Mwaka umeanza vibaya, Mwanamke ameniacha, Haina shida nashukuru Mungu tu

Huyo ungekuwa nae karibu angekupiga, sio kwa maneno hayo. Mwanamke anakuwaje na mdomo kiasi hicho aisee.
 
Hivi mnafanyafanyaje mpaka wanawake wanawaacha?

Sisi wengine mpaka tunawakinai tunatamani watuache lakini wametung'ang'ania tu kama Super Glue hawataki kutuacha.
 
Ngoja nimsaidie kukuporomoshea matusi mwanaume wewe Malaya mkubwa usiye na haya unakaa na mtoto wa kike wa mtu miezi sita bila kuonyesha nia ya kuoa au kupeleka Posa Kwa wazazi wake mzinzi mkubwa wewe

Nampongeza sana huyo Mwanamke kukuacha Sema mimi dictionary ya matusi Iko mbali Ingekuwa karibu ningekushushia matusi ya nguoni wewe mleta mada Hadi ukome
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…