Mwanamke, jifunze kulala na mume

Nazjaz

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
7,684
8,832
πŸ’•πŸ˜„πŸ‘ˆJIFUNZE KULALA NA MUME WAKO KITANDANI KWA USTAARABUπŸ˜„πŸ’ͺ
UJUMBE WA MATENGENEZO KWAKO MWANAMKE ------😘MUME NI MTAMU😘

πŸ’•πŸ˜˜Mume Ni MTAMU πŸ˜˜πŸ’•

πŸ’•πŸ’•πŸ‘πŸΎMke nywele zako ndefu unashauriwa kuzielekeza nywele zako kando mbali na sura yawako mkiwa mmelala namna hii. Itamfanya Mume wako kuwa huru wakati amelala.πŸ’•πŸ’•
Funga nywele zako vizuri na uzielekezee kando ili asije kukosa pumzi kwa sababu ya nywele zako na kutokuwa na umakini.πŸ‘‰πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•

πŸ’•πŸ’•πŸ‘‰Mwanaume pale mwanamkeπŸ‘πŸΎπŸ‘πŸΎπŸ‘πŸΎ anapokukumbatia, hakikisha unamfanya awe huru.Epuka β€˜kumkaba’ kwani akilala vibayaπŸ’• akiwa amekukumbatia ataamka akiwa naπŸ’•πŸ’• maumivu ya shingo kutokana na mkono wako.

πŸ’•πŸ˜˜ Mume Ni MTAMU πŸ˜˜πŸ’•

πŸ’•πŸ’•πŸ‘‰Kama Mume anapenda kulala upande wa ukutani, basi muachie nafasi na uepuke kumsogelea sana. Itasaidia kupata usingizi mzuri na kuboresha uhusiano wenu.πŸ’•πŸ‘πŸΎπŸ‘πŸΎ

πŸ’•πŸ˜˜Mume ni MTAMU πŸ˜˜πŸ’•

πŸ’•πŸ’•πŸ‘‰Mnapolala na mtoto, mkumbukeπŸ‘πŸΎπŸ‘πŸΎ kumlaza katikati yenu na muepuke aina zaπŸ‘ˆ ulalaji ambazo mwisho wake itaonekana kama mpo kwenye mapambano ya karate au mieleka.
Nyongeza: Unaweza lala na MUME/MKE wako unahisi kuzimia kwa kukosa hewa maanaπŸ‘πŸΎπŸ‘‰ wengine wanakaba kama nini na vile wananuka midomo khaaaaaπŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜„πŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ

πŸ’•πŸ˜˜Mume ni MTAMU πŸ˜˜πŸ’•

Usije ukadhani au kufikiri hazinashida nywele hataakizielekeza alipo Mume❗& Shida ni pale nywele zinakuwa na harufu fulani za kupakwa mafuta bila kuoshwa na ukijumlisha ni za bandia 😁😁😁😁😁😁😁sasa alafu chafuπŸ‘πŸΎ
Nywele safi ni nzuri kuanzia kuzishika hadi kuziona..

πŸ’•πŸ˜˜Mume Ni MTAMU πŸ˜˜πŸ’•

Mawigi na mvua na Yamechacha , nunua mwavuli mdogo weka kwenye bochi , mvua ikinyesha jikinge huko ndiko KUTUNZA harufu njema β™₯️ Kwani mawigi tu❓ Si kuna zile za kushonea pia , rasta za kusikia , hata natural hair (nywele Asilia) Tuza nywele ziwe Asilia au za bandia πŸ˜πŸ‘ˆ Zingatia usafi Mfano Peruvian hair zikinyeshewa manyunyu zinakuwa na kauvundo mkilala Hakuna hewaaπŸ‘πŸΎπŸ‘πŸΎπŸ‘πŸΎπŸ‘πŸΎπŸ‘πŸΎ
Wanawake tukiwa natural na simple huwa twapendeza saana . Ila ndio hivyo sio vibaya kuwa na Wingi na Kadhalika πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„

πŸ’•πŸ˜˜Mume Ni MTAMU πŸ˜˜πŸ’•

Angalau leo unaweza ongea lugha moja Mume/Mke WAKO πŸ‘ˆ bila upinzani. Sababu vitu viko wazi kabisa ni kiasi cha kuangalia tu kipi ni sahihi wakati wa kulala na Mume wako.
Pia ni kwambie tu Mwanamke mwenzangu siku zote usingizi ni kitu kingine bana 😁😁😁
Ila ukisema ukae tu na natural hair 😁 anajua Mke wake ni mkono wa birika wa kutoaπŸ˜„πŸ‘πŸΎ gharama.😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
Hahahahahahhah tunapenda urembo Ukitaka kusiwe na harufu Wanawake tubadirisheπŸ’•πŸ’• nywele πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„

Huu ni ujumbe Wa

MATENGENEZO KWAKO MWANAMKE ------😘MUME NI MTAMU😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘

πŸ’•πŸ’•Mume ❀️ ni THAMANI yapasa KUMWESHIMU , MUNGU πŸ™ mtoa vyote na Mume pia utoka kwake , kwani nini kumdharau wakati wengine hawana wanaomba mfano wa chozi ndani ya jicho , likitoka tu LINDONDOKE kwenye SHAVU , Wasipanguse LIGANDE kwenye viganja vyao alafu Mke waleta dharau
ACHA KIMUCHUKIZA MUNGU πŸ˜˜πŸ™ Mume ni mtamu πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ™πŸ™πŸ™Kwa sababu AMEKUPENDA WEWE πŸ‘‰πŸ˜˜Mwoshe Upendo wa dhati , wala usififie kadri miaka iendavyo ndivyo UPENDO β€οΈπŸ‘ˆ uongezeke , Mume akusifu na aendelee kunena Binti za watu wengi wametenda mema. πŸ‘‰πŸ’•πŸ’•Lakini wewe
umewapita wote . MUME MTAMU😘😘😘

πŸ’•πŸ˜˜Mume Ni MTAMUπŸ˜˜πŸ’•

β™₯β™₯β™₯Kwa nini πŸ™„ waruhusu fitinaβ“πŸ‘‚πŸ‘‚ zikwepe MUME NI MTAMU 😘 Mpende na umlinde hilo ni jambo jipya MUNGU amelifanya Mke atamlinda Mume wake , ulizi ufanye kujisikia KUPENDWA , katu Moyo wake usijute Kukuoa maana Wewe ni Mkewe amcha BWANA πŸ™ moyo wako umejaa Maarifa , kwani upendeleo hudanganya , na uzuri ni ubatili , Bali Mwanamke amchaye BWANA , ndiye atakayesifiwa❗

πŸ’•πŸ˜˜Mume Ni MTAMUπŸ˜˜πŸ’•
β™₯β™₯β™₯
Mtumie ujumbe wa Mapenzi sio idadi ya mahitaji , mahitaji usemwa bafuni mkiwa mwaoga wote Wawili😘😘😘 Akiwa kazini jumbe za faraja ndio CHEMCHEMI πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•
ya kuonyesha jinsi unavyomuwaza awapo mbali na wewe , akirejea toka kazini πŸ™ MUME ni MTAMU ❀️ Umeivua kanzu yako , uivaeje❓
Umeitawadha miguu uiichafueje❓Mpendwa wako autia mkono wake tunduni . Na moyo wako umechomeka kwa ajili yake . Ondoka Mke mfungulie Mpendwa MumeπŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ˜˜πŸ˜˜
Wahitaji uwepo wa Mume na hasa kumbatio lake lenye kina cha mapenzi MUME ni mtamu

πŸ’•πŸ˜˜Mume Ni MTAMU πŸ˜˜πŸ’•

β™₯β™₯β™₯
Kujivunia ni haki yako kwani tunda lako bidhaa ya faida ; Taa yako hazimiki usikuπŸ˜˜πŸ˜˜πŸ˜˜πŸ˜˜πŸ‘ˆ
Mume ni utamu maridhawa ,hakika atakupenda
TUNDA lako la angaliwa Mume ni mtamu wala
Mwenyewe πŸ‘Œβ€οΈπŸ‘ˆπŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•
Jinsi anavyokuchanganya Mume ni mtamu πŸ’•

πŸ’•πŸ˜˜Mume Ni MTAMU πŸ˜˜πŸ’•

Aamke amkute ubavuni wake, anamjulia hali. Za Asubuhi πŸ˜˜πŸ‘ˆ TAMU wewe, anakwenda kazini huku anaikumbuka Asubuhi ya kifungua kinywa na Mkewe na anamtumia vijitextπŸ˜„πŸ’ͺ nilikuwa ninakucheck tu πŸ˜ƒ WifeπŸ’ͺπŸ˜„πŸ‘ˆπŸ˜˜πŸ˜˜
Mume ni mtamu πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•

πŸ’•πŸ˜˜Mume Ni MTAMU πŸ˜˜πŸ’•

Warudi nyumbani kutoka kazini πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’• unafahamishwa mtaani kuwa wewe ni mke wa flani. Ukisikia tu like jina ni kama barafuπŸ’•πŸ˜˜ imepenya kooni ndani ya joto la December.

Jamani πŸ˜„πŸ˜˜πŸ’• Mume ni MTAMU
πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ˜˜
Jikoni unatoa ufundi wako wote, kitunguuπŸ‘πŸΎπŸ‘‚ shurti ukatie kwenye kibao. Na unamsubiri ule nae.

πŸ”΄NDOA NA IHESHIMIWE NA WATU WOTE πŸ™
 
Kidogo niache kusoma uzi mrefu kama twiga.
Ndoa ni kuishi pamoja demi na men au ni Tendon la ndoa ?
 
Ewe Mwanaume Mwenzangu fanya yoooote lakini hakikisha Mkeo analala Upande/Mkono wako wa kushoto au Upande ambao Moyo wako ulipo. Tangu unajenga nyumba au unapangilia kitanda chako hakikisha matoeo yawe hivyo. Wale mliopita Jando mnaelewa nguvu ya dhana hii kimapenzi, Kibaiolojia na hata KiusalamaπŸ“Œ
 
Kama Mume anapenda kulala upande wa ukutani, basi muachie nafasi na uepuke kumsogelea sana. Itasaidia kupata usingizi mzuri na kuboresha uhusiano wenu.

Mwanaume gani mpumbavu huyo anayelala upande wa ukutani na mkewe alale ukingoni mwa kitanda.???
 
JIFUNZE KULALA NA MUME WAKO KITANDANI KWA USTAARABU
UJUMBE WA MATENGENEZO KWAKO MWANAMKE ------MUME NI MTAMU

Mume Ni MTAMU

Mke nywele zako ndefu unashauriwa kuzielekeza nywele zako kando mbali na sura yawako mkiwa mmelala namna hii. Itamfanya Mume wako kuwa huru wakati amelala.
Funga nywele zako vizuri na uzielekezee kando ili asije kukosa pumzi kwa sababu ya nywele zako na kutokuwa na umakini.

Mwanaume pale mwanamke anapokukumbatia, hakikisha unamfanya awe huru.Epuka β€˜kumkaba’ kwani akilala vibaya akiwa amekukumbatia ataamka akiwa na maumivu ya shingo kutokana na mkono wako.

Mume Ni MTAMU

Kama Mume anapenda kulala upande wa ukutani, basi muachie nafasi na uepuke kumsogelea sana. Itasaidia kupata usingizi mzuri na kuboresha uhusiano wenu.

Mume ni MTAMU

Mnapolala na mtoto, mkumbuke kumlaza katikati yenu na muepuke aina za ulalaji ambazo mwisho wake itaonekana kama mpo kwenye mapambano ya karate au mieleka.
Nyongeza: Unaweza lala na MUME/MKE wako unahisi kuzimia kwa kukosa hewa maana wengine wanakaba kama nini na vile wananuka midomo khaaaaa

Mume ni MTAMU

Usije ukadhani au kufikiri hazinashida nywele hataakizielekeza alipo Mume& Shida ni pale nywele zinakuwa na harufu fulani za kupakwa mafuta bila kuoshwa na ukijumlisha ni za bandia sasa alafu chafu
Nywele safi ni nzuri kuanzia kuzishika hadi kuziona..

Mume Ni MTAMU

Mawigi na mvua na Yamechacha , nunua mwavuli mdogo weka kwenye bochi , mvua ikinyesha jikinge huko ndiko KUTUNZA harufu njema Kwani mawigi tu Si kuna zile za kushonea pia , rasta za kusikia , hata natural hair (nywele Asilia) Tuza nywele ziwe Asilia au za bandia Zingatia usafi Mfano Peruvian hair zikinyeshewa manyunyu zinakuwa na kauvundo mkilala Hakuna hewaa
Wanawake tukiwa natural na simple huwa twapendeza saana . Ila ndio hivyo sio vibaya kuwa na Wingi na Kadhalika

Mume Ni MTAMU

Angalau leo unaweza ongea lugha moja Mume/Mke WAKO bila upinzani. Sababu vitu viko wazi kabisa ni kiasi cha kuangalia tu kipi ni sahihi wakati wa kulala na Mume wako.
Pia ni kwambie tu Mwanamke mwenzangu siku zote usingizi ni kitu kingine bana
Ila ukisema ukae tu na natural hair anajua Mke wake ni mkono wa birika wa kutoa gharama.
Hahahahahahhah tunapenda urembo Ukitaka kusiwe na harufu Wanawake tubadirishe nywele

Huu ni ujumbe Wa

MATENGENEZO KWAKO MWANAMKE ------MUME NI MTAMU

Mume ni THAMANI yapasa KUMWESHIMU , MUNGU mtoa vyote na Mume pia utoka kwake , kwani nini kumdharau wakati wengine hawana wanaomba mfano wa chozi ndani ya jicho , likitoka tu LINDONDOKE kwenye SHAVU , Wasipanguse LIGANDE kwenye viganja vyao alafu Mke waleta dharau
ACHA KIMUCHUKIZA MUNGU Mume ni mtamu Kwa sababu AMEKUPENDA WEWE Mwoshe Upendo wa dhati , wala usififie kadri miaka iendavyo ndivyo UPENDO uongezeke , Mume akusifu na aendelee kunena Binti za watu wengi wametenda mema. Lakini wewe
umewapita wote . MUME MTAMU

Mume Ni MTAMU

Kwa nini waruhusu fitina zikwepe MUME NI MTAMU Mpende na umlinde hilo ni jambo jipya MUNGU amelifanya Mke atamlinda Mume wake , ulizi ufanye kujisikia KUPENDWA , katu Moyo wake usijute Kukuoa maana Wewe ni Mkewe amcha BWANA moyo wako umejaa Maarifa , kwani upendeleo hudanganya , na uzuri ni ubatili , Bali Mwanamke amchaye BWANA , ndiye atakayesifiwa

Mume Ni MTAMU

Mtumie ujumbe wa Mapenzi sio idadi ya mahitaji , mahitaji usemwa bafuni mkiwa mwaoga wote Wawili Akiwa kazini jumbe za faraja ndio CHEMCHEMI
ya kuonyesha jinsi unavyomuwaza awapo mbali na wewe , akirejea toka kazini MUME ni MTAMU Umeivua kanzu yako , uivaeje
Umeitawadha miguu uiichafuejeMpendwa wako autia mkono wake tunduni . Na moyo wako umechomeka kwa ajili yake . Ondoka Mke mfungulie Mpendwa Mume
Wahitaji uwepo wa Mume na hasa kumbatio lake lenye kina cha mapenzi MUME ni mtamu

Mume Ni MTAMU


Kujivunia ni haki yako kwani tunda lako bidhaa ya faida ; Taa yako hazimiki usiku
Mume ni utamu maridhawa ,hakika atakupenda
TUNDA lako la angaliwa Mume ni mtamu wala
Mwenyewe
Jinsi anavyokuchanganya Mume ni mtamu

Mume Ni MTAMU

Aamke amkute ubavuni wake, anamjulia hali. Za Asubuhi TAMU wewe, anakwenda kazini huku anaikumbuka Asubuhi ya kifungua kinywa na Mkewe na anamtumia vijitext nilikuwa ninakucheck tu Wife
Mume ni mtamu

Mume Ni MTAMU

Warudi nyumbani kutoka kazini unafahamishwa mtaani kuwa wewe ni mke wa flani. Ukisikia tu like jina ni kama barafu imepenya kooni ndani ya joto la December.

Jamani Mume ni MTAMU

Jikoni unatoa ufundi wako wote, kitunguu shurti ukatie kwenye kibao. Na unamsubiri ule nae.

NDOA NA IHESHIMIWE NA WATU WOTE
Cc mzabzab
 
Back
Top Bottom