Mwaka huu sitoi mchango wa harusi

Mwaka huu sitoi mchango wa harusi

Changieni elimu, matibabu, mitaji, mitandao. Sio kuchangiana kujaza matumbo na usumbufu kwa we gone.
 
Tungekuwa tunachangishana kwenye matatizo mfano ugonjwa n.k,kama tufanyavyo kwenye harusi,tarehe za kuzaliwa n.k;nadhani tungekuwa wanadamu wema sana hadi viumbe wengine watushangae.
 
Back
Top Bottom