Mwaka Mmoja Ndani ya Jamii Forums!

Mwaka Mmoja Ndani ya Jamii Forums!

Hapana chama. Kwa nini unataja majina ya wadau wa siasa hapa chit-chat? Hata wewe njaa unayo.Au huna tumbo?

Mkuu HYGEIA
Njaa ninayo ila najilisha mwenyewe sitegemei kumpigia magoti mwanaume mwenzangu kumuomba kula; hao ninao wataja ni vikaragosi vya siasa vinavyotumiwa kwa njaa zao!

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom