Mwaka huu hakuna Njaa Tuipongeze Serikali ya CCM!

Sijakuelewa unamanisha nin uzi unazungumzia chakula wew unazungumzia satelaiti si uandae uzi wa kuipongeza satelaiti ya kenya

Chapili Tanzania ingewekeza kwenye satelaiti mgesema wananchi hawali satelaiti kama msemavyo kwenye reli, ndege nk
Huwezi kunielewa huna upeo huo Endeleyeni kupongeza serekali ya Ccm kwa kuleta mvua!!
 
Habari za jioni! mabibi na mabwana

Kama ilivyo desturi kipindi kama hiki wananchi wengi wa Tanzania hulia njaa na kuomba msaada wa chakula kwa Serikali .lakini mpaka sasa naona hali ya Chakula ni shwari nchi nzima na mvua za msimu zikiendelea kila kona ya nchi.
Nachukua fursa hii kuipongeza Serikali kwa kuchukua hatua kadhaa za kukomesha njaa hapa Nchini.
Kwa hiyo serikali ndio imeleta mvua!
 
Mkuu rekebisha heading basi angalau kuondoa neno CCM ama weka serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania..
 
lengo la serikali ni jema kabisa. nje unaruhusiwa kuuza lakini utauza unga kama ni mahindi au mchele kama ni mpunga au mafuta kama ni mbegu za alizeti.lengo ni kukuza viwanda vya uchakataji ndani ya nchi. huko ndio kukuwa kwa viwanda.
hahahahaha...viwanda? vipi hivyo. Acha uchochezi....Nissan nyeupe itakudukua
 
Habari za jioni! mabibi na mabwana

Kama ilivyo desturi kipindi kama hiki wananchi wengi wa Tanzania hulia njaa na kuomba msaada wa chakula kwa Serikali .lakini mpaka sasa naona hali ya Chakula ni shwari nchi nzima na mvua za msimu zikiendelea kila kona ya nchi.
Nachukua fursa hii kuipongeza Serikali kwa kuchukua hatua kadhaa za kukomesha njaa hapa Nchini.
Fa_a kweli wewe...badala useme tumshukuru Mungu, unapost pumba. CCM ndio imeleta mvua?
 
Ni kweli njaa hakuna, tatizo lako hujui ni nani anastahili hzo pongezi ulizozitoa.yawezekana walikulimia shamba...hao
 
Kujivunia food self sufficiency miaka zaidi ya hamsini baada ya Uhuru Ni ubaradhuli. CCM wametumaskinisha kweli.Kiukweli agenda ilistahili iwe Kwa mfano Tanzania embracing digital economy-way forward.
 
Habari za jioni! mabibi na mabwana

Kama ilivyo desturi kipindi kama hiki wananchi wengi wa Tanzania hulia njaa na kuomba msaada wa chakula kwa Serikali .lakini mpaka sasa naona hali ya Chakula ni shwari nchi nzima na mvua za msimu zikiendelea kila kona ya nchi.
Nachukua fursa hii kuipongeza Serikali kwa kuchukua hatua kadhaa za kukomesha njaa hapa Nchini.
Sawa Teuzi Bado zipo Umesahau kuweka Namba yako
 
Habari za jioni! mabibi na mabwana

Kama ilivyo desturi kipindi kama hiki wananchi wengi wa Tanzania hulia njaa na kuomba msaada wa chakula kwa Serikali .lakini mpaka sasa naona hali ya Chakula ni shwari nchi nzima na mvua za msimu zikiendelea kila kona ya nchi.
Nachukua fursa hii kuipongeza Serikali kwa kuchukua hatua kadhaa za kukomesha njaa hapa Nchini.
NI KWELI SERIKALI YA CCM IMELETA MVUA
 
Habari za jioni! mabibi na mabwana

Kama ilivyo desturi kipindi kama hiki wananchi wengi wa Tanzania hulia njaa na kuomba msaada wa chakula kwa Serikali .lakini mpaka sasa naona hali ya Chakula ni shwari nchi nzima na mvua za msimu zikiendelea kila kona ya nchi.
Nachukua fursa hii kuipongeza Serikali kwa kuchukua hatua kadhaa za kukomesha njaa hapa Nchini.
Umetithibitishia kuwa si mzima lichwani mwako,yaami tulime sisi ns kutunza mazao halafu tuipomgeze ccm,Ushauri hivyo ukoo wenu muipongeze ccm kwakuwa hichwa vyenu vimekaa madafu badala ya akili
 
Habari za jioni! mabibi na mabwana

Kama ilivyo desturi kipindi kama hiki wananchi wengi wa Tanzania hulia njaa na kuomba msaada wa chakula kwa Serikali .lakini mpaka sasa naona hali ya Chakula ni shwari nchi nzima na mvua za msimu zikiendelea kila kona ya nchi.
Nachukua fursa hii kuipongeza Serikali kwa kuchukua hatua kadhaa za kukomesha njaa hapa Nchini.
Acha uzuzu! CCM ndo imeleta mvua au Mungu ametukumbuka waja wake kwa kuleta mvua ili machungu yaliyoletwa na CCM yapoe kidogo.
 
Habari za jioni! mabibi na mabwana

Kama ilivyo desturi kipindi kama hiki wananchi wengi wa Tanzania hulia njaa na kuomba msaada wa chakula kwa Serikali .lakini mpaka sasa naona hali ya Chakula ni shwari nchi nzima na mvua za msimu zikiendelea kila kona ya nchi.
Nachukua fursa hii kuipongeza Serikali kwa kuchukua hatua kadhaa za kukomesha njaa hapa Nchini.
Huna tofauti na mwanakijiji anayefurahia nyumba yake kuwekewa jiwe la msingi na kiongozi wa mbio za mwenge wakati hawajamchangia hata msumari mmoja.
 
Tambua hakuna balance Kwa mkulima katumia hela nyingi kwenye pembejeo alafu gunia la mahindi elfu 30,000/ hapohapo still hautaki wauze njema ya nchi hence nchi ya viwonder

Mwaka huu 2018 nimepumzisha mashamba.
 
Back
Top Bottom