Mwaka ndio unaisha, tuongee kikubwa


U talk like u stay in the palace! Haklafu unakuta mtu anakaa kwenye banda lake alilolijenga kwa mkopo wa kazini mxer full kuungaunga hzo dharau weweee
 
Ni dharau kwa sababu watu wengi mjini wana bedrom na Sitting room tu ndio mahitaji yao, mtu yupo mwenyewe nyumba nzima ya nini?

Umekosea.

Kweli kabisa...sasa kijana ambae hajaoa na wala hana dependants anaoishi nao jumba kubwa la nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…