Mwaka mmoja umetueleza mengi

Melo yupo ndani huko, utakuta wanamuuliza huyu fungua taarifa zake hapa tuzione yupo wapi Na anatumia kifaa gn?
The hell Tz.
Nyani ngabu this Tz nowdays is mmmh
 
Unapotosha umma..una uhakika pogba hajawahi funga goli tangu asajiliwe na Man U??

JE unajua kuwa goli alilofunga pogba dhidi ya Swansea ndio goli bora mwezi Old trafford... kama hauna fact bora ukae kimya..Idiot
Kwani we ni shabiki wa Pogba?ile hela alonunuliwa ilikuwa thamani Griezman lowasa sio yeye[emoji23]
 
Usiposhtuka Afrika Unaweza Ukazikwa Ukiwa Hai ..

Amka Kijana
Hakuna Mapinduzu Bila Mabadiliko
Hakuna Mabadiliko Bila Mapinduzi
Amka Kijana
 
Naona utawala huu unaongeza chuki kada baada ya kada, tunakoendea huyu Mh atakua anaomba kupigiwa makofi kwa lazima.!
Badala ya kugombana na mafisadi tumpiganie hata kwa damu then anakuja na ukuda kama huu.
 
Certainly the worst president of all time. I agree with u
 
Ngosha taratibu, sitaki nikukose ujue...

Mtukufu wetu hapendi kukosolewa zaidi ya nyimbo na mapambio ya kumsifu

Ashasema hajaribiwi ujue... Ohoo
Anapenda kukosolewa kwa heshima. Kejeli, matusi, dharau, na mengine kama hayo lazima ujiandae kushitakiwa!!
 
Lazima tuelewane juu ya maana ya neno Ikulu. Baada ya hapo ndipo tuone kama kuna kosa kwa chochote kinachofanywa huko Ikulu.
 
Badala ya kugombana na mafisadi tumpiganie hata kwa damu then anakuja na ukuda kama huu.
Bila kujielewa anajaribu kuufufua upinzani uliopoteana, sio tu wa kisiasa bali wa kada zote.
 
Angalieni musimkasirishe mapema isije ikawa ndo sababu ya kukosa zile mil 50 kwa kila kijiji/mtaa.
Na ukizingatia za maafa zimelambwa sipati picha aisee.
 
Kumbe wapinzani mnajijua kuwa ni watetea mafisadi?


Safi sana Nyumbu, huo ndio ukweli Mbowe anawachosha tu alishauza chama zamani
 
nchi yetu bado sana. Mayor ya New York alikataliwwa kuishi na mchumba wake waliyeishi miaka mingi kwenye nyumba ya serikali. huku vikao vya chama wanafanyia Ikulu?.
 
Kuna member mmoja humu alisema jana matokeo ya kura za urais yahesabiwe na kutangazwa vituoni kama gambia. Hicho ndio kimemkwaza John anataka jf ifungwe ili arudie u-jecha.
 
hatari sana
 
..what if mkulu hakuwa na nia mbaya?

..yaani anaona kikao cha ccm-nec ikulu ni sawa na kikao cha kikwete na cdm kuzungumzia mkwamo wa katiba mpya kilichofanyika ikulu.

NB.

..mimi wasiwasi wangu uko kwa Ben Saanane.

..pia nilichukizwa na walichomfanyia Alphonce Mawazo. Na zaidi walivyoinyanyasa familia yake. Hata kutoa pole hawakujali.

Cc MTAZAMO, Kitaturu, Nyani Ngabu
 
Melo yupo ndani huko, utakuta wanamuuliza huyu fungua taarifa zake hapa tuzione yupo wapi Na anatumia kifaa gn?
The hell Tz.
Nyani ngabu this Tz nowdays is mmmh
hatari sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…