Mwaka mmoja CCM kwisha

Inaonekana wapinnzani wamechanganyikiwa vibaya hata wanaloongea halieweki.Hivi mwenye akili anaweza kulinganisha upinzani na CCM
 
Tatizo ni kwamba hakuna chama mbadala. Ikiondoka CCM chama gani kitatawala? Kutakuwa na ombwe la uongozi na nchi itaingia katika misukosuko. Watanzania siyo wajinga. Wakiona chama mbadala bila shaka watakipa madaraka mara moja. Tuweni na subira!
poor you,unaanzaje ku judge kitu pasipo kukipa nafasi......hata JPM kila mtu alijua atakuwa presidaa wa ukweli mwisho wa siku hata Mwaka hajamaliza amisha fanya madudu ya kutosha-walio sema usijaji kitabu kwa muonekano wa nje hawakuwa wajinga
 
Kumbukeni laana ya mwalimu,'hatuwezi kukabidhi nchi kwa ma mbwa'
 
Inaonekana wapinnzani wamechanganyikiwa vibaya hata wanaloongea halieweki.Hivi mwenye akili anaweza kulinganisha upinzani na CCM
Ukilinganisha upinzani na ccm utakuwa unatenda madhambi makubwa sana kwani wapinzani hapa Tanzania ndio tegemeo la mamilioni ya watanzania na ccm inawakumbatia kundi dogo la mafisadi
 
Wapinzani wanapaswa kujiimalisha kisiasa sio kisayansi.
 
poor you,unaanzaje ku judge kitu pasipo kukipa nafasi......hata JPM kila mtu alijua atakuwa presidaa wa ukweli mwisho wa siku hata Mwaka hajamaliza amisha fanya madudu ya kutosha-walio sema usijaji kitabu kwa muonekano wa nje hawakuwa wajinga
 
CCM KWISHA , CHADEMA OUT AND KUOZAAAA
 
[emoji111] [emoji111] [emoji111] [emoji111] [emoji111] [emoji111] [emoji111] [emoji111] [emoji111] [emoji111] [emoji111] [emoji111] [emoji111] [emoji111] [emoji111]
 
Ulishiba pilau la sikukuu kwa jirani na ukalala usingizi ndio ukaota ndoto baada ya hapo unatuletea uharo hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…