINGS IN PEACE JAMANI!!!!!!!!!!! She won fare n square!!!!!!!!!!! NAMNA HII @RUHAZWE NA KAMATI YAKE NA Asprin Watajuuuuuta Kunifahaaamu!!!!!!!!!!!!

Thanks for your vote n comfidance mkuuuuu!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Mmmh... Wacha tuu nisubiri mwakani maana kwa siku zilizobaki sitaweza hata iweje..!

mwakani mwaka 13?
ndo namba ya mkosi wanavyodai watu
so kama mwaka huu ulikuwa mbaya,mwakani utazidi...
lol,,,,
 
Hahahaaaaaa! Its soo comforting kupata PARTNER IN CRIME!!!!!!! Nikipotea WATA ASSUME THE WORST!!!!!! Pia napenda kusikiliza USHUHUDA WA WATU UNANIPAGA CHALLANGE NA KUREFRESH MY MIND!!!!!!!!! Swala NITOKE VIPI!!!!!!!?

Zamu yako ikifika inabidi uugue tumbo gafla uende kumpumzika.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
mwakani mwaka 13?
ndo namba ya mkosi wanavyodai watu
so kama mwaka huu ulikuwa mbaya,mwakani utazidi...
lol,,,,

Eeeh... Sasa na wewe usinikatishe tamaa jamani... Labda mie hiyo 13 ndio itakuwa ya bahati kwangu maana mwaka huu nimechemka..!
 
pole shosti shukuru kwa kila jambo haikuwa bahati mwaka huu but next yr utafanikiwa kufikia malengo yako hata kwa kiasi fulani japokuwa tunapenda kufikia malengo kwa wakati tuliojipangia lakini kwake anatupatia wakati anaopanga yeye kikubwa kuendelea kujituma na kwa malengo, asante kwa thread nzuri
 
Back
Top Bottom