Mwaka huu sitoi mchango wa harusi

Mimi pia sichangii mtu hata mia na shughuli yangu ikifika naandaa mill 1.5 baada ya kanisani kutakua na wedding dinner naalika watu wangu wa karibu tu kula bia na nyama shughuli imekata
 
na ww siku ukitaka kuoa, hakikisha utapambana na hali yako, na uzuri nakujua vzr ole wako upitishe bakuri lako kwangu, utaniona jinsi ntakavyo kunyea!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Imagine nimemchangia mtu mwaka jana mwezi wa 11 harusi ilifanyika lkn leo hii napata taarifa kuwa wameachana, hiyo laki 1 niliyotoa km ningeamua kusaidia wasiojiweza hata kuwanunulia chakula nisingekuwa na thawabu kwa Mungu?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom